Mahesabu
Reaction score
879

Profile posts Latest activity Postings About

 • please may you kindly help me check for some refferences i can use based on peoples perception about girls performance in science subjects in secondary schools
  mahesabu who are u?? i just look a thread about bunge primary and it seems u know a lot of people from 7b 1993.I was one of them,write me back at sfairom@gmail.com
  Usiuze kitu kwa ajili ya deci.... Kwa sasa subiri kidogo mambo yakitulia usiache kujiunga.... Au unaweza ingia kwa laki 1 ili uwe member tayari.... Nahakika umeshawahi poteza pesa zaidi ya hiyo... Au umeitumia pasipo kuwa na lazima.... Offer... Kwa hiyo jaribu autasikitika... Mie nimejaribu na pesa yangu yote niliyoweka imesharudi na sasa napata faida tu.... Iko salama saaana... Najua kuna utapeli lakini pale hapana.... Nilipoanza nilianza na laki.... Lakini mazingira yakanifanya nipande nyingi mpaka aibu kusema... Na zote zimerudi
  Hi Mahesabu,
  Kama huko Tanzania.Tafuta gazeti la MTANZANIA j'pili 5 April 09.

  Ukiweka laki1 unapata 250,000 lakini laki1 inarudishwa kwenye mzunguko. at the END unaondoka na 127,500 baada ya kukatwa kodi ya 15% .

  Lakini kuanzia 1 April 09. mtu akipanda laki1 atavuna 127,500 mara tatu tu .
  Kutokana na Trend hiyo.. PONZI haiwezi apply. kama unajua PONZI ni kama POWER CLUB...ambazo mtu ili upate inategemea na circle yako na unapata once.

  Leo Times Radio ya hapa Tanzania Kuna viongozi na Wanachama wa DECI walikuwa na kipindi cha 2 hrs.. ungekisikia ungepata mwanga sana....
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top