Onyo na matishio vya jeshi la Polisi linashangaza., kuhuzunisha hata kutia shaka mbali na kukera,
Naona kama wanahaha na kutisha jambo ambalo linazidi kupandisha Watanganyika hasira.
Wamegoma kujifunza tokana na Oktoba 29.
Ni dhahiri watarudia makosa
Nashauri wasifanye makosa
Waache wenye...
Japo wana mapungufu na mazabe yao, wakenya wanatushinda parefu.
Nchi yao ni chini ya nusu ya Tanzania lakini wana uchumi mkubwa kuliko wetu japo si wao bali waingereza na magabacholi.
Pili, wanajitambua wakati sisi. hatujitambui wala kutambua wengine.
Tatu, Wakenya wanajua wanachotaka kama...
Kenya inasifika kwa kupinga unyanyasaji. Walianza Mau Mau waliokinukisha hadi Kenya ikawa huru.
Baada ya hapo, waltokea Young Turks waliompa taabu imla Daniel arap Moi hadi walipomfurusha mwaka 2002.
Baada ya hapo,, juzi juzi walitokea Gen Z wakakinukisha hadi kulazimisha majambazi yao ya...
Sio kila kilichopo kimetengenezwa au kuundwa kina dhamila mbaya inaweza kuwa nzuri kwa wengine na wengine wakatumia vibaya.
Teknolojia inazidi kukuwa na kuwa msaada kwa matumizi lakini ugeuka kuwa mbaya kwa wanaotumia kwa njia ya uwovu kwenye mambo mengine.
Wakati napitapita kwenye mitandao...
Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi.
Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob...
Unakuta mtu mzima ana miaka 50+ lakini hajitambui yeye ni nani? Na anataka nini? Kwa umri wake na mbaya zaidi mtu mzima lakini ni jitu zima ovyo badirikeni ukishafika age fulani punguza vitu ambayo sio muhimu
Habari wakuu wenzangu
Unakuta mtu yupo bize na smart phone kuliko malezi au kumjali mtoto, unakuta mtoto katundikiwa mziwa mama hajali kama mtoto ananyonya kupitia pua au mdomo ye ni bize na kuperuzi tu,
Jambo lililonikera ni moja tu, nimekutana na mama mmoja ni mnenee tako iloo yani shape...
Akimpongeza mbunge wa Mtera mh Lusinde kwa uchambuzi mzuri wa hotuba ya Waziri Mkuu uliotumia dakika 15 Spika Ndugai amesema Kibajaj anawazidi wasomi wengi mle bungeni.
Spika amesema bungeni yanahitajika maarifa huo uprofesa ni kwa ajili ya kufundisha na kufanya tafiti hivyo katika siasa...
Nimepata divisheni ziro. Nimependa kujiunga kozi chuo. Ada nitajilipia mwenyewe. Mkopo sitaki. Kozi ina nafasi. Kwa nini nizuiliwe kujiunga na kozi ya digirii chuo?
Nikienda chuo na ziro yangu, si nitafeli tu mwaka wa kwanza kama kweli ziro ina maana sina uwezo? Nitakayepata hasara si ni ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.