bashite

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Hivi nauliza CCM wamebadilisha utaratibu. Anayesikika ni Makonda tu

    Chama cha Mapinduzi (CCM) tangia kilipoanzishwa,Kilikuwa na utaratibu mzuri tu.Kila aliyeteuliwa alikuwa akiheshimu madaraka ya mwenzie na pia kulikuwa na ustaarabu wa kutokimbilia ovyo kwa wananchi na kuwasema au kuwahoji viongozi wenzio wakiwemo mawaziri.walikuwa wanaitana kwenye vikao baina...
  2. Nyani Ngabu

    Paul Makonda hapigi kazi yoyote. Anafanya usanii tu

    Huyu jamaa juzi kapita hapa hometown kwangu, BRD. Ana bahati nilikuwa nimeenda shambani mida aliyoingia na punda wake la sivyo ningemfurusha. https://youtu.be/HuL99sGZsQU?si=XcITaZdUwXk_d3Tp Pulling up in donkey drawn carriages, dump trucks, bodabodas, and whatnots, is not work. It’s...
  3. Nyani Ngabu

    Bashite, run quick, see…

    Come with me! Hail Mary, Bashite, run quick, see. What do we have here now? Do you wanna ride or die? La la-da-la la la la la https://www.jamiiforums.com/threads/when-you-lose.1603638/
  4. figganigga

    Ally Bananga, alimnanga Paul Makonda kwamba ni Ziro Bashite, ila leo kula kwake hadi Makonda aamue

    Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi. Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob...
  5. chiembe

    Inawezekana watu waliokimbia nchi wanashindwa kurudi kwa sababu Bashite bado Yuko uraiani, na hajachukuliwa hatua?

    Watu kadhaa waliondoka nchini kusalimisha maisha yao, na wamekuwa na hofu kwamba watu waliowasababishia madhila hawajachukuliwa hatua, wako mtaani, na wamekuwa wakitoa wito wa kuhakikishiwa usalama ili warudi. Baada ya kumwaga maji mengi kwenye shimo la nguchiro, hewa imekata, nguchiro mmoja...
  6. Notorious thug

    Gereza hili linamfaa Bashite!

    Wahenga walisema "hakuna marefu yasiyo na ncha" hatimaye mfalme amekua mtumwa mwenye hofu na wasiwasi. Toka asubuhi nimekua nawaza ngome/gereza lipi litamfaa huyu bwana Paul Bashite jibu ni gereza la Maweni Tanga akienda Ukonga pia sawa atakutana na kina Nsembo na wahanga wake wengi watalipa...
  7. The Palm Beach

    Hii ni kwa ajili ndugu Paul Christian Makonda aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa - DSM

    ✓Ni ajabu lakini ni kweli kuwa ndugu huyu ambaye amewahi kuwa RC maarufu sana enzi zile wa mkoa wenye watu wengi zaidi Tanzania yaani DSM analalamika kuwa anawindwa na kundi la watu ili wamuue.. ✓Ndugu Makonda ukiwa RC - DSM, unatuhumiwa kuongoza kundi la UGAIDI WA KIDOLA (State Sponsored...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Paul Makonda ameghushi tena?!

    Wakati wa utawala wa Hayati Magufuli iliwahi kuibuliwa kashfa ya kughushi vyeti vya elimu ya sekondari kwa Paul Makonda. Paul akiwa mkuu wa mkoa wa mkoa nyeti sana alipata kashfa hii pasipo mamlaka ya uteuzi wala elimu kumshughulikia. Lakini tena limeibuka sakata la umiliki wa kiwanja kati yake...
  9. L

    Paulo Makonda huyoo ndani ya pipa

    Hamnipati ng'ooo.....labda mnitumie Interpol
  10. C

    Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

    HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017 Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa...
  11. Fundi Madirisha

    Kama Makonda alikupora mali zako, unasubiri nini kwenda Mahakamani?

    Huyu bwana alipokuwa mfalme wa jijini kila mtu alilia kilio chake hasa matajiri wa mjini, tulisikia kuna waliolazimishwa kutoa sehemu ya mali zao ili waendelee ku-survive, kuna waliobishana naye wakaukimbia mji. Badala ya kumwambia Mama amkamate wakati tunajua kila kitu ni ma-evidences, mama...
Back
Top Bottom