Ally Bananga, alimnanga Paul Makonda kwamba ni Ziro Bashite, ila leo kula kwake hadi Makonda aamue

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi.

Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob, walikuwa wanamnanga Makonda kwamba ana vyeti feki wakawa wanamuita Bashite Ziro brain.

Hii Dunia ni Duara. Safari hii Bananga amejikuta Makonda ni Boss wake. Aendelee kuongea maneno yake tuone.
1294572811.jpg

Ally Bananga Kushoto akiwa na Makonda huku akikosa wapi afiche sura yake
 
View attachment 2717916

Kwahiyo?
 
Kumbe na wewe uko wa hivyo!
 
Makonda ana cheo Gani ccm mkoa wa dar ?
 
Bashite ni mtoa maamuzi ya nini kwa Serikali ya awamu ya 6? Hebu tutolee matako makubwa hapa
 
Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi.

Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob, walikuwa wanamnanga Makonda kwamba ana vyeti feki wakawa wanamuita Bashite Ziro brain.

Hii Dunia ni Duara. Safari hii Bananga amejikuta Makonda ni Boss wake. Aendelee kuongea maneno yake tuone.
View attachment 2717916
Ally Bananga Kushoto akiwa na Makonda huku akikosa wapi afiche sura yake
Kwa hiyo kwa sasahivi ana vyeti?
 
Sio kwamba Makonda ndiyo anapitia mikono ya Bananga?
Maana Bananga ndio Bosi kwa sasa.
 
Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi.

Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob, walikuwa wanamnanga Makonda kwamba ana vyeti feki wakawa wanamuita Bashite Ziro brain.

Hii Dunia ni Duara. Safari hii Bananga amejikuta Makonda ni Boss wake. Aendelee kuongea maneno yake tuone.
View attachment 2717916
Ally Bananga Kushoto akiwa na Makonda huku akikosa wapi afiche sura yake
Hawa vijana wamekaa kinanihii kabisa. Hakuna siri.
 
Back
Top Bottom