mtu mzima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Je mwanamke mtu mzima mwenye changamoto ya hormone imbalance anaweza kuzaa??

    Ni mwanamke mtu mzima 43 years. Alipata miscarriage 3. Akawa hapati tena ujauzito. Sasa amepata tena ila dalili sio njema. Kuna vipunje vya damu ameviona akijisaidia kama mara mbili. Gino anasema yupo sawa mimba bado ipo akampa madawa ya kunywa ya kubalansi homoni. Lakini mimi nina mashaka...
  2. Ali Nassor Px

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kimasihara masihara nikajikuta kwenye mahusiano na mwanamke mtu mzima

    (BASED ON A TRUE STORY) Portion 1 Kuna baadhi ya matukio nikiyakumbuka mpaka leo najiona nilikuwa bonge la mpuuzi. Na naamini kabisa kama ingewezekana huyu mimi wa sasa kukutana na mimi wa miaka ile, Mimi wa sasa angempiga makofi mengi sana. Nisikuchoshe usinichoshe directly kwenye story...
  3. Latent chaos

    JamiiForums Tanzania Kuishi kama mtu mzima: [life skills vs gender roles]

    Jumapili njema waungwana, Natumaini kila mmoja wetu yupo salama, wengine mpo viwanja, wengine mnapambana na usingizi wa mchana nk. Sasa ndugu zangu leo nimekaa nikakumbuka experience fulani niliyowahi kupitia field wakati naanza kazi miaka zaidi ya kumi ilopita , na kadri nilivyofikiria...
  4. Half american

    JamiiForums Tanzania Mtu mzima hachungwi, mwanakulitafuta mwanakulipata

    Jamaa alisafiri akampigia simu mke wake akamuuliza uko wapi!? Mwanamke akasema niko nyumbani. Jamaa akamwambia kama uko nyumbani kweli kaa kitandani then mwambie dada wa kazi akupige picha then unitumie WhatsApp. Mwanamke akafanya hivyo, ila alivyotuma tu na ndoa yao ikaishia hapo hapo...
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mama mtu mzima kwa ajili ya malezi ya watoto, wa hiari mtu mzima

    Habari? Kama kichwa kilivyo, mimi ninafanya kazi ya kuajiriwa ,na mke wangu ni mfanyabiashara tuna watoto watano, wawili bado wadogo chini ya miaka mitano. Wengine wapo miaka 12, wapili 9 na watatu 7. Wadada wa kazi wanasumbua sana. Mama na baba walitangulia tangu nikiwa mdogo, pia mke wangu...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi

    Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi. Ulekeo wa umama mnaofanya hauna msingi wowote bali ni ujinga na upumbavu mbona mlikuwa amumuiti mama akiwa makamu wa rais. Kwahiyo mnampenda samia kweli au mnataka vyeo na rushwa ? ukiona mtu...
  7. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: nampongeza sana kidume aliofanya hiv, unapokuwa unamhudumia mtu mzima mwenye mikono 2 hadi kod kumlipia alafu akutii then kwa nini ung'ang'anie

    Hii kama sio video ya kiki basi ni murua kabisa💯
  8. comrade_kipepe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo mtu mzima nimekula kandarasi ya miezi 6 ya kuitumikia simu ya mkopo

    Ebana daah! Hapa mjini warembo ni wengi sana ila vigezo vyao sasa vinashangaza! Hua naenda kula mgahawa mmoja hivi kwa bimkubwa ambae nishamzoea, hua ananiambia ana mtoto wake wa kike anasoma CHUO (vyuo hivi baada ya kutoka O level, kiufupi bado m'bichi kabisa!) mi sikuwahi kumuona lakini...
  9. Miss Natafuta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta MTU mzima wa kunifariji

    Moyo wangu umeumia Sana jamani Niko down Sana Natafuta faraja tu Hata pm ,email . Karibuni
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni huzuni kuona watu wazima waliozaliwa kwenye familia zenye uwezo na zilizowajali wakipitia shida kwa sababu walipuuza fursa zilizokuwepo

    Kuna watu ambao wamezaliwa katika familia zinazojiweza, na walikuwa na nafasi nyingi mbele yao, lakini waliamua kuzichezea. Walikuwa na uwezo wa kusoma shule na vyuo bora, hata kuletewa walimu majumbani lakini walikataa elimu kwa kuona kupiga msuli ni mateso. connection zilikuwepo za kazi...
  11. Damaso

    JamiiForums Tanzania Picha za Ikulu, Mitandao, na Maadili: Ni nani aliyevunja kanuni?

    Kusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii. Hoja ya msingi si tu uwepo wa mgeni huyo, bali zaidi namna alivyovaa na mkao wake, ambao baadhi ya wananchi...
  12. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu hebu tujitathimini hivi Karne ya sasa ni yakushangaa nyumba ya mtu tena kwa mtu mzima? Hii ni aibu!

    Tunatia aibu kwakweli unaona kabisa mtu mzima amesoma lakini bado anashangaa nyumba za watu kwa kulalamika as if amekatazwa naye kujenga nyumba Kama hyo anayoishangaa, hebu vitu Vingine acheni viwapite. Eti oooh! Marehemu kaacha nyumba kubwa Sana, ww inakuhusu Nini? Eti oooh siasa inalipa kwani...
  13. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kumtisha Samia, ni kumtishia mtu mzima nyau!

    Huu ni ukweli mchungu ambao hata kama kuna watu hawaupendi, itabidi wauvumilie mpaka 2030! Tusimung'unye maneno, Samia urais anautataka, na amewekeza kuhakikisha anaupata! Kwenye siasa hakuna bahati mbaya! Kilichotokea kwenye mkutano mkuu, hakikuwa bahati mbaya! Ulikuwa ni mkakati uliopangwa...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mtu mzima ni kuanzia miaka 13. Foolish age (adolescence) ni ujanja wa wazungu kufanya vijana wajipe uhalali wa kufanya ujinga

    Mtu anapevuka na KUWA na uwezo wa kuzalisha au kuzalishwa mtoto siku hiyo huyo mtu amekuwa mtu mzima. Yaani mtu anaanza kuhesabika ni mtu nzima (adult) akimaliza Darasa la Saba. Umri wa miaka ya ujinga ( foolish age) ni ujanja wa wazungu kutuzubaisha. Nimekuja kuifuatilia hata wanafunzi wa...
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kuoa mwanamke mtu mzima anayenizidi umri

    Natumai mu bukheri wa afya hapa jamvini. Me kjana shabab shupavu miraba minne, nmekua na hisia kali sana kwa wanawake watu wazima (mishangazi). Nimekua nataman sana kuoa mwanamke anaenizidi umri ili awe mke wangu wa ndoa. Naahidi nitamskikiza na kumtii kwa kila kitu akitakacho, email yangu...
  16. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Mtu Mzima Utagundua Kwamba Salamu Ya Shikamoo Ni Mtihani

    Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo? Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's...
  17. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya mtu mzima na urafiki unaobadilika polepole

    Mtu anatoka kazini, anarudi nyumbani. Anafanya shughuli zake. Labda aende dukani.Akiwa njiani, salamu kwa majirani—hakuna mazungumzo marefu.Ni maisha ya kawaida, ya utulivu. Ule urafiki wa “buda niko base, pita” umeisha. Sasa ni “tupange weekend” lakini weekend ikifika kila mtu ana shughuli...
  18. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Unakuaje Mtu Mzima Katika Kundi Lako la Marafiki Kila Ukiambiwa Usimamie Ishu Fulani Hata 2000 Kila Siku Huna

    Tunaelekea wapi kama wanaume? Kuna kundi la wanaume ambao kwa namna ya kushangaza wamezoea kuishi ndani ya unyonge—unyonge wa kutokuwa na hata shilingi mfukoni. Hali ni mbaya kiasi kwamba hata mtu ambaye humjui binafsi, ukimuangalia tu unajisikia kero. Kwa nini? Kwa sababu umaskini wake...
  19. mrembomzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mume mtu mzima

    Hello, nahitaji mume mtu mzima, miaka 45-78. Mwanaume mtu mzima ambaye yuko tayari kuwa na mimi anicheki WhatsApp kwa maongezi zaidi 0747855329. UNAPOKUJA PM ZINGATIA MAELEZO.
  20. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kudhibiti mdomo wa mtu mzima usikae wazi muda wote?

    Kichwa kimejitosheleza. Na je hiyo ni "unconscious"/involuntary au ipo more psychological?
Back
Top Bottom