yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Mo Dewji usiponipa Majibu ya Kuridhisha juu ya haya Maswali yangu nakuwashia Moto na utaondoka Simba SC Mwenyewe

    Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo...... 1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania? 2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako? 3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC? 4. Mpaka hivi sasa tokea uwe...
  2. sky soldier

    Tatizo la kuwa na ukungu katika kutunza kumbukumbu limenianza taratibu, nifanye mambo yapi ili kulitatua ama kulipunguza?

    Nimekuwa na tatizo la kusahau sahau yani kitu kidogo tu kukitunza akilini nikifanye baada ya mda flani ama nikifatilie imekuwa ni ishu, Bado mimi ni kijana nina miaka 32 kwakweli naanza kuogopa hali itakuwaje nikifikia huko 50 - 60+ Kwa sasa situmii kilevi ila hapo nyuma tangu 2013 hadi 2022...
  3. KING MIDAS

    Nahitaji kuonana na watu hawa ili roho yangu ipone

    To yeye Nakubusu Bujibuji Simba Nyamaume GENTAMYCINE Mshana Jr Pascal Mayalla Nazjaz Sky Eclat Skylar Maxence Melo Santos06 UMUGHAKA Unique Flower Miss Natafuta bm x6 Jemima Mrembo Baba Swalehe litutumbwe
  4. Mabula marko

    SoC03 Nikufanyie nini ee nchi yangu kipenzi?

    Habari za wakati huu ndugu Kulikuwa na kijana mdogo aliyeitwa kaswahili, mzaliwa wa kijiji kidogo kutokea katika nchi ya Tanzania, kijana huyu alitamani sana kuiona Tanzania ikiwa nchi bora Zaidi kwa kila mtu kwani kaswahili alichoshwa sana na malalmiko ya wazazi wake pamoja na wazee wa pale...
  5. The Boss

    Biashara ya Restaurant inamshinda ndugu yangu

    Nina ndugu yangu kaanzisha biashara ya Restaurant na tayari imeanza kumshinda. Nilienda kufanya tathmini kidogo ili niweze kumshauri nikajikuta nashindwa cha kumshauri...ingawa makosa nimeyaona. Kosa kuubwa ni kumfanya mkewe ndo mpishi mkuu. Mapishi ya nyumbani kwao wameleta kwenye biashara...
  6. Brain Kingdom

    Kumbukumbu yenye machozi ya raha: Mara yangu ya kwanza kupata penzi la mwanamke wa Kiyao toka Tunduru

    Hakika duniani kuna mambo matamu yenye, raha na ladha, ilikuwa mwaka 2008 pisi moja Kali sana akiuza duka la nduguye baada ya kupita geti kuu la shule ya msingi tandika ukitokea stendi. Hii pisi ilikuwa kali sana yenye macho matamu yenye asili ya aibu. Enzi hizo napiga kazi za ajira salalary...
  7. Atalanta

    Sitosahau mara yangu ya kwanza kuingia Barbershop

    Katika maisha kila mtu anakuwa na matukio ambayo siyo rahisi kuyasahau hata akumbwe na changamoto ya namna gani. Leo na mimi nimeamua ku share na nyinyi Wana JF tukio hili ambalo sio la kutisha Bali Ni la kawaida tu Ila naimani linafunzo ndani yake, moja kwa moja tuanze Sasa.. Wakati...
  8. sky soldier

    Baba yangu hakuwa anawaamini watu. Alianza kunijengea tabia ya ubinafsi na kujitenga, nashukuru nilistuka mapema

    Nahisi mzee aliwahi kufanyiwa matukio kadhaa ya usaliti na walio wahi kuwa marafiki zake ama ni yeye mwenyewe hakuwa anachagua marafiki sahihi na hivyo kutendwa na wenzake. Sote tunajua kwamba watu wapo wazuri na wabaya lakini hii sio sababu ya kumbana mtoto kuwakwepa kabisa watu kwa kumkinga...
  9. GENTAMYCINE

    Majibu yangu Tukuka kwa wale Wanaonishambulia kwa Kumsema Mjane wa Mzee Mkono na Bintiye Mkubwa Leah

    1. Hamna mnachokijua hivyo tulieni tuli 2. Tayari Uzi umeshasomwa na Bi. Mkubwa 3. Nimepongezwa kwa Kulisemea hili kuliko mnavyonichukia 4. Kuanzia leo jitihada za haraka zitafanywa na Mwili kuletwa upesi 5. Uzi huu utakuwa ni Fundisho kwa Wamama Wengine 6. Najiona ni Mshindi wa Vita hii...
  10. Petro Masunga

    SoC03 Maoni yangu..

    Mtazamo wa mwananchi. Kama raia atakaye nchi yake iwe yenye maendeleo na ustawi kwa jamii, ni lazima kila idara iwe na uwajibikaji wa hali ya juu, uwajibikaji huo uwe na nidhamu ya nchi husika, hivyo ujenzi wetu hauwezi kuanzia juu, maana yake siyo serikali italeta maendeleo na ustawi kwa jamii...
  11. tecknologia23

    Jirani yangu

    Mimi naishi na familia yangu tumepanga, basi bhana jirani yetu ni handsome sana ila mkorofi na mchungu but anapendeza sana . Siku Moja alinikuta na mwanaume best yangu akawa Hana amani amezoea kunisalimia ila hiyo siku hajanisalimia sijui nikwanini Huwa hapendi nikiongea na wanaume ila haongei...
  12. Mohammed wa 5

    Iko wapi amani ya maisha yangu?

    Hope ni wazima Wana JF, Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara wa kuweza kumudu gharama za maisha lakini sifurahii chochote kwa sasa. Chazo sio familia nina mke na mtoto mmoja...
  13. GENTAMYCINE

    Jezi ya Timu yangu pendwa ya Marumo Gallants FC zinapatikana Duka gani hapa Dar es Salaam?

    Nataka nianze Kuivaa/ Kuzivaa mapema nikiamini kuwa Watanifurahisha na wataenda Kunifungia Midomo Wapuuzi na washamba fulani kutokea Zuzu Nation barani Afrika.
  14. Phobia

    Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

    Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea...
  15. President of China

    Mapendekezo yangu juu ya asili ya uwepo wa kila kitu

    Wapendwa wana JF nimekuwa nikitafakari sana kuhusu mambo yalivyo. Nimesoma vitabu vya dini nikasoma sayansi, nimefanya meditation na kufanya mambo ya kila namna. Lengo lilikuwa kupata kujua uhalisia wa Existance. Kila nikienda ndani zaidi mambo ndiyo yanazidi kuwa makubwa zaidi. Asili yangu...
  16. willpower

    Harakati za Mapenzi zilivyompeleka jela rafiki yangu

    Wasalaam; hii ilitokea, Nakumbuka miaka ile, tukiwa tumehitimu kidato cha sita, mtaani kwetu tulikuwa vijana 6 ambao tulikuwa tumehitimu elimu ya sekondari. Miaka ile utaratibu wa kujiunga na elimu ya Chuo Kikuu ilikuwa unasubiri mwaka mzima nyumbani. Utamaliza kidato cha sita mwezi wa tano...
  17. Melki Wamatukio

    Wanawake wa uswazi wanaivuruga sana akili yangu. Nifanye nini kuikabili hali hii?

    Sio siri wakuu. Mpaka sasa nimeamua kuweka makazi yangu Uswazi. Familia nimeiacha ushuwani huko Wanawake hawa wamekuwa ni watu wa kujiachia sana. Yaani kumkutiliza anafua huku kanga nyepesi inapepea na kuacha kitumbua wazi huko nyuma, haoni ajabu. Ni sawa na mtu aliyekisusa kabisa Wanawake wa...
  18. Choosen85

    Baba yangu aliwahi kuniambia nikiwaendekeza wanawake katu sitafanikiwa

    Wakuu mmebarikiwa sana, ninyi ni wa juu. Baba yangu aliwahi kuniambia mambo matatu kuhusu wanawake, na nikiwaendekeza katu sitafanikiwa na hakuna jambo taweza lifanya kama nisipokuwa makini. Moja, mwanamke ukshakuwanaye ndani yeye anawaza namna ya kukutawala na kuhakiksha mnakuwa kama ka...
  19. Melki Wamatukio

    Nawaza namna ya kumkataa rafiki yangu ambaye muda wote anawaza mbususu tu

    Tuanze na mwanzilishi wa neno "mbususu" sijui aliwaza nini. Linafanania na mahala husika. Wanawake walitambue hili Twende kwenye hoja. Huyu rafiki hana cha maana cha ku-share na wenzie tofauti na ulaji wa mbususu Utaskia mara oh mama fulani nimemla, mara mtoto wa fulani ana mbususu yenye...
  20. Maleven

    Licha ya uzuri na elimu, dada yangu hapati mwanaume wa kumuoa

    Namuona kabisa dada angu sasa anamawazo sana, anamiaka 28 sasa, kila anaemfata hayuko serious au ni mume wa mtu, wapo wengine sema sasa dada anasema anakosa hisia nao kabisa, anaogopa kujilazimisha. Alifikia hatua ya kutaka kupanga akakae mwenyewe, kitu ambacho baba na familia nzima...
Back
Top Bottom