Engine ya Toyota inayoweza kuvaa kwenye TATA PICK-UP

Ezeki62

New Member
Dec 5, 2023
4
6
Waungwana habari zenu. Naombeni ushauri,nina gari yangu TATA XENON DICOR 3.0L. Nahitaji kuibali Engine niweke injini ya Toyota. Je niweke injini gani inaweza kuwa poa.?
 
5.L ni injini bora na ina nguvu sana
 
Back
Top Bottom