Simu yangu nikipigiwa haioneshi jina la mpigaji hata option ya kupokea au kukata Simu siioni

Zekoddo

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
1,831
4,498
Wakuu, sielewi hii simu niliichezea vipi usiku wakati nimelala maana nililalia. Ila tatizo kubwa ni kuwa nikipigiwa huwa haioneshi jina/namba la mpigaji, pia haitokei option ya kupokea au kukata.. yaan zile alama za kijani na nyekundu.
So wataalam wa setting niende sehemu gani nikaset vizuri hili tatizo..
Ringtone inaimba vizuri tu.
 
Kama ni smartphone ingia kwenye setting+apps kisha chagua phone kisha hapo kwenye phone weka 'notification on'
Najua hujaelewa
 
Ingia phone master Kama huna jaribu kui restore na Kama huwezi kufanya hivyo Basi punguza vitu kwani simu yako imejaa
 
Wakuu, sielewi hii simu niliichezea vipi usiku wakati nimelala maana nililalia. Ila tatizo kubwa ni kuwa nikipigiwa huwa haioneshi jina/namba la mpigaji, pia haitokei option ya kupokea au kukata.. yaan zile alama za kijani na nyekundu.
So wataalam wa setting niende sehemu gani nikaset vizuri hili tatizo..
Ringtone inaimba vizuri tu.
Mbovu hiyooo peleka fundii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom