Mwanamke aliefanana jina la mama yangu ama mama mdogo wangu hachomoki na ananipenda kweli ni hadi mimi nimwache, kuna nguvu za kiroho ?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
nikiwa shuleni kulikuwa na binti anafanana na jina la mamdogo wangu, sijisifii lakini kiukweli alikuwa anafanya sana jitihada tuwe karibu japo nilikuwa domo zegei, alishajaribu kunipa vizawadi kadhaa, kunitetea mara kadhaa, n.k japo nilimuangusha sana wengine wakamchukua

Nilipoanza chuo nikakutana na mwengine ni jina la mama yangu na ni la kikabila japo yeye alikuwa sio kabila la mama, tulipendana sana ila alirudi kwao.

Mwengine nae mwaka juzi tulikutana ni jina la mama mdogo, yani suala la kuzoeana kwanza ni haraka tu, kila dalili zilikuwepo kwamba tunaweza kuwa couple ila ilishindikana tayari nilikuwa kwenye mahusiano ya uhakika.

Ila huwa ni nadra sana kukutana na mwanamke aliefanan jjna la mama yangu amam mama mdogo.

Siamini sana mambo ya kiroho ila kwenye hili nadhani kuna chembechembe zake
 
Ni coincidence tu mkuu, mambo ya kiroho ni kweli yapo kwenye issue za mahusiano, ila hii yako ni ya kawaida sana, the fact kwamba hao wengine ulio taja hukuingia nao kwenye mahusiano.

Halafu kuzoeana na mwanamke haimaanishi ndio anakupenda, ni mambo ya kawaida sana!

Ila nikijaribu kukusoma kwa kina, unaonekana umeteswa sana na mambo ya mahusiano, na hujawahi kuwa na furaha kwenye mahusiano!
 
nikiwa shuleni kulikuwa na binti anafanana na jina la mamdogo wangu, sijisifii lakini kiukweli alikuwa anafanya sana jitihada tuwe karibu japo nilikuwa domo zegei, alishajaribu kunipa vizawadi kadhaa, kunitetea mara kadhaa, n.k japo nilimuangusha sana wengine wakamchukua

Nilipoanza chuo nikakutana na mwengine ni jina la mama yangu na ni la kikabila japo yeye alikuwa sio kabila la mama, tulipendana sana ila alirudi kwao.

Mwengine nae mwaka juzi tulikutana ni jina la mama mdogo, yani suala la kuzoeana kwanza ni haraka tu, kila dalili zilikuwepo kwamba tunaweza kuwa couple ila ilishindikana tayari nilikuwa kwenye mahusiano ya uhakika.

Ila huwa ni nadra sana kukutana na mwanamke aliefanan jjna la mama yangu amam mama mdogo.

Siamini sana mambo ya kiroho ila kwenye hili nadhani kuna chembechembe zake

Kuna kitu
 
Back
Top Bottom