ngaiwoye

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
1,749
2,437
Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..

Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi cha vijana wadogo.

Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili....
Jaribu kumtag Mhe. Waziri. Kuhusu kuharibu maadili ya wanawake, maadili yashaharibiwa kitambo sana kupitia Bongofleva, yeye ni product tu.

Wewe umeumia sana, ila je wewe pia ni Mtakatifu?
 
Na mimi niliwaza kama hivyo. Huyu binti anapitia kipindi kigumu sana kisaikolojia.

Amefanikiwa kupata jina kubwa mno kuliko mafanikio aliyokuwa nayo na hili ndilo hasa linalomuumiza.

Ukichunguza anakuwa na uadui na kila mtu anaehisi ana mafanikio kuliko yeye hasa wanawake wenzake. Anahisi kila wanachopata wenzie ilipaswa akipate yeye.

Gigy Money ni aina ya watu anaetarajia ukiwa karibu nae umpe tu, hata ikiwa anakutukana uendelee kumpa kila anachohitaji. Kinyume na hapo unakuwa ni adui yake.

Gigy Money analaumu kila mtu kwa kukosa kwake isipokuwa yeye mwenyewe. Anajiona yeye ni victim kila sehemu.
Huyu nammithilisha na Ruby. Fikra zao zote ni moja.

Huyu binti anahitaji counselling ya hali ya juu mno. Hakuna malaya anejivunia umalaya. Huyu anajitoa ufahamu ili kuridhisha nafsi yake na kuhalalisha matendo yake.
 
Wasichana wadogo wanamfuatilia Gigy? Wazazi wao wapo wapi?

Mtoto wako unasubiri afundishwe maisha na gigy au wasanii? Wewe kazi yako ni nini? Mnataka serikali iwafanyie kila kitu. Usipomfunza mwanao maadili atafunzwa na ulimwengu.
 
umeacha kujadili mada tena unamjadili mleta mada?

vipi kwani unanufaika na huyo gigy kuuza papa?
Yeye anauza kwa sababu zake binafsi na inawezekana kabisa anatafuta tu kiki kama ilivyo kawaida kwa wasanii wa bongo, ila nikuulize: wewe hujawahi nufaika na hao wanaoiuza kwa Siri? Kama ni ndio kwanini umhukumu mtu ikiwa wewe una dhambi za kutosha.

Serikali hii haiwezi rekebisha maadili kwasababu imewapa uhuru wasanii ila isipitilize, jukumu la kuwalinda watoto wa kike ni jukumu la wazazi wala sio Serikali.
 
Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili....
Huyo Gigy ni mtu mzima.

Mwacheni aishi maisha yake.

Kwa nini mnajali sana maisha ya watu wengine? Hamna maisha yenu?

Huyo dada ni mtu mzima. Mwili ni wake.

Akiamua kuuuza, hilo ni jambo lake.

Fair exchange ain’t robbery!!

Leave her alone.
 
Yeye anauza kwa sababu zake binafsi na inawezekana kabisa anatafuta tu kiki kama ilivyo kawaida kwa wasanii wa bongo, ila nikuulize: wewe hujawahi nufaika na hao wanaoiuza kwa Siri? Kama ni ndio kwanini umhukumu mtu ikiwa wewe una dhambi za kutosha.

Serikali hii haiwezi rekebisha maadili kwasababu imewapa uhuru wasanii ila isipitilize, jukumu la kuwalinda watoto wa kike ni jukumu la wazazi wala sio Serikali.
ishu ya msingi hpa ni kwamba anaambukiza wengine kufanya huo ufuska.. afanye kwa siri basi maana hii sio biashara halali..
 
Back
Top Bottom