msaada tv yangu imeungua kifaa hiki

Gef

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
472
401
Hellow wanajamvi inshort naomba niende oneway on the point ni kwamba Tv yangu Hisense imeungua nilipeleka kwa mafundi Tv pale Service Center kwa watu wa Hisense wapo pale Kariakoo wakanambia Kibao (Motherboard imeungua yote) hivyo labda ninunue Kibao kingine na wao kwa bahati m baya hawana hivyo nikamchukua Fundi pale tukakubaliana tukaingia Kariakoo kwa mafundi wengine kutafuta walau kwa wenye nazo hata used.

Tulizunguka almost a whole day madukani na kwa mafundi hatujapata, hivyo imekuja kkwenu waja mnisaidie ambaye anaweza kufanikisha jambo hili either kwa madukani au kwa mafundi.
Tv ni Smart.

Mimi napatikana Jijini Dar es Salaam hapa hapa Jiji la lawama.

Ahsanteni na karibuni
 
Muwe mnanunua TV guard hasa hizo Hisense za siku hizi zinaungua sana.
Na siku nyingine ukiambiza habari za motherboard kuhusu kifaa chochote cha umeme cha ndani kuwa na plan B ya kununua kingine. Hakuna haja kuingia more than 65% ya gharama ya kifaa na usipate kikiwa kipya au kilekile cha ubora wa mwanzo.
 
Minilizan kioo ndio ishu kumbe hata mashine,Mimi ninayo HISENCE inch 40 LED Tv imevuja kioo,nikaambiwa kioo 350k nikasema hapa sinaongeza 100k tu napata mpya ngoja niiuze kama crepa,asee fundi aliefika bei kubwa ni 35k. Wanasema "hapa tunachotoa nimashine tu nasasaiv mchina amerahisisha mashine zipo hadi 30k" .nikasema msinitanie nimeirudisha maskan itulie tu
 
Kweli umaskini ni laana hiyo zaga ilioungua kuipata ni mtiti ila pia ukiipata tayari ninused kwa maumeme yetu haya na hivi huna kifaa chochote cha kuweka sawa umeme imekula tena imekula pabaya sana. Nunua tv mpya samsung au sony mbali na hapo unamtafutia fundi lawama
 
Minilizan kioo ndio ishu kumbe hata mashine,Mimi ninayo HISENCE inch 40 LED Tv imevuja kioo,nikaambiwa kioo 350k nikasema hapa sinaongeza 100k tu napata mpya ngoja niiuze kama crepa,asee fundi aliefika bei kubwa ni 35k. Wanasema "hapa tunachotoa nimashine tu nasasaiv mchina amerahisisha mashine zipo hadi 30k" .nikasema msinitanie nimeirudisha maskan itulie tu
Ikitulia baada ya muda itapona yenyewe
 
Hellow wanajamvi inshort naomba niende oneway on the point ni kwamba Tv yangu Hisense imeungua nilipeleka kwa mafundi Tv pale Service Center kwa watu wa Hisense wapo pale Kariakoo wakanambia Kibao (Motherboard imeungua yote) hivyo labda ninunue Kibao kingine na wao kwa bahati m baya hawana hivyo nikamchukua Fundi pale tukakubaliana tukaingia Kariakoo kwa mafundi wengine kutafuta walau kwa wenye nazo hata used.

Tulizunguka almost a whole day madukani na kwa mafundi hatujapata, hivyo imekuja kkwenu waja mnisaidie ambaye anaweza kufanikisha jambo hili either kwa madukani au kwa mafundi.
Tv ni Smart.

Mimi napatikana Jijini Dar es Salaam hapa hapa Jiji la lawama.

Ahsanteni na karibuni
Agiza motherboard ulaya utanishukuru ,dunia kijiji
 
Iliunguaje? Stabilizer ya 1.5KVA ni 100K pekee
niliconnect nyaya za input kutoka kwenye tv kwenda kwenye sub woofer sasa hapo ndio zilipeleka moto direct kwny tv siunajua zile hata kama unatumia tv guard hapo haiwezi kusaidia tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom