Chukueni maneno yangu, Bollen Ngetti atakiangamiza CCM na Taifa!

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Wanabodi,
Usipuuze maneno ya mlevi apitaye njia. Msikilize na kufuatilia ayasemayo baadaye. Kuna mtu nchi hii anatumia mwamvuli ya uanahabari (cover paper) akiitwa Bollen Ngetti.

Nimemfuatilia jamaa huyu kwa muda mrefu. Si Mwema kwa nchi yetu. Kama kuna wanaoamini Bernard Membe amefariki basi wajue Membe ni hai, na ni Bollen. Jamaa ni agent wa CIA Ukanda wa Afrika Mashariki akiangalia miradi ya USA katika masuala ya usalama. Ukifika USA embassy utamkuta pembeni benchi kama mwenzio kila siku. Huyu ndiye anajua "aliko" Magufuli.

Wanabodi, nimeamua kufunguka baada ya kujua mengi ya huyu mgeni akijiita kada wa CCM. Huyu jamaa ni maalumu kuvuruga siasa za nchi hii. CCM yumo na upinzani ni damu damu. Ameshiriki sana kumuondoa Chongolo kitini. Naomba msipuuzie maneno haya hususan vyombo vya usalama. Bollen ameonekana kwenye Mapinduzi ya Niger, Mali na Burkinafaso. Juzi mmemuona Gaza. Lakini akiwa Tanzania ni kada wa CCM. Special Mission kukiua CCM. Niishie hapo kwa Leo.
 
Nashindwa kuunganisha kitu hapa; kama unaamini Membe ndie Bollen wakati kiuhalisia Membe is nomore, na unaposema tena Bollen anajua alipo Magufuli...

Wakati nakumbuka Membe na Magufuli walikuwa paka na panya, sasa huyu Bollen iweje acheze pande zote, ina maana huyu Bollen anawaondoa wote?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi,
Usipuuze maneno ya mlevi apitaye njia. Msikilize na kufuatilia ayasemayo baadaye. Kuna mtu nchi hii anatumia mwamvuli ya uanahabari (cover paper) akiitwa Bollen Ngetti.

Nimemfuatilia jamaa huyu kwa muda mrefu. Si Mwema kwa nchi yetu. Kama kuna wanaoamini Bernard Membe amefariki basi wajue Membe ni hai, na ni Bollen. Jamaa ni agent wa CIA Ukanda wa Afrika Mashariki akiangalia miradi ya USA katika masuala ya usalama. Ukifika USA embassy utamkuta pembeni benchi kama mwenzio kila siku. Huyu ndiye anajua "aliko" Magufuli.

Wanabodi, nimeamua kufunguka baada ya kujua mengi ya huyu mgeni akijiita kada wa CCM. Huyu jamaa ni maalumu kuvuruga siasa za nchi hii. CCM yumo na upinzani ni damu damu. Ameshiriki sana kumuondoa Chongolo kitini. Naomba msipuuzie maneno haya hususan vyombo vya usalama. Bollen ameonekana kwenye Mapinduzi ya Niger, Mali na Burkinafaso. Juzi mmemuona Gaza. Lakini akiwa Tanzania ni kada wa CCM. Special Mission kukiua CCM. Niishie hapo kwa Leo.
hiyo mission inaweza kukamilika Yes. hiyo siwezi bisha hata kidogo. Nakubali kabisaa.

Lakini inaweza kuchukua zaidi ya miaka kati ya 70 au 120 ijayo mission kutimia kwa namna hali ilivyo....

Mark my words...
 
96126993.jpg
download (9).jpeg
EMee6jgWoAc2wxc.jpg
 
Back
Top Bottom