Nimemtetea Prophet Lovi mtandaoni kwamba Tatoo alizichora kabla hajaokoka then nimekuwa rewarded

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Last week niliandika Uzi hapa kuhusu namna unavyo weza kutengeneza pesa, network na connection kwa kufanya kazi ya KUBADILISHA UPEPO kuhusu watu wanao tuhumiwa au nyooshewa vidole na jamii kuhusu mambo mbalimbali.

Leo nimefanya jambo hilo kwa vitendo na nimekuwa monetary rewarded.

Ni hivi kama siku mbili zimepita zimesambaa picha mitandaoni zikimuonyesha mtu anae itwa Prophet Lovi.

Watanzania wana question kuhusu utumishi wa huyo mwamba kwa sababu.

1. Ana tatoo.

2. Ana rasta.

3. Ana vaa kipini.

Huko insta kwenye page husika, Mimi niliweka comment moja tu kwamba " watanzania Msiwe wavivu wa kufikiri hizo tatoo alizichora akiwa bado hajaokoka"

Dakika kumi nyingi nimepokea dm kutoka kwa mmoja kati ya sponsors wa mkutano wa mh.nabii.

Jamaa kapendezwa na comment yangu na kaomba niingie kwenye kamati ya (jina kapuni) na kibunda cha awali kimethibitishwa kwenye simu yangu (hawa jamaa.kumbe wanapiga hela sana aisee. Am thinking about something now)

Ndugu zangu katika zama hizi za maisha ya mtandaoni tujifunze kuzitumia fursa vizuri. Kila kitu ni fursa.

Tujifunze kutazama mambo kwa jicho la Engineer au mganga wa kienyeji.

Wakati nyinyi mnaona mto,ziwa au bahari, injinia anaona daraja.

Wakati wewe unajiona upo Sawa, mganga anakuona una jini mahaba.

Haya back to the point.

1. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA TATOO NYINGI HIVYO?

Majibu yangu: Mtumishi wa Mungu alijichora hizo tatoo katika kipindi ambacho bado hajaokoka.

2. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA RASTA KAMA BOB MARLEY?

Majibu yangu : Mtumishi wa Mungu kuwa na Rasta sio dhambi wala sio makosa kwa sababu hata Samsoni alikuwa Rasta. Na Samsoni alikuwa mnaziri wa Mungu tangu akiwa tumboni kwa mama yake.

3. INAKUWAJE MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA KIPINI PUANI?

Majibu yangu: Katika mila za baadhi ya makabila ya Kiafrika wakiwemo washona na wandebele wa Zimbabwe ambako Mtumishi wa Mungu anatoka, ni alama ya heshima kwa mwanaume au mwanaume aliefikisha umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea kutoga pua zake na kuvaa kipini PUANI. So kwa kuvaa kwake kipini, Mtumishi wa Mungu alikuwa anadumisha mila na desturi za kwao.

NA MPIRA UMEKWISHAAAA
 
No hivi kama siku mbili zimepita zimesambaa licha mitandaoni zikimuonyesha mtu anae itwa Prophet Lovi.

Watanzania wana question kuhusu utumidhi wa huyo mwamba kwa sababu.

1. Ana tatoo.

2. Ana rasta.

3. Ana vaa kipini.

4. Mavazi yake.

Huko insta kwenye page husika, Mimi niliweka comment moja tu kwamba " watanzania Msiwe wavivu wa kufikiri hizo tatoo alizichora akiwa bado hajaokoka"

Dakika kumi nyingi nimepokea dm kutoka kwa mmoja kati ya sponsors wa mkutano wa mh.nabii.

Jamaa kapendezwa na comment yangu na kaomba niingie kwenye kamati ya ( """ jina kapuni) na kibunda cha awali kimethibitishwa kwenye simu yangu( hawa jamaa.kumbe wanapiga hela sana aisee. Am thinking about something now)

Ndugu zangu katika zama hizi za maisha ya mtandaoni tujifunze kuzitumia fursa vizuri. Kila kitu ni fursa.

Tujifunze kutazama mambo kwa jicho la Engineer au mganga wa kienyeji.

Wakati nyinyi mnaona mto,ziwa au bahari, injinia anaona daraja.

Wakati wewe unajiona upo Sawa, mganga anakuona una jini mahaba.
Umeshaunganishwa kwenye chama chao huko kuzimu. Jiandae
 
Last week niliandika Uzi hapa kuhusu namna unavyo weza kutengeneza pesa, network na connection kwa kufanya kazi ya KUBADILISHA UPEPO kuhusu watu wanao tuhumiwa au nyooshewa vidole na jamii kuhusu mambo mbalimbali.

Leo nimefanya jambo hilo kwa vitendo na nimekuwa monetary rewarded.

Ni hivi kama siku mbili zimepita zimesambaa picha mitandaoni zikimuonyesha mtu anae itwa Prophet Lovi.

Watanzania wana question kuhusu utumishi wa huyo mwamba kwa sababu.

1. Ana tatoo.

2. Ana rasta.

3. Ana vaa kipini.

Huko insta kwenye page husika, Mimi niliweka comment moja tu kwamba " watanzania Msiwe wavivu wa kufikiri hizo tatoo alizichora akiwa bado hajaokoka"

Dakika kumi nyingi nimepokea dm kutoka kwa mmoja kati ya sponsors wa mkutano wa mh.nabii.

Jamaa kapendezwa na comment yangu na kaomba niingie kwenye kamati ya (jina kapuni) na kibunda cha awali kimethibitishwa kwenye simu yangu (hawa jamaa.kumbe wanapiga hela sana aisee. Am thinking about something now)

Ndugu zangu katika zama hizi za maisha ya mtandaoni tujifunze kuzitumia fursa vizuri. Kila kitu ni fursa.

Tujifunze kutazama mambo kwa jicho la Engineer au mganga wa kienyeji.

Wakati nyinyi mnaona mto,ziwa au bahari, injinia anaona daraja.

Wakati wewe unajiona upo Sawa, mganga anakuona una jini mahaba.
Chai
 
Kwa wasiomjua prophet lovy
images (15).jpeg
 
Haya back to the point.

1. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA TATOO NYINGI HIVYO?

Majibu yangu: Mtumishi wa Mungu alijichora hizo tatoo katika kipindi ambacho bado hajaokoka.

2. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA RASTA KAMA BOB MARLEY?

Majibu yangu : Mtumishi wa Mungu kuwa na Rasta sio dhambi wala sio makosa kwa sababu hata Samsoni alikuwa Rasta. Na Samsoni alikuwa mnaziri wa Mungu tangu akiwa tumboni kwa mama yake.

3. INAKUWAJE MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA KIPINI PUANI?

Majibu yangu: Katika mila za baadhi ya makabila ya Kiafrika wakiwemo washona na wandebele wa Zimbabwe ambako Mtumishi wa Mungu anatoka, ni alama ya heshima kwa mwanaume au mwanaume aliefikisha umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea kutoga pua zake na kuvaa kipini PUANI. So kwa kuvaa kwake kipini, Mtumishi wa Mungu alikuwa anadumisha mila na desturi za kwao.

NA MPIRA UMEKWISHAAAA
 
Mwili ni Kama kava la simu , Ila MTU anakaa ndani na sio physical appearance

Hivyo huyo nabii yupo sahihi Sana. I see him to the top
 
Back
Top Bottom