Assalam aleikum,
Hivii Watanzania haswa watumiaji wa JamiiForums mnalenga nini haswa? Ni kweli mnasherekea mnapoona Wakenya wanataabika? Uhasimu wa aina hii ulitokea wapi? Wenzetu wanakufa sisi tunasherekea? Vita ya uchumi isituletee laana Kwa taifa zima. Tafadhali tubadilike, ushindani ni...
Watu wanashindwa kuelewa tu. Ni kuwa wanaonda kugombea ubunge si kwamba walienda kuchukua form wakijua kuwa Rais hatojua. Taarifa walizitoa kwa Rais naye aliruhusu pasipo na shaka.
Kutengua ni jambo analolifanya in public watu tu wapate picha flani lakini wote watia nia wanafahamu kuwa wana...
Kwa kutazama filamu ya kiuchaguzi inayoendelea hivi sasa, ninaishiwa maneno ya kuzungumza. Lakini, kwakuwa JF ni a house of great thinkers, chukueni yafuatayo ili mchanganye na zenu kuelekea Oktoba 2020:
1. Kila katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, CCM lazima 'imuondoe' kada wake mmoja...
Nakumbuka Polepole alitoa kauli akiwaonya wale wanaotaka kugombea ubunge huko wakiwa ni wateule kuwa huko ni kuwa na tamaa na akiwaonya juu ya kufanya hivyo huku akisema yeye aliongea kwa niaba ya anaaewateua.
Nadhani hata mteuaji mwenyewe alitoa onyo kama hilo hivi karibuni na wote mnajua...
Wakuu kuna jambo linaniumiza sana.
Jambo lenyewe linaitwa UNAFIKI.
Unafiki kwa nchi za Kiafrika umekuwa mkubwa sana.
Hivi mtu anautoa wapi ujasiri wa kumwambia kijana ajiajiri huku hajampa mtaji?
Alaaniwe!!!
Hakuna kijana mvivu, hakuna kijana mwenye akili timamu anapenda kuwa tegemezi. Ila...
Kuna watu hususa kuhudumia wateja wakorofi na wenye roho mbaya
Huyu mhudumu alijikuta akipata utajiri kwa kuhudumia mteja mwenye roho mbaya.Kuna la kujifunza kwa wahudumia wateja
Ni maneno ya Membe alipo mjibu swali ndugu Generali Ulimwengu.
Hoja hapa ni kwa usalama upi wa hakika kama kachero huyo kama alivyo jinasibu mwenyewe kwamba yu kazini bado hadi kiama kwa yeye kuwa upinzani au ni zuga na yupo kazini hata huko?
Je, ni kweli mtumishi huyo mtiifu wa idara yetu...
Mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 35+ akawa smart, akawa na afya njema, akawa sio mtu wa makundi, huku uchumi wake ukiwa wa wastani n.k ana nafasi kubwa sana ya kukubalika kwa mwanamke yeyote yule; na kwa asilimia kubwa wanaume (mabaharia) hawa wenye hizi sifa wanasumbuliwa sana.
Unaweza...
Officialshilole Naandika haya, nikiwa na akili timamu na utulivu, La kwanza kabisa nataka KUOMBA RADHI JAMII YANGU. Naomba radhi kwa sababu niliwaaminisha ndoa yangu haina tatizo, huku ukweli ukiwa hauko hivyo, nimekuwa mtu wa kuambulia vipigo na MENGINE yasiyozungumzika, Naomba radhi kwa sababu...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2016 Mkoani Ofisi ya Mkuu wa Wilaya nimeingia pale ndani nikiwa nimeshavaa kiheshima mpaka basi,
Nimekutana pale Wanajeshi tofauti wenye Vyeo wamezunguka Meza huku ya Veti vyangu Original vinazunguka Mikononi Mwao, Yani nilitegemea ntaulizwa Mambo kama Mkuu wa majeshi...
Si kwamba Lema ni mwanasiasa mzuri sana au utendaji wake ni wa viwango, kiukweli huyu jamaa ametokea tu kukubalika.
Inahitajika saikolojia ya viwango kuweza " kumfifisha" huyu jamaa mbele ya machalii wa A - town na siyo hii ya kuadhibu wataalamu barabarani kana kwamba nao ni wanasiasa.
Watu...
9 Julai 2020
Haki msingi wa amani, na haki ni kwa wote, kokote, bila ubaguzi - Jenerali Ulimwengu
Source : Jenerali Online
Dhana ya Msamaria Mwema niliyoitumia kuhitimisha makala yangu ya mwisho ni muhimu sana katika falsafa ya kisasa kwa maana kwamba inaelezea wema unaotendwa na mtu ambaye...
Wakuu, nimetafakari sana baada ya kupitia threads za kwenye jukwaa hili. Utakuta waanzilishi wa threads zilizo nyingi ni wa TZ badala ya wakenya.
Hii imekaaje?
Tujadiliane.
Miezi kadhaa Ago Ndugu Gwajima alikuwa Shujaa sana wa Chadema kwa kuongea kwake pumba na maneno ya hovyo hovyo.sisi wenye akili hatukuwa tunakubaliana naye. Hata ile Video ya Mkono wa Baunsa CCM waliisimamia kuwa ni yeye na Chadema wakasema si yeye ni Mkono wa Baunsa.
Leo imekuwa kinyume. CCM...
Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti.
Rais...
Katika mahojiano kati ya Mhe. B. C. Membe na Sammy Awami wa BBC Swahili, alisikika akijibu swali linalohusu vyombo vya usalama na ulinzi vya dola kuingilia masuala ya uchaguzi wa kisiasa; mfano, Urais, Wabunge na Madiwani na kuharibu usawa katika uwanja huo.
Akiwa kama 'kachero mbobezi na...
Mwaka huu wa 2020 kuna uchaguzi mkuu, kumekuwa na heka heka kila kona ya nchi, katika vyama mbali mbali watu wakipigana vikumbo kuomba kugombea nafasi mbali mbali, hususani viti vya ubunge. Kwa leo hapa nitajikita kuchambua heka heka hizo kwa nafasi ya ubunge hasa kwa chama cha mapinduzi (CCM)...
Mapenzi bhana.
Kuna wadada wawili tumbo moja, wazuri na wanavutia sana lakini mdogo mtu alikuwa mzuri zaidi, mkimya mwenye dharau ndani yake ya kujiona yuko level flani hivi za juu. Huyu ndio macho na hisia zangu ziliangukia kwake, alifanya kila weekend nisafiri kutoka Mtwara nilipokuwa kikazi...
Sasa naamini Mungu anailinda Tanzania na korona, lakini pia sababu sisi ni wasafi sana kuhusu pua na mdomo, tunakinyaa cha vyote kutoka puani na mdomoni.
Yaani dunia nzima inavyoogopa korona na bado kuipata kwa wingi zaidi, pamoja na lockdown zao kali za hata kuuwa wananchi wasiofuata sheria...
Ndani ya CHADEMA democrasia zero lakini wakiwa nje ya CHADEMA democrasia 100%
Kuna wakati nakumbuka walikuwa wanamsema marehemu Nkurunzinza na Kagame wanang'ang'ania madaraka wakati wenyewe Mzee Mbowe anavipindi zaidi ya vinne ofisini, ni ngumu sana mtu kuwaelewa hawa watu.
Leo hii wameweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.