Huku Kampeni zikiwa zimeshaanza na Uchaguzi Mkuu kukaribia hatimaye Rais wa 'Malawi ya Kaskazini' awapandishia 'Mishahara' Wanajeshi wote

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,922
Kwa tulioko hapa nchini 'Malawi ya Kaskazini' tunajua kuwa sasa Kampeni za Uchaguzi Mkuu zimeshaanza japo nimegundua kuwa kumbe kwa mara ya Kwanza Uchaguzi Mkuu wa hapa 'Malawi ya Kaskazini' umefanana mno 'Kiratiba' na ule Uchaguzi Mkuu ambao nimesikia kuwa unaenda Kufanyika pia kwa 'Majirani' zetu Watanzania ( Tanzania ) japo ambalo limeleta 'Utamu' wa Kidemokrasia.

Kilichotushangaza sana Sisi wana 'Malawi ya Kaskazini' ni Kitendo cha huyu Rais wetu Kuwapandishia 'Mishahara' Wanajeshi wetu 'Kisirisiri' huku 'Watendaji' wengine ambao nao pia wana 'Umuhimu' mkubwa wa 'Kiufanisi' hapa nchini nilipo 'Kimakazi' wakiachwa na Mishahara yao ile ile midogo na ya kawaida sana.

GENTAMYCINE nimetembelea nchi kadhaa za Afrika ila sijawahi Kukutana na 'Wanajeshi' ambao ni 'Wambea' na wasio na 'Vifua' vya Kutunza 'Siri' zao kama wa hapa 'Malawi ya Kaskazini' hasa hasa wakiwa 'Vijiweni' wanakunywa 'Gongo' au wanataka Kununua 'Mbunye' Mitaani. Upuuzi huu kamwe huwezi 'Kuukuta' kwa Majeshi yenye Nidhamu na Uweledi kama ya Tanzania, Rwanda na Angola.

Nadhani ipo haja sasa ya huyu Rais wa hapa 'Malawi ya Kaskazini' na Jeshi lake 'Kujifunza' Uweledi wa Majeshi ya Tanzania, Rwanda na la Angola.
 
Malawi kaskazini ya Tanzania ..wenye akili tumekuelewa mkuu..hadi polisi wameongezewa kinyemela
emoji23.png
emoji23.png
emoji125.png
emoji125.png
emoji125.png
 
Hahaa, pia wanajeshi wote wa nchi hiyo wamezuiwa kwenda likizo hadi uchaguzi mkuu upite.

Yani hii nchi hii...

Mkuu Wewe si ulishawahi kuniambi kuwa upo Kimakazi huko Burundi sasa iweje tena nawe leo useme uko hapa 'Malawi ya Kaskazini' nilipo Mimi?
 
Back
Top Bottom