wote

  1. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Enyi wana-CHADEMA na wapenda haki wote Tanzania tumieni simu zenu kama silaha

    Kwa wewe Mtanzania mpenda Haki popote ulipo Itumie hiyo simu yako Kama silaha. Natambua simu nyingi Zina kamera,tumieni kamera hizo wakati wote kurekodi tukio lolote lenye kunyima Haki,uonevu,dhuluma ama kitendo chochote chenye uvunjifu wa amani kipindi hiki Cha Uchaguzi Mkuu. Kuweni waangalifu...
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Kutoka uwanja wa Uhuru: Tamasha la CCM linalojumuisha wasanii Tanzania

    Nitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM. Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa barani Afrika CCM.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwetu sote: "Asiyekubali kushindwa si mshindani"

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. CCM, CDM, ACT,CUF, NCCR nk, mnaotupa karata zenu kuomba ridhaa kuongoza katika nyadhifa zozote zilizopo na sisi wapiga kura, uzi huu unatuhusu, sote kabisa. Kama ilivyo katika mashindano, hatima ya ushindi au kushindwa kwenye...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu mpya Mkoa wa Dar es Salaam ni mfano mzuri wa kuigwa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya

    Nimefarijika sana pale nilipomsikia mkuu mpya wa mkoa wa Dar es Salaam alipokuwa anajitambulisha na kuongea na wazee wa mkoa. Huyu mteule anaonekana kutokana na maneno yake kuwa ni mtu wa busara na mwenye maono ya uongozi; amegundua kuwa wazee ni hazina kubwa kwa kiongozi yeyote yule kwani...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania CCM bora ya muda wote kwangu ni ile iliyoongoza mapambano Kusini mwa Afrika na ile iliyomchapa Nduli, hizi CCM nyingine sijawahi kuzielewa

    Kwakweli linapokuja swala la CCM bora kwangu ni hiyo hapo juu. 1. Iliyoongoza mapambano dhidi ya makaburu kule nchi za Kusini. 2. Iliyoongoza mapambano ya kumchapa nduli Uganda. CCM hii iliweza kuunganisha watu ndani na nje ya nchi. CCM ya Sasa imegawa sana Watanzania kuliko kipindi chochote...
  6. alm

    JamiiForums Tanzania Hili ni jukumu letu sisi Watanzania wote kwa umoja wetu

    Bila kujali tofauti zetu za kisiasa, kidini, kijinsia nk ni jukumu letu sote kama Watanzania wapenda amani, umoja na mshikamano wa taifa letu kumwondoa Rais Magufuli mwaka huu kupitia sanduku la kura wakati wa uchaguzi mkuu unaofanyika mwezi Oktoba. Pamoja na mazuri machache sana aliyofanya...
  7. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Jeshi la Polisi liwe fair kwa watu wote bila kujali itikadi zao za kisiasa

    Kwa mara ya kwanza leo Masoud Kipanya ameanzisha mjadala wenye heshima kwa Radio Clouds. Ameanzisha mada ya kumuonya IGP Sirro baada ya magazeti kum-quote akionya wanasiasa kwa kauli ziwezavyo kuchafua amani. Wamemhoji mbona kuna mtu kila siku anajirekodi na kurusha habari za uchochezi akiwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamin Wanachama, mashabiki na wapenzi wa Timu ya Yanga linapokuja swala la Timu ya Yanga wote wanakuwa na akili sawa!!

    Bila kujali elimu zao, nafasi zao kama waziri', muhandisi, kamishna, mkurugenzi au mwandishi wa habari wote level yao ya uelewa inakuwa chini ya STD 7!! Imagine mwandishi eti anahoji mbona Morrison alikubali kwenye audio clip badala ya kuhoji Mkataba ni OG au Fake! Imagine mtu mwenye akili...
  9. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msipompitisha Lissu watampigia Membe, msipompitisha Membe watampigia Rungwe, msipowapitisha wote raia watasusia uchaguzi

    Tunawaambia ukweli kabisa, ili mnapofanya maamuzi yenu mkae mkijua raia wamechoka na hizo ndizo options walizonazo. Kimbilio la wengi kwa sasa ni Lissu. Ila kwa sababu kuna kila dalili ya kukatwa, basi option ya pili waliyonayo raia ni Membe. Mkimkata na yeye raia wanaona ni bora hata wampe...
  10. Mchezaji

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Lebanon yajiuzulu baada ya mlipuko wa Beirut. Waziri Mkuu asema ufisadi uliopo ni mkubwa kuliko taifa lenyewe

    Serikali ya Lebanon imejiuzulu takriban wiki moja baada ya kutokea mlipuko mkubwa mjini Beirut, huku Waziri Mkuu Hassan Diab akilaumu ufisadi kama chanzo cha ajali hiyo Katika hotuba yake, Diab amesema kilichotokea ni matokeo ya ufisadi ulio mkubwa kuliko taifa lenyewe na kwamba anaachia...
  11. Dam55

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nikiapishwa kuwa Rais wa Tanzania viongozi wote wa dini (mashekhe) watarudishwa Zanzibar

    Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar. Hapa anamaanisha mashekhe wa uamsho ama ni viongozi wepi hao? Na je kurudishwa Zanzibar tu ama kuachiwa huru kabisa mbona ameweka...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Ijumaa ya Kwanza ya Agosti: Siku ya Kimataifa ya Bia. Kunywa Bia kufurahia wote wanaohusika katika utengenezaji wake

    Bia ni moja ya vinywaji vya zamani vinavyojulikana. Siku ya Bia Duniani inawapa wapenzi wa kinywaji hicho sababu moja zaidi ya kunywa kila Ijumaa ya kwanza ya mwezi Agosti Siku hii ilianza huko Santa Cruz, California, kusherehekea Wataalamu wa kusindika na kuthamini wale wote wanaohusika katika...
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu 11 kwanini Lissu atapata ushindi wa asilimia ndogo kuliko wote tangu 1995

    1: JPM anamengi yakuonekana aliyofanya kwa wananchi Lissu hata jimbo lake tu hakuna chochote cha kuonyesha. 2: Kila vita anayoingia JPM anapata ushindi au nusu ushindi (MAKINIKIA) wa kugusika, Lissu ni nusu ushindi au ushindi wa maneno. 3: Lissu amejipanga kutumia tuhuma kujinadi wakati JPM...
  14. Zurie

    JamiiForums Tanzania Hata msipotwaa urais, ACT-Wazalendo mmefunika wote 'kifashoon'

    Tuanze na Quote ya Tom Ford kwanza "Dressing well is a form of good manners". ACT- Wazalendo wamejipanga kusuuza nyoyo zetu tunaopenda Mitindo. Najua mtasema nguo zinawasaidia nini wagombea? Maybe haziwasaidii lakini kongole lazima wapate. I am not too political hivyo hata nikiangalia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU ya mwaka huu ni butu, Magufuli tumbua wote ili isukwe upya

    Sitaki kuamini mpaka leo tunavyoongea kura za maoni zimemalizika ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hatujaona mahabusu mbalimbali zikijaa waliokuwa Wagombea au watia nia ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hizi ni dalili kuwa TAKUKURU hawana nia ya dhati kupambana na rushwa bali ni wapigaji tu na...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin ndiye tajiri kuwazidi wote duniani, ila ni msiri wa ajabu

    Mali yake imefuatwa kimya kimya na kukadiriwa kuwa $200b, hiyo ni sawa na ukijumlisha GDP ya mataifa kama saba hivi ya Afrika, lakini jamaa ni msiri kupita maelezo............ They say money equals power, and Vladimir Putin has plenty of power of right now. But how much money does he have...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa kuishi pamoja, kwani kuishi peke yako Kwa vijana kuna changamoto nyingi na wengi wetu hatupendi Ila...
  18. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkapa: Imani za kishirikina nyumbani Lupaso zilisababisha Mama, bibi na bibi yake mama kupigwa na kuteswa kwa tuhuma za kusababisha ukame

    Kisa hiki kipo kwenye kitabu chake na kinasimuliwa na Profesa Mkandala Kutokana na Familia ya Mkapa kuonekana inajiweza kidogo ilionewa wivu na chuki, Mwaka 1947 kulitokea ukame mkali watu wakamleta mganga wa kienyeji pale Kijijini kwao Lupaso, wakaamua Mama mzazi wa Mkapa, bibi yake na Bibi wa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwenu Makamanda na wanamageuzi watukuka

    "Njia ya kwenda Ikulu ni nyeupe, pee!" Hayo si maneno yangu bali ya kachero mbobezi katika ubora wake. Alikwenda mbele zaidi kachero yule kwa kusema: "Lakini itabidi kukaa chini na wenzetu, kujipanga na kusimika kisiki haswaa," akamalizia, "cha mpingo" Mmpende, mmchukie: Kachero mbobezi yuko...
  20. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania JAY Z: Malumbano ya familia/ Kumpiga kaka yake RISASI / Usaliti kwa Beyonce/ Msamaha na Funzo kwa mabaharia wote

    Nampenda Jay kwasababu anaimba na kuandika maisha yake halisi. Ukisikiliza nyimbo yake ya You Must Love Me na Kill jayz, amewahi kutaja kisa cha kumpiga risasi kaka yake, akiwa na umri wa miaka 12. Walipitia maisha magumu na familia yake na ni msimu ambao hata baba yake aliitelekeza familia...
Back
Top Bottom