jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Wanajamvi,
Kwa wale ambao wamefuatialia “Tanzania demographics”, watakubaliana na mimi. Lakini pia kama upo Tanzania utaelewa ninachosema.
Lakini kuna mabandiko mengi ambayo nilikwishazungumzia kuhusu “Tanzania Demographics”, haswa kwenye thread za kuhusiana na “COVID-19”. Ambapo niliweka taarifa hizo za mataifa yaliyomo kusini mwa jangwa la Sahara, ambapo wananchi wake ni vijana wadogo kuanzia miaka 15.
“Tanzania has a very low median age with more than 44.8% of the population under 15, 52% between 15 and 64 and just 3.1% over the age of 64.”
Tanzania Population 2020 (Demographics, Maps, Graphs)
Umri wa kati wa mtanzania, ama “medium age”, ni miaka 17.5 kwa wanaume na miaka 18 kwa wanawake. Ni muhimu kuhakikisha kwamba vijana wote wenye umri wa kupiga kura ambao ni miaka 18, wanafanya hivyo. Vijana wakipiga kura, watakuwa radhi zaidi kuzilinda.
Hili suala la “demographics”, pia litatuwezesha kufahamu ukweli kuhusu wananchi waliojiandikisha kupiga kura, mara ya mwisho niliona mamilioni mengi. Sasa hapo inabidi vyama viwe makini sana. Cha muhimu ni wapiga kura.