Askofu Shoo: Tujiepushe na mabaradhuli

saidi kindole

JF-Expert Member
Sep 21, 2012
310
792
Mwaka huu mwezi oktoba kutakuwa na uchaguzi mkuu katika nchi yetu, majira haya ni majira ya uchaguzi wa serikali kuu, kuchagua Rais, wabunge na madiwani-Askofu Shoo.

Wakati wa uchaguzi mkuu tujiepushe sana na “MABARADHULI” na wachochezi wenye nia ya kuleta magomvi, na FUJO, nimesikitishwa sana na VITENDO ambavyo vinafanywa na vijana WAHUNI wachache, sijajua nani anawaongoza kushambulia mikutano ya wanaotafuta WADHAMINI”- Askofu Shoo.

“Jambo hili (la kuvamia wanaopita kutafuta wadhamini) linafaa kukemewa kwa sababu huo ni mwanzo wa jambo la HATARI ambalo linaweza kuleta shida na kuvuruga amani”- Askofu Shoo.

“Mimi naweza kusema MTU muovu kupita wote ni yule anayeruhusu watu waovu kutawala, hii inafanyika kwa kuto kushiriki kikamilifu katika michakato yote sahihi ya kuwapata viongozi kama maneno yasemayo siasa ni mchezo MCHAFU”- Askofu Shoo.
 
Wakati wa uchaguzi mkuu tujiepushe sana na “MABARADHULI” na wachochezi wenye nia ya kuleta magomvi, na FUJO, nimesikitishwa sana na VITENDO ambavyo vinafanywa na vijana WAHUNI wachache, sijajua nani anawaongoza kushambulia mikutano ya wanaotafuta WADHAMINI”- Askofu Shoo
“Jambo hili (la kuvamia wanaopita kutafuta wadhamini) linafaa kukemewa kwa sababu huo ni mwanzo wa jambo la HATARI ambalo linaweza kuleta shida na kuvuruga amani”- Askofu Shoo
Sasa mbona wakati huo huo akiasa dini ijitenge na siasa halafu anachukizwa tena na mgombea wake kufanyiwa fujo?!
 
Mwaka huu mwezi oktoba kutakuwa na uchaguzi mkuu katika nchi yetu, majira haya ni majira ya uchaguzi wa serikali kuu, kuchagua Rais, wabunge na madiwani-Askofu Shoo
Wakati wa uchaguzi mkuu tujiepushe sana na “MABARADHULI” na wachochezi wenye nia ya kuleta magomvi, na FUJO, nimesikitishwa sana na VITENDO ambavyo vinafanywa na vijana WAHUNI wachache, sijajua nani anawaongoza kushambulia mikutano ya wanaotafuta WADHAMINI”- Askofu Shoo
“Jambo hili (la kuvamia wanaopita kutafuta wadhamini) linafaa kukemewa kwa sababu huo ni mwanzo wa jambo la HATARI ambalo linaweza kuleta shida na kuvuruga amani”- Askofu Shoo
“Mimi naweza kusema MTU muovu kupita wote ni yule anayeruhusu watu waovu kutawala, hii inafanyika kwa kuto kushiriki kikamilifu katika michakato yote sahihi ya kuwapata viongozi kama maneno yasemayo siasa ni mchezo MCHAFU”- Askofu Shoo
Naweza kusema.. MTU MUOVU KULIKO WOTE NI YULE ANAE MUWEZESHA MTU MUOVU KUTAWALA..,Hii kauli ni tata sana.. Akili kichwani.
Ila hata ukimsikiliza RC wa Kilimanjaro inainyesha anamjua alie sababisha lile tukio. Maana ana mwambia Baba Askofu Shoo kwamba Baba naamini unajua hao vijana maana wewe umetoka kwenye eneo hilo, na matatizo ya hilo eneo unayafahamu.
Wasamaria wema walisaidia kumtja DC wa Hai. Lakini hakuna action..
 
Mwaka huu mwezi oktoba kutakuwa na uchaguzi mkuu katika nchi yetu, majira haya ni majira ya uchaguzi wa serikali kuu, kuchagua Rais, wabunge na madiwani-Askofu Shoo.

Wakati wa uchaguzi mkuu tujiepushe sana na “MABARADHULI” na wachochezi wenye nia ya kuleta magomvi, na FUJO, nimesikitishwa sana na VITENDO ambavyo vinafanywa na vijana WAHUNI wachache, sijajua nani anawaongoza kushambulia mikutano ya wanaotafuta WADHAMINI”- Askofu Shoo.

“Jambo hili (la kuvamia wanaopita kutafuta wadhamini) linafaa kukemewa kwa sababu huo ni mwanzo wa jambo la HATARI ambalo linaweza kuleta shida na kuvuruga amani”- Askofu Shoo.

“Mimi naweza kusema MTU muovu kupita wote ni yule anayeruhusu watu waovu kutawala, hii inafanyika kwa kuto kushiriki kikamilifu katika michakato yote sahihi ya kuwapata viongozi kama maneno yasemayo siasa ni mchezo MCHAFU”- Askofu Shoo.
Mbona anarudia rudia hayo maneno. Juzi tumemsikia akisema na leo tena anasema hivyo hivyo, kulikoni?
 
Wote wenye nia ovu na upinzani nchi hii watashindwa, yule mmoja wa Dsm ameshaanza kuanguka, na wengine watafuatia, ole wao.
 
Back
Top Bottom