wote

  1. Malcolm X5

    JamiiForums Tanzania Baba na Mama wote ni O+ Inakuwje mtoto ana A-?

    Habari zenu wadau, Nina serious issue, inanisumbuaga miaka nenda rudi, nashindwa kuelewa, whether ni uelewa wangu mdogo wa group za damu au la? Ninaomba msaada kwa mtaalamu anayeweza kunidadavulia,nitashukuru sana. Inawezekanaje Baba na Mama wote wakawa O positive na kuzaa mtoto mwenye damu A...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli tuko katika Majonzi makubwa, lakini Kocha wa Yanga ametutukana Watanzania wote. Akamatwe upesi

    Hii haivumiliki na GENTAMYCINE nasema tena kuwa hii haivumiliki na namuomba Waziri wa Michezo aamuru Jeshi la Polisi nchini Tanzania chini yake IGP upesi sana wamsake (wamtafute) popote pale alipo Kocha wa Yanga SC Raia Ubelgiji Luc Eymael kwa ‘ Matamshi ‘ ya Kuidhalilisha Tanzania na hadi Sisi...
  3. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hatutaki maandamano yenu Jumatatu kumpokea Lissu, tuko katika msiba mkubwa wa kitaifa wa Marehemu Benjamin W. Mkapa

    Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Mhe. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa zamani wote wameshinda kasoro 35 tu, inamaanisha nini?

    Kitu ninachojiuliza Kama wabunge karibu wote wa Bunge lililopita wengi wamerudi basi bunge lijalo litakuwa halina tofauti sana na ndo maana najiuliza huenda Spika Ndugai alijua hadi akawahakikishia wabunge wa CCM kuwa wote watarudi na mwezi wa 11 Mh Kessy alete hoja yake ya kubadili katiba ya...
  5. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Uingereza kuwataka wapelelezi wote wa kigeni nchini humo kusajiliwa kwenye daftari la wapelelezi wa kigeni

    Serikali ya uingereza inafikiria kuanza kuwataka wapelelezi wote wa kigeni(foreign spies) wanao ishi nchini humo kusajiliwa kwenye register ya wapelelezi wa kigeni. Wapelelezi wote wanaishi kwa mwamvuli wa diplomasia au diplomatic missions kwenye balozi zote nchini humo wanatakiwa kusajiliwa...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

    Kwako serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu. Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikerwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Baraza la Habari: Waandishi waliochukua fomu kugombea nafasi za kisiasa waondoke katika Tasnia ya Habari

    Baraza la Habari Tanzania (MCT), limesema kuwa waandishi waliojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi mbali mbali za kisiasa ni haki yao ya msingi kama walivyo raia wengine hapa nchini, lakini wanapaswa kuondoka katika uandishi wa habari. Katibu Mtendaji wa MCT, Bw. Kajubi Mukajanga ameyasema...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ninawapenzi wanne wote wanahitaji niwaoe

    Habari za leo ndugu zangu, Katika maisha tunapitia mengi sana lakini yapo mengine ni magumu mno kuyafanyia maamuzi. Katika pitapita zangu na kuzunguka mikoa mbalimbali bahati mbaya nilijikuta nawazimikia wanawake wanne katika vipindi tofauti. Mbaya zaidi wote wananipenda pia na wote wanasifa...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania wote ni CCM wa kuzaliwa?

    Siku mbili kuanzia Jana Tarehe 20 July 2020, CCM wamekuwa na Kura za Maoni ndani ya Chama chao, kitu pekee katika mchakato huu ni namna ulivovuta hisia za Watanzania bila kujali vyama vyao, Wote tumetega masikio na kufungua macho kuuona wana CCM wataamua nini Binafasi nawafahamu washindi wa...
  10. KichwaBOGA

    JamiiForums Tanzania Neno/Ujumbe kwa wanaume wote

    Mwanaume ukiwa huna hela amini nakuambia, mwanamke atakayekupenda kwa dhati ni MAMA yako tu.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Laiti wanasiasa wote wangekuwa na ustaarabu na ukomavu kama Mbowe

    Hakika Mbowe ni Jabali la Siasa Tanzania. Mbowe ni mwanasiasa makini sana hasa anapojenga hoja zake iwe bungeni au hata nje ya Bunge. Amekuwa mtulivu pasi na visasi au kujibizana hata anapokashifiwa au kutukanwa na wanasiasa wasioweza kujenga hoja na kukimbilia personal attacks. Mifano ni...
  12. Swahili_Patriot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama kweli Watanzania wenzangu tunaamini kuwa vita yetu dhidi ya Corona ni kama tumeishinda kutokana na kudra za Allah, basi tusiwabeze wenzetu

    Assalam aleikum, Hivii Watanzania haswa watumiaji wa JamiiForums mnalenga nini haswa? Ni kweli mnasherekea mnapoona Wakenya wanataabika? Uhasimu wa aina hii ulitokea wapi? Wenzetu wanakufa sisi tunasherekea? Vita ya uchumi isituletee laana Kwa taifa zima. Tafadhali tubadilike, ushindani ni...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hawa wote wana vibali vya kwenda kugombea nafasi za Ubunge kwenye Majimbo hayo

    Watu wanashindwa kuelewa tu. Ni kuwa wanaonda kugombea ubunge si kwamba walienda kuchukua form wakijua kuwa Rais hatojua. Taarifa walizitoa kwa Rais naye aliruhusu pasipo na shaka. Kutengua ni jambo analolifanya in public watu tu wapate picha flani lakini wote watia nia wanafahamu kuwa wana...
  14. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Poleni Wapinzani Tanzania, tambueni na myatafakari yafuatayo

    Kwa kutazama filamu ya kiuchaguzi inayoendelea hivi sasa, ninaishiwa maneno ya kuzungumza. Lakini, kwakuwa JF ni a house of great thinkers, chukueni yafuatayo ili mchanganye na zenu kuelekea Oktoba 2020: 1. Kila katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, CCM lazima 'imuondoe' kada wake mmoja...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wanaoacha vyeo na kwenda kugombea ubunge, watapita wote wakiwa na kazi maalumu

    Nakumbuka Polepole alitoa kauli akiwaonya wale wanaotaka kugombea ubunge huko wakiwa ni wateule kuwa huko ni kuwa na tamaa na akiwaonya juu ya kufanya hivyo huku akisema yeye aliongea kwa niaba ya anaaewateua. Nadhani hata mteuaji mwenyewe alitoa onyo kama hilo hivi karibuni na wote mnajua...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Walaaniwe watu wote wanaowaambia vijana wajiajiri bila kuwapa mitaji

    Wakuu kuna jambo linaniumiza sana. Jambo lenyewe linaitwa UNAFIKI. Unafiki kwa nchi za Kiafrika umekuwa mkubwa sana. Hivi mtu anautoa wapi ujasiri wa kumwambia kijana ajiajiri huku hajampa mtaji? Alaaniwe!!! Hakuna kijana mvivu, hakuna kijana mwenye akili timamu anapenda kuwa tegemezi. Ila...
  17. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Roho nzuri ilivyomtajirisha mtu aliyempenda kuhudumia Mteja mwenye roho mbaya aliyesuswa na wahudumu wote

    Kuna watu hususa kuhudumia wateja wakorofi na wenye roho mbaya Huyu mhudumu alijikuta akipata utajiri kwa kuhudumia mteja mwenye roho mbaya.Kuna la kujifunza kwa wahudumia wateja
  18. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania MEMBE: Mimi ni kachero ndiyo na kachero muda wote yupo kazini

    Ni maneno ya Membe alipo mjibu swali ndugu Generali Ulimwengu. Hoja hapa ni kwa usalama upi wa hakika kama kachero huyo kama alivyo jinasibu mwenyewe kwamba yu kazini bado hadi kiama kwa yeye kuwa upinzani au ni zuga na yupo kazini hata huko? Je, ni kweli mtumishi huyo mtiifu wa idara yetu...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Siri kwa mabaharia wote wanaojitambua, mwanaume mwenye 35+ ana nafasi kubwa sana ya kukubalika

    Mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 35+ akawa smart, akawa na afya njema, akawa sio mtu wa makundi, huku uchumi wake ukiwa wa wastani n.k ana nafasi kubwa sana ya kukubalika kwa mwanamke yeyote yule; na kwa asilimia kubwa wanaume (mabaharia) hawa wenye hizi sifa wanasumbuliwa sana. Unaweza...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

    Officialshilole Naandika haya, nikiwa na akili timamu na utulivu, La kwanza kabisa nataka KUOMBA RADHI JAMII YANGU. Naomba radhi kwa sababu niliwaaminisha ndoa yangu haina tatizo, huku ukweli ukiwa hauko hivyo, nimekuwa mtu wa kuambulia vipigo na MENGINE yasiyozungumzika, Naomba radhi kwa sababu...
Back
Top Bottom