wote

  1. ahter

    JamiiForums Tanzania Zawadi kwa wanaJamiiForums wote

    hii ni kwa wote wanaopenda mesage, na kama unao ujumbe tuma nikutengenezee ikiwa ni zawadi special. zangu mimi kwenu ni hizi
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wote hawa wana miaka 74 lakini kila mmoja sasa anafurahia maisha aliyojichagulia

  3. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wapenda kula matunda wote, juweni kuna homa ya ini

    Katika kula tunda, kuna kuanza kwa kula denda, kulamba chumvi, kulamba dushe, na hatimae kula tunda, na katika kula tunda kuna kutoka jasho, na mwisho kabisa kuna kumwaga majimaji kwa wote wawili. Tangazo ni hili, hivi sasa kuna homa ya INI, hii huambukizwa kwa kugusana ama kuachiana majimaji...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tundu A. Lissu, Nakushauri hama chama; una akili kuliko wao wote pamoja na chama chote ukijumlisha

    Swali la kwanza kujiuliza hivi huyu wanae Muita mwenyekiti wa Kudumu (Nkulunzinza) uwa ana muda wa kukaa Kutafakari/Kufikiria hata kidogo au anawaza Kupiga deal tu? Mwanafalsafa Marchiaveli anasema Prince lazima azungukwe na watu ambao hata mtu mwenye hekima akiwangalia tu kwa Haraka anasema...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano. Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
  6. Super Villain

    JamiiForums Tanzania Who is the greatest villain of all time ( Yupi ni Adui yako pendwa wa muda wote katika movie zote ulizowahi kuziona)

    Hii ni kwa wale wapenda movie huwa tumezoe kuona wengi huwapenda sana mahero/starring kwenye movie kushinda maadui mm ni mmoja kati ya watu ambao wanaopenda sana maadui kushinda mahero/starring katika movie huwa nafurahi sana kuwaona hawa mastarring/mahero wakiteseka.Yupi kwako ni adui au maadui...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul C. Makonda ana Akili, Elimu na Ufahamu mkubwa kuliko Watanzania wote

    Kama kuna Mtu ambaye nilikuwa nabisha na nakataa kabisa kuhusu ‘ Dhihaka ‘ za Watanzania wenye Akili nyingi dhidi ya Uelewa na Uwezo wa Maarifa aliyonayo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul C. Makonda basi nilikuwa ni Mimi GENTAMYCINE ila kwa nilichokisikia leo na Mimi sasa rasmi...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Muda muafaka madalali wote wawe registered serikali tupate kodi yetu

    Wakati muafaka sasa hawa watu kuanzia kulipa kodi serikalini kama wanavyolipa wengine. Napendekeza serikali kuanza kutoa tangazo la wote kuwa registered. Else wasiruhusiwe kamwe kujishugulisha na uuzaji wa mali zozote.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums wote ' tuliokwazika ' na Bondia Hassan Mwakinyo ' tumsamehe ' kwani hatimaye amemuomba Radhi ' Legend ' Rashid Matumla

    Nikiwa kama Mmoja wa Watu niliochukizwa kama siyo kukasirishwa na Kitendo Bondia Mwakinyo cha Kumdhihaki Bondia mwenye Historia iliyotukuka hapa Tanzania Rashid Matumla hadi GENTAMYCINE nikaanzisha Uzi wa Kumsema ambao uliibua Hasira Kali za Watanzania zilizosambaa sehemu mbalimbali hatimaye leo...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums wote ' tuliokwazika ' na Bondia Hassan Mwakinyo ' tumsamehe ' kwani hatimaye amemuomba Radhi ' Legend ' Rashid Matumlla

    Nikiwa kama Mmoja wa Watu niliochukizwa kama siyo kukasirishwa na Kitendo Bondia Mwakinyo cha Kumdhihaki Bondia mwenye Historia iliyotukuka hapa Tanzania Rashid Matumla hadi GENTAMYCINE nikaanzisha Uzi wa Kumsema ambao uliibua Hasira Kali za Watanzania zilizosambaa sehemu mbalimbali hatimaye leo...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Malezi ni jukumu letu wote, potty training si jukumu la mama peke yake

    Tena wengine wanafikiri ni jukumu la dada wa kazi.
  12. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake wote wanaotupenda wanaume tusio na kitu

    Kuna wanawake dunia hii wana sifa zote za kuitwa wanawake,unajua siku zote mwanamke kaumbwa kama kiumbe chenye unyenyekevu/ mpole/ mtiifu/ mkarimu nk ila shida inakuja kuna ingizo jipya sijui hawa wameumbwa na Mungu yupi kwakwe sijui. Leo mimi sina maneno mengi zaidi ya kusema Asante kwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru: Wale wote waliomtukana Rais Magufuli bado wana mashtaka ya kujibu mbele ya CCM, msamaha waliopata ni wa Dr Magufuli siyo CCM

    Katibu mkuu wa CCM, Dr Bashiru Ally amesema wale wote waliomtukana Mwenyekiti wa CCM, Dr. Magufuli bado wana kesi ya kujibu mbele ya kamati ya nidhamu ya chama. Dr. Bashiru amesema wale walioomba msamaha na kusamehewa walifanya hivyo kama watu binafsi na Dr. Magufuli aliwasamehe kama mzazi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama pekee Tanzania chenye kutoa fursa sawa kwa wote kuchaguliwa nafasi za uongozi, vyama vingine ni ubabaishaji tu unafanyika

    Wakati CHADEMA ikiwa inajiandaa kufanya uchaguzi wa viongozi ndani ya chama chao, wametoa orodha ya wagombea uenyekiti kanda mbalimbali za kichama. Orodha hiyo imenishangaza katika mambo mawili: la kwanza, orodha ya wagombea wote wa kanda zote 10 ni waheshimiwa kwa maana ya kwamba wana nafasi...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania "Mabeberu" na "Sokwe" ni kitu kimoja, wote wanyama!

    Serikali ya awamu ya tano, imerudisha neno beberu lililotumiwa na mwalimu wakati wa harakati za ukombozi wa Afrika. Baada ya kupata uhuru tukawaita "wakoloni" haijalishi mtu huyo alitutawala ama la. Wakoloni ni " waingereza, reno, Belgiji, Jerumani, Waarabu" MAGUFULI ameanza kuita WAZUNGU...
  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania Wasanii wangu 20 wa Muda wote TOP 20 of all time in Tanzania

    Vigezo vyangu A. Mashairi B. Ujumbe C. Heshima ndani ya Mashairi D. kucheza na jukwaa E. Muda wa Mziki wake kudumu Hizo index mbele zimetokana na Calculator ambayo imeshusisha umri wa wasikilizaji, kukubalika, muda wake kudumu, Rate ya vyombo vya habari kumkuza mtu nje ya uhalisia. 1. Dr...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye shughuli za kisiasa Bakwata hupewa uzito kama dhehebu mfano KKKT na Katoliki wakati linawakilisha waislamu wote?

    Huwa nashangaa kwenye shughuli za serikali au vyama vya siasa Bakwata huwa na mwakilishi mmoja sawa na madhehebu mengine kama KKKT, Anglican, Katoliki, TAG na Pentecostal wakati Bakwata ni Baraza kuu la waislamu wote. Kwanini Bakwata isiwe na uwakilishi wa mashehe hata watatu ili kuleta uwiano...
  18. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Mahafali ya Chuo kikuu Dodoma; Rais Magufuli atunukiwa shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Shahada hiyo imetolewa na Rais Mstaafu Benjamini Mkapa katika mahafali ya 10 ya chuo hicho. ==== Rais Magufuli awasili...
  19. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Michael Bloomberg anadai katika wagombea wote wa Democrats hakuna wa kumuangusha Trump, hivyo anajitosa kupambana na Trump

    Mfanyabiashara mkubwa na mmiliki wa vyombo vya habari wa Marekani, Michael Bloomberg anasema ana nia ya kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea wa Urais wa Marekani wa mwaka 2020 baada ya kuona wagombea wa Democrats akiwemo Joe Biden, Makamu wa Rais wa zamani hawana uwezo wa...
  20. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa wagombea wote wa kata ya Makutupora

    Salaam wananchi wenzangu wa Kata ya Makutupora. Ni mara chache sana natumia jukwaa hili kueleza mambo yanayotendwa kwenye kata yetu yenye rasilimali zote muhimu kwa maendeleo ya umma wetu. Leo nitumie fursa hii kuwaeleza yale yaliyofanyika kwa kipindi hiki cha vuguvugu la uchaguzi ndani ya...
Back
Top Bottom