Uchaguzi 2020 Kwa kupinga Uwanja wa Ndege Chato iliyo Geita na kupinga uwepo wa Mbuga, wana Geita wote msimpe Lissu na CHADEMA kura hata moja

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,911
51,889
Lissu na CHADEMA wamekuwa wanapinga wazi uwepo uwanja wa ndege Chato ambao ni Mji wa Geita.

Wanaona wana Geita hawastahili kuwa na uwanja wa ndege pamoja na kuchangia Kodi mabilioni ya pesa za kigeni kupitia migodi mikubwa ya dhahabu Kama Geita Gold Mine nk

Kwa kupinga Geita kuwa Wana Geita hawafai na hawastahili kuwa na uwanja wa ndege wala mbuga kwa sababu kwa Lissu wana Geita hawastahili kupata maendeleo ikiwemo uwanja wa ndege na mbuga nawaomba kwa umoja wenu mnyimeni Lisu kura na susieni mikutano yote y CHADEMA kuonyesha wazi kuchukizwa na Upinzani wao dhidi ya mkoa wa Geita.

Mkoa mzima shikamaneni kwa hili kampeni ifanyike nyumba kwa nyumba kwa mtu kueleza kuwa CHADEMA Ni chama pinzani cha wazi kisichotaka mkoa wa Geita uwe na maendeleo kwa kuutaja kwa jina kabisa. Hata mbuga iliyoanzisha ya wanyama Lissu na CHADEMA hawataki wanaipinga hawataki Geita iwe Mbuga.

Kwa hili wana Geita wote bila kujali chama au itikadi wakiwemo wana CHADEMA walioko Geita ikataeni CHADEMA kwenye sanduku la kura kwa sababu hata kama ni chama chenu lakini kinautenga mkoa wenu wa Geita usiwe na maendeleo kinawatakia mabaya msikipe kura sababu chama kinabidi kipende wanachama wake wote maeneo Yao wapate maendeleo.

Shime shime shime wana Geita asipewe kura Lissu wala CHADEMA
 
Watu wa Geita wenyewe wanahoji kwa nini uwanja usingejengwa Geita mjini ama Katoro ukaenda kujengwa kijijini Chato. Chato ni kijiji.

Ni kampuni gani ya ndege itakua inaenda Chato? Chato nani ana uwezo wa kupanda ndege?

Mtu wa geita mjini hawezi kupanda ndege akashukia chato maana ni mbali bora ashukie Mwanza. Mwanza Geita ni km 100 hivi ila Geita Chato ni km 150+.

Pinda alijenga uwanja kwao imekua ni uwanja wa kuanikia mihogo na mahindi, mbuzi ndio wanaocheza kwenye hicho kiwanja.
 
Interested Observer,
Kodi ya mabilioni ikusanywe Geita migodi ya dhahabu Halafu yote ipelekwe Ludewa ? Yaani Geita Kodi zao ziwe zote zikahudumie Ludewa ? Njia moja ya kuwarudishia Wana Geita kwa kuchangia Kodi mabilioni ya pesa za kigeni Ni pamoja na kuwapa maendeleo Kama kiwanja Cha ndege .Pesa zilizojenga uwabja Ni kiduchu ukilinganisha na Kodi zilizokusanywa kwenye migodi ya dhahabu
 
Chama pendwa kilipofikia kwa sasa!

Egmtp-WWoAE_XGt.jpg
 
Watu wa Geita wenyewe wanahoji kwa nini uwanja usingejengwa Geita mjini ama Katoro ukaenda kujengwa kijijini Chato. Chato ni kijiji.

Mtu wa geita mjini hawezi kupanda ndege akashukia chato maana ni mbali bora ashukie Mwanza. Mwanza Geita ni km 100 hivi ila Geita Chato ni km 150+.
Kaangalie geography

Eneo pekee lilio flat Ni Chato sehemu zingine milima mitupu katoro na Geita

Kuhusu umbali unaota mkoa ukiwa mkubwa lazima upande mwingine utakuwa mbali na uwanja mfano uwanja wa kimataifa uko Dar es salaam tu wa mbeya akitaka kusafiri anasafiri kilomita 800 kuufikia !!! Wakati mkazi wa kiwalani anaenda kwa miguu

Kiwanja Cha ndege huwezi Jenga popote.hata vya mikoa Kuna wilaya zingine husafiri zaidi ya kilomita 300 kukifikia hata uwanja wa ndege wa Kilimanjaro sio wilaya zote ziko karibu nao!!!
 
Katoro k

Wewe unaongelea Geography wakati mimi naishi Geita. Mwanza na Geita wapi kuna milima mingi? Uwanja wa ndege wa mwanza uko milimani?
 
Kodi ya mabilioni ikusanywe Geita migodi ya dhahabu Halafu yote ipelekwe Ludewa ? Yaani Geita Kodi zao ziwe za zote zikahudumie Ludewa ? Njia moja ya kuwarudishia Wana Geita kwa kuchangia Kodi mabilioni ya pesa za kigeni Ni pamoja na kuwapa maendeleo Kama kiwanja Cha ndege .Pesa zilizojenga uwabja Ni kiduchu ukilinganisha na Kodi zilizonunuliwa kwenye migodi ya dhahabu
Where do your publish your papers?? Mnazo PhD, hivi what kind of researches you did?

A steel mill and a decent road from Ludewa will add steel per capital consumption in Tanzania. Reduce imports and add more money from more exports generated. Hizo pesa in the long run zingejenga viwanja vingi vya ndege.

Huyo mjinga, mwenye fake PhD publication, has been a construction Minster for decades, sector hiyo ndiyo back bone ya nchi yoyote kwa uchumi wa Taifa. At least angeweka hiyo sector mikononi mwa wananchi wa Tanzania. Lakini 5 years gone, hiyo sector bado ipo chini ya wageni, sasa hivi baada ya kuwa chini ya wazungu sasa Wachina wanacontrol 100%. Na yeye huyo mjinga, anasema anatwala nchi wakati uchumi wote wa construction revenue unaenda nje. That money goes out. If MECCO was the owner of these projects then that money will remain here and raise the standard of our middle class.

My question again where do you publish your papers you bigots!!
 
Wewe unaongelea Geography wakati mimi naishi Geita. Mwanza na Geita wapi kuna milima mingi? Uwanja wa ndege wa mwanza uko milimani?
Gharama za ujenzi kwenye miima na tambarare zinalingana? Pili usalama wa ndege kuruka na kutua vipi? Mwanza Kuna hadi ndege ziko pale zimebomoka midomo kwa kugonga milima zimepaki Hapo airport mwanza kaangalie hata Sasa hivi ndio utajua hatari ya kujenga uwanja eneo lenye milima.
 
Anachopinga lisu ni pamoja na kuwekeza sehemu isiyo na tija. Ni sawa Na kuchimbia mabilioni ya hela aridhini, ati tu kwa sababu zimekusanywa mkoa Wa geita basis tu zifukiwe ardhini. Jirani Na alipojenga uwanja, upo uwanja Wa bukoba, juu yao IPO airstrip ya Biharamulo. Kama siyo ubàguzi kwa mini hakuendeleza hivyo viwanja?
 
Kodi ya mabilioni ikusanywe Geita migodi ya dhahabu Halafu yote ipelekwe Ludewa ? Yaani Geita Kodi zao ziwe zote zikahudumie Ludewa ? Njia moja ya kuwarudishia Wana Geita kwa kuchangia Kodi mabilioni ya pesa za kigeni Ni pamoja na kuwapa maendeleo Kama kiwanja Cha ndege .Pesa zilizojenga uwabja Ni kiduchu ukilinganisha na Kodi zilizokusanywa kwenye migodi ya dhahabu

Kodi ya ALMASI ya SHINYANGA ingetumika Shinyanga, mji huo usingekuwa hivyo leo. Uwanja wa chato ni kwa FAIDA binfsi za mkazi mmoja wa chato.
 
Hivi cku akimaliza uraisi ule uwanja aliojenga kijijin kwake utautumia nani na si uwanja tu, ni UWANJA WA KIMATAIFA. AIRBUS ya TC 110 yenye uwezo wa kubeba watu 140 Imetua mara kadhaa pale. Chato hakuna hata watu 10 wa kujilipia nauli kupanda Ndege. Nini faida yake kujenga hiyo kitu. CAG alikagua hesabu, na kugundua zaidi ya 50 bilioni zimetumika tena bila idhini ya bunge. Hayo mauzauza yanapatikana Tz pekee dunian
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom