Uchaguzi 2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Mambo ni mazito kidogo.

Zitto kasema kuwa Pemba hakuna mgombea wa ACT aliyeachwa . Wote 18 wameliwa vichwa.

Screenshot 2020-08-27 at 19.14.54.png

Aidha Zitto pia amesema jumla ya wagombea ubunge 44 wa ACT-Wazalendo Tanzania nzima wameenguliwa.

Hii ni hatari tupu.

EgagS00X0AA2Z9S.jpg
 
Kisiwani Pemba, majimbo 18/18, Wanaenguliwa wagombea wa @ACTwazalendo systematically. Tutafuata hatua zote za kisheria kuzuiwa kinachofanywa. Halafu tutajua la kufanya. Mpaka sasa Tanzania nzima wameshaengua wagombea ubunge 44 wa ACT Wazalendo kwa sababu za kipuuzi sana

From zitto kabwe
 
Acha kupanic Zitto ikiwa unaona wameenguliwa bila kufuata sheria za uchaguzi kata rufaa au nenda mahakamani.

Tatizo wagombea wenu wanauza mechi na wengine ni mbumbumbu hawategui mitego ya kisheria katika ujazaji fomu sasa wakikosea kujaza unataka wapokelewe na kupitishwa tu unavyotaka? Uchaguzi huanzia kujaza fomu.
 
Kisiwani Pemba, majimbo 18/18, Wanaenguliwa wagombea wa @ACTwazalendo systematically. Tutafuata hatua zote za kisheria kuzuiwa kinachofanywa. Halafu tutajua la kufanya. Mpaka sasa Tanzania nzima wameshaengua wagombea ubunge 44 wa ACT Wazalendo kwa sababu za kipuuzi sana

From zitto kabwe
Mimi hapa ndipo ninapo kasirika, tueleze vigezo vilivyotumika kuwaengua. Acha kutafuta huruma ki bwege mwami...
 
Back
Top Bottom