Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa.

Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana

Zola D
Kalapina
Nay wa Mitego
Profesa Jay
Chid Benz
Dudu Baya
bou nako
p funky
fido Vato
lord eyes


Wewe unahisi nani ni fire?
 
Katika wote hao pina aliwai kumdunda chid benz hadharan had akakimbia mwenyewe maisha club dudu baya alidundwa akakimbia bil cana club prof jay hana huo uboya zola d anajiheshimu waliopigana akili zao zinafafana na wote ni adam mchomvu type
Kuna story kwamba Kalapina aliwahi kuwatishia Nako2Nako kuwapa kisago wakaogopa na kukimbilia Arusha 🤣🤣🤣

Ni kweli au chai ?
 
Back
Top Bottom