wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Wapi ntapata mshangazi wa kizungu?

    Asee wakuu, Januari imeninyoosha kinyama. Wueeeh!!! Fanyeni wepesi!!! Hivi ni maeneo gani ntaweza pata mshangazi wa kizungu!?? Nimfanyie kilimo cha umwagiliaji haraka upesi. Au niingie mtandao gani nijiachie humo.
  2. Yuko wapi Augustino Polepole

    Jamaa alichimba biti zito la mdogo wake kuachiwa ndani ya masaa 24, yakipita hayo masaa atakinukisha vibaya mno. Cha ajabu yamepita masaa, siku, wiki, mwezi hatimaye miezi sasa jamaa hakuna lolote alilolifanya. Je yeye ndiye amefanyiziwa? Huu ukimya unaleta mashaka.
  3. Kapteni Tesha alipotelea wapi?

    Well, well, well…… Tulibezwa na kutukanwa sana sisi ambao tulimtilia mashaka yule mtu aliyejiita Kapteni Tesha. Tuliitwa kila aina ya majina isipokuwa jina la mwana wa mungu. Miezi kadhaa imepita sasa tokea ajitokeze na tokea Watanzania wachinjwe na risasi za Samia lakini huyo Kapteni Tesha...
  4. Kiwanda cha Maziwa Mara kiko wapi leo?

    Habari za Tanzania ! Hivi nyinyi watu wa Mkoa wa Mara mmeamua kwa dhati kabisa Kiwanda Maziwa kiwafie kabisa ? Haya sasa tutapata wapi Maziwa Mgando yenye vifungashio vizuri na matamu kweli dah. Haya bana si ndio mambo yenu kuua viwanda vizuri na kuanzia viwanda vibanda vya kutuuzia maziwa...
  5. "Mimi ni serikali, Mimi sio chadema" Samia unalipeleka wapi taifa UKIWA chadema hurusiwi kukemea? Msukuma bhana

    Hii kauli ya msukuma kujiita serikali imetoka wapi? Kwa hiyo UKIWA ccm wewe ndo serikali sio? King msukuma kujiita ccm na kumtamkia mwekezaji yakuwa yeye sio chadema Ina maana Gani? UKIWA chadema hurusiwi kukemea mwovu? Pamoja na yaliyotokea 29. Bado ccm Ina viongozi wapumbavu wanao toa kauli...
  6. Wasabato wa Adventista na wasababto wana matengenezo ni wasabato wapi wenye kweli ya Mungu?

    Uhakika ni kwamba kande lipo tiyari kwa ajiri ya maandalizi ya sabato hapo kesho. Mkiwa katika shamrashamra za kuipokea Sabato Takatifu naombeni mtuweke wazi leo hii. Kwa miaka kazaa katika kujifunza kwangu maswali ya imani (Dini) Nimekutana na madhehebu mengi mnayofanana kama Mashahidi wa...
  7. Ofisi moja kuwa na wanawake waliobarikiwa tume ya maadili iko wapi?

    Mdada wa usafi sio haba Secretary balaa tupu Cashier homa ya jiji Mhasibu another trouble Afu tume ya maadili wapo kimya kama mabubu wenzao takukuru hawaoni kama vipofu
  8. M

    Kuku wakuchoma wakienyeji Dar wapi wanauza?

    Habar wakuu naomba mnijuze sehemu Gani dar ntapata kuku wakuchoma wakienyeji na ndizi choma,,msaada wenu
  9. Mbona vipepeo wameadimika sana siku hizi? nitumie njia gani kuwavutia au kuwafugia shambani?

    Wakuu, Naomba wataalamu msisaidie,siku hizi imekuwa adimu sana kuwaona vipepeo kirahisi tofauti na hapo zamani. Nataka niwavutie vipepeo shambani au kama kuna uwezekano wa kununua mbegu mahali nikawafuga ili kuongeza idadi yao, Je kuna mahali naweza kupata ili niwafuge au nitumie njia gani...
  10. Yamepotelea wapi makundi ya WhatsApp ya madada poa?

    Bwana Yesu asifiwe...…... Asalam aleykum....... Wakuu katika tafiti zangu nimegundua kuna uhaba mkubwa wa magroup ya wasap ya maafisa utamu/utelezi ukilinganisha na miaka ya nyuma Hivi tatzo ni nini au serikali imetia mkazo na sheria kali ndo maana hayapo? Au kuna nini haswa mpaka kupelekea...
  11. Tujikumbushe hili sakata la CPA seni, limefikia wapi? Mpaka sasa

    "Mkurugenzi wa Fedha na Utawala (Director of Finance and Administration) wa Mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA), CPA George Mahigu Seni, amesimamishwa kazi kwa kupinga mauaji ya watu wasio na hatia Oktoba 29. CPA Seni anatuhumiwa kuchapisha maneno ya uchochezi kwenye WhatsApp group ya...
  12. Nzi wanalalaga wapi usiku? Mbona mchana ni wengi lakini usiku sioni wanapolala?

    Eti nzi wanalalaga wapi usiku? Mi sijui
  13. Hivi Ndege huwa wanafia wapi vifo vya kawaida? (Normal Dearth) huwa sioni mizoga yao chini

    Asalaam aleykhum.. Hivi ndege wa angani huwa wanafia wapi? Kwenye viota vyao? Mbona tukifanikiwa kuchukua viota vyao tunakuta vikinda tu? Mi sijawahi kukutana na maiti au mzoga wa Njiwa, flamingo, mwewe au kipanga chini, iwe mjini au shambani Au wanazikana 🤣?
  14. Je, unahitaji huduma yoyote ya usafi na hujui utaanzaje au utaanzia wapi?

    Je, unahitaji huduma yoyote ya usafi na hujui utaanzaje au utaanzia wapi? Je, unajiuliza ni nani atasafisha eneo lako, ofisi yako au nyumba mpya uliyojenga? Jibu ni kampuni ya Amicable Group Holdings Limited. Ni kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  15. Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje?

    Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje? Je, unajiuliza ni nani wa kumuamini akusaidie kutekeleza majukumu muhimu ya kibiashara au binafsi kwa niaba yako? Jibu ni Amicable Group Holdings Limited. Ni kampuni iliyosajiliwa kisheria...
  16. E

    Makonda anataka kuifikisha wapi tasnia ya habari?

    Nimemsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda akizungumza na watumishi wa Wizara yake baada ya kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dodoma Januari 13, 2026. Katika hotuba yake, Makonda aliyekuwa Naibu Waziri akisaidiana na Khamisi Mwinjuma (Mwana FA) chini ya...
  17. Yanapatikana wapi haya

  18. TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

    Mbunge wa Peramiho Jenister Joachim Mhagama amefariki leo asubuhi. Alianguka ghafla kisha kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Alifariki kwa sasa mwili umepelekwa Benjamin Mkapa Hospital. apepe. Ikumbukwe Jenister Mhagama alikuwa waziri wa Afya wakati wa matukio ya Oktoba 29, 2025.
  19. Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  20. Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…