Utashi wa kisiasa umetowekea wapi?

Utashi wa kisiasa umetowekea wapi?

Kwenye hii nchi kwa sasa ukionekana tu unaupinga uhalifu, uonevu, wizi wa kura, dhuluma, ufisadi, ubadhirifu, utekaji, mauaji, nk. Basi utambue fika umeingia kwenye vita kali sana dhidi ya wahuni waliojimilikisha nchi.
 
Back
Top Bottom