The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Kenya’s Controller of Budget, Margaret Nyakang'o, ametoa ripoti ya matumizi ya serikali kwa Q1 ya FY 2025/2026 (July–September) — na imezua mjadala mkubwa.
Ripoti inaonyesha kuwa State House, chini ya Rais William Ruto, ilitumia takriban KSh 4.5 billion ndani ya miezi mitatu, sawa na KSh 50...
Katika ukuaji wangu Kuna Imani na misimamo nikimuona nayo mtu nabaki namshangaa kabisa
Kwa mfano;
Hivi inawezekanaje kuwa chawa wa mtu kiasi Cha kushindwa kuona mabaya take?🤔
Hivi mtu unawezaje kujidhuru kwa ajiri ya mapenzi ?🤔
Hivi kipi kinacho Mfanya mtu anashindwa kumuamini Mungu au...
Hello bosses and roses...
Je ni wapi au nani anatoa huduma nzuri ya corporate/office food catering kwa hapa dar? Location around Ubungo, Kimara na Tabata.
Pia hata kama una hoteli yako na upo maeneo hayo pia unatengeneza chakula grade nzuri unaweza nicheki tuka-negotiate
Salaam wakuu.
Katika harakati za kujikwamua kimaisha na eneo nililopo naona hii biashara itanilipa.
Sasa nilikuwa nahitaji inakopatikana ile mikeka iliyoandikwa ZARI au ile ya milia. Ikiwa ni kiwandani au kwa Mchina itakuwa zaidi mana nahitaji kuuza jumla nipo Mtwara.
Natanguliza shukran.
Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii?
Rais wa Zanzibari chukua hatua
Unajua nchi hii kwa hili: CC-Wasira vs Chadema-Heche! Je nchi inaenda wapi??
Kama wewe ni kijana ambao ni 80% wanamsikiliza mzee wasira ambaye alikuwa mkuu wa mkoa 1978 kwa uchawa wake au Heche? Nchi ndiyo ipo hapa.
Kwasababu ya nguvu ya serikali wanataka kukuaminisha watanzania wengi...
Walikua maarufu sana hasa Twitter x" na Telegram,miaka ya 2021 mbaka 2024?
:Asha zungu
:Sauda Bubu
:Linda amossi
:Yanga girl
:Mona deus aka slim lady,
:Sy kivuluge
sijapata kabisa kuwaona si mtaani wala mitandaoni!
Na hata content utapata zile zile za zamani!
Je kuna mtu anaweza kujua wako...
Ile jeuri na kiburi ya kisiasa alokua nayo akiwa CCM bado anayo tena huko ACT Wazalendo?
Ama kwa hakika samaki hawezi kuishi nchi kavu.
Ngebe zake zote hakuna tena na amekua funzo na darasa la anguko katika uongozi hasa kwa wanasiasa wanaopenda majivuno, ulevi wa sifa na kiburi nonsense.
Hata...
Awali ya yote Lissu sio Muhaini.
Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina.
Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga.
Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani...
Ilipokuwa inapita Barabara ya Swahili makutano na Mtaa wa Tandamti nimekuta pamejengwa na ni sehemu ya Soko la Kariakoo.
Mtaa wa Swahili unakatika hapo na unakuja kuendelea kuanzia Mkunguni kwenda mbele.
Hapo niliposimama kwenye picha nimesimama ilipokuwa zamani Barabara ya Swahili na...
Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo.
Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho...
Mchungaji Rose Masesa, ambaye ni Dada mkubwa wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia serikali anayoiongoza kuangalia upya kesi ya uhaini inayomkabili mdogo wake, kwani kwa namna anavyomfahamu mara zote Tundu...
Wakanisa walikuwa kila kukicha wanamzulia Mtume Muhammad eti alimuowa bi Aisha ana miaka 6, na hao viongozi wa hayo mataifa walio mzulia Mtume Muhammad.
Mwenyezi Mungu alishatoa ahadi anaye mzulia Mtume Muhammad uwongo atamdhalilisha hapa Duniani na Akhera. Sa Wakristo tuambieni USA ni taifa la...
Hivi ladha ya kufanya mapenzi ipo I wapi kwanini watu wana promote Sana? Kusema ukweli watu wanaipromote ngono kipa mara ila haina ladha wala faida yoyote au kuna namna yoyote ya kufanya mapenzi mpaka afurahie yaani unatumia nguvu ladha unaipata kwenye kumwaga Tu? Au kuna sehemu nyingine ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.