The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,091
- 13,671
nonsense 🐒View attachment 3591857
Kichwa cha habari kiko wazi. Je, kesi ya Samuya ICC imefikiia wapi?
Wako wapi akina Polepole?
Wako wapi ambao maiti zao hazikupatikana?
Tanzania inaenda wapi?
Tunangoja kujua hatima ya unyama na ukatili na ushenzi huu.
You are dead right. For chawas and kungunis what is written is nonsense per se. Nevertheless, for thinkers, it is but a gem. Kkkkk!nonsense 🐒
Gentleman,You are dead right. For chawas and kungunis what is written is nonsense per se. Nevertheless, for thinkers, it is but a gem. Kkkkk!
Yeah. You too need to not only calm down but wise up. If you are a chawa, whatever that doesn't idolise and lionise Samuya is garbage. Nobody can change you. That is the nature of parasitic creatures.Gentleman,
calm down plz with your nonsense articles 🐒
Mabeberu hawa hawa wanaoshambulia Iran wamekuwa kimbilio lenu?..Tunasubiri muswada uliowasilishwa huko State utakapopitishwa Ndio utaona washirika wa marekani wakijiinua sasa! Kuna watu wanaenda kula sanctions kama kina girishoni na wambura soon
Haswa
🙁🙁🙁🙁Mabeberu hawa hawa wanaoshambulia Iran wamekuwa kimbilio lenu?..
ICC has nothing to do with nonsense allegations 🐒Yeah. You too need to not only calm down but wise up. If you are a chawa, whatever that doesn't idolise and lionise Samuya is garbage. Nobody can change you. That is the nature of parasitic creatures.
Mlivyoingiza watu wakaja kupifa raia na polisi risasi ili msingizie serikali mlifikiri watu ni wajinga na wavuta bangi kama nyinyi? There is no hurry,mtafika mahakamani tu.Ni swala la muda lazima aende kulipia udhalimu alioufanya tarehe 29 na 30 Oktoba
Yeah. For daydreamers and chawas, the ICC has nothing to do with 'nonsensical' allegations. Again, the truth is wherever there is smoke, there also is fire. You just wait and deceive yourself. It is hard for chawas and goons to see it coming. What a fool's paradise!ICC has nothing to do with nonsense allegations 🐒
Ni kweli. Kwa machawa, walioandamana, walioua na waliouawa ni mamluki. Samuya alisema watanzania wasingefanya hivyo. Tatizo ni kwamba waliozikwa wote ni watanzania. Serikali haikuonyesha hata maiti au mhalifu yeyote mamluki kama iilvyodai. Ni mataahira na wapumbavu wanaoweza kuamini kuwa serikali haikuhusika katika mauaji haya ya kikizimkazi.Mlivyoingiza watu wakaja kupifa raia na polisi risasi ili msingizie serikali mlifikiri watu ni wajinga na wavuta bangi kama nyinyi? There is no hurry,mtafika mahakamani tu.
gentleman,Yeah. For daydreamers and chawas, the ICC has nothing to do with 'nonsensical' allegations. Again, the truth is wherever there is smoke, there also is fire. You just wait and deceive yourself. It is hard for chawas and goons to see it coming. What a fool's paradise!
Yeah. If what you are claiming adds up, why are you wasting your time trying to idiotically convince me to abandon my stance?gentleman,
icc can not be instructed or forced by Tanzania political bandits to do what they want.
do not waste your time for nothing 🐒