Bongo ni nyoko, utakutta malori kutoka Bandarini Kurasini yamejaa Barabara ya mandera mchana kutwa foleni ya hovyo.Yaani mnapenda kujipa umuhimu wa bure tu.
Weekend mmekaa hamna kazi, jumatatu mnaamka mnajifanya mpo serious. Mnafunga barabara upande mmoja zaidi ya masaa 24. Serious Morogoro Road mnaifanyia ivo?
Tena 10 bila kutikisika 😂😂😂 MENEMENE TEKERI NA PERESIHii nchi kuna wengi inatakiwa watandikwe viboko tu mazeeee
Kuna nchi flani niliwahi kuishi, wale walikua wakitaka kukarabati barabara walikua wanatoa tangazo siku tano kabla, na walikua wanafanya ukarabati siku ambazo watu hawaendi kazi. Pia walikua wawaweki viraka, walikua wanabandua na kubandika lami mpya ya urefu wa kilometer moja kwa masaa 24Tena 10 bila kutikisika 😂😂😂 MENEMENE TEKERI NA PERESI
Hiyo imekaa powa sana, ila hii nchi hizo level tutafikia mwaka 2060 hukoKuna nchi flani niliwahi kuishi, wale walikua wakitaka kukarabati barabara walikua wanatoa tangazo siku tano kabla, na walikua wanafanya ukarabati siku ambazo watu hawaendi kazi. Pia walikua wawaweki viraka, walikua wanabandua na kubandika lami mpya ya urefu wa kilometer moja kwa masaa 24
Mi nilikaa kwenye nchi fulani ambapo wakataka kufanyia lami ukarabati wanafunga shule na kupiga watu lockdown.Kuna nchi flani niliwahi kuishi, wale walikua wakitaka kukarabati barabara walikua wanatoa tangazo siku tano kabla, na walikua wanafanya ukarabati siku ambazo watu hawaendi kazi. Pia walikua wawaweki viraka, walikua wanabandua na kubandika lami mpya ya urefu wa kilometer moja kwa masaa 24
Mi nilikaa kwenye nchi fulani wakitaka kukarabati lami, wanafunga mkandaMi nilikaa kwenye nchi fulani ambapo wakataka kufanyia lami ukarabati wanafunga shule na kupiga watu lockdown.
Nao ni binadamulabda na wao weekend wankwenda kunywa bia
Wala hiyo siyo story! Mwaka jana kwenye nchi fulani walipotaka kufanyia ukarabati barabara, watu walifunga kula.Mi nilikaa kwenye nchi fulani wakitaka kukarabati lami, wanafunga mkanda
kwenye hiyo nchi pia ulikuwepoWala hiyo siyo story! Mwaka jana kwenye nchi fulani walipotaka kufanyia ukarabati barabara, watu walifunga kula.
Nilikuwepo.kwenye hiyo nchi pia ulikuwepo