Kile kikundi cha chadema cha utekaji kwa Mujibu wa katibu mkuu mstaff Dr. Slaa kilipotelea wapi? Kama siyo hicho kinachoteka watu mpaka sasa

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
1,199
Reaction score
888
Dr alishasema chadema Wana kikundi cha kuteka watu wa chadema kwa manufaa ya kisiasa nimewaka USHAHIDI HAPO chini. Je hicho kikundi ni lini kilivunjwa?

Mnaona donation zimedoda mkaamua mje na huu usanii wa kitoto

Chadema acheni siasa za kitapeli mnatekana wenyewe ili mpate public sympathy đźš®
 
Attachments

  • 20260522_081856.jpg
    20260522_081856.jpg
    53.6 KB · Views: 10
Dr alishasema chadema Wana kikundi cha kuteka watu wa chadema kwa manufaa ya kisiasa nimewaka USHAHIDI HAPO chini. Je hicho kikundi ni lini kilivunjwa?

Mnaona donation zimedoda mkaamua mje na huu usanii wa kitoto

Chadema acheni siasa za kitapeli mnatekana wenyewe ili mpate public sympathy đźš®
Kawaulize jeshi la polisi.
 
Kwa nini funguo za pingu zimepatikana polisi?
 
Mtu akiwaona ndani ya suti anaweza fikiri mna akili kumbe hamna kitu. Kwahiyo serikali ikubali ichafuliwe na kundi la hao unaowasema ndani na nje ya nchi alafu vyombo vya usalama vipo?.

Sasa kama vyombo vya ulinzi na usalama vipo na vinashindwa kufanya kazi ya kupambana na hicho kikundi Cha watekaji wa chadema Ili kisichafue taswira ya nchi vinamuhujumu nani kama sio raisi?. Vitu vingine sio muhimu kuvisema Ili usionekane mjinga.
 
Nimehoji kile kikundi cha utekaji cha chadema kilipotelea wapi? Toa majibu acha jaziba
 
Dr alishasema chadema Wana kikundi cha kuteka watu wa chadema kwa manufaa ya kisiasa nimewaka USHAHIDI HAPO chini. Je hicho kikundi ni lini kilivunjwa?

Mnaona donation zimedoda mkaamua mje na huu usanii wa kitoto

Chadema acheni siasa za kitapeli mnatekana wenyewe ili mpate public sympathy đźš®
Chakwenu kiaanza kusambaratishwa mdogomdogo!
 
Mtu akiwaona ndani ya suti anaweza fikiri mna akili kumbe hamna kitu. Kwahiyo serikali ikubali ichafuliwe na kundi la hao unaowasema ndani na nje ya nchi alafu vyombo vya usalama vipo?.

Sasa kama vyombo vya ulinzi na usalama vipo na vinashindwa kufanya kazi ya kupambana na hicho kikundi Cha watekaji wa chadema Ili kisichafue taswira ya nchi vinamuhujumu nani kama sio raisi?. Vitu vingine sio muhimu kuvisema Ili usionekane mjinga.
Ungesema tu nilijinga hili jamaa
 
Umefika wakati Sasa CHADEMA wapelekwe mahakani kuhusu utekaji hapa Tanzania

Maana hi kesi imekamilika aliyetekwa yupo na DK slaa ambaye ndio aliyetoa huo ushahidi yupo

Sijui kwanini Hadi Leo serikali inasema inawatafuta watekaji wakati watekaji wapo
 
Dr alishasema chadema Wana kikundi cha kuteka watu wa chadema kwa manufaa ya kisiasa nimewaka USHAHIDI HAPO chini. Je hicho kikundi ni lini kilivunjwa?

Mnaona donation zimedoda mkaamua mje na huu usanii wa kitoto

Chadema acheni siasa za kitapeli mnatekana wenyewe ili mpate public sympathy đźš®
Hatufanyi kazi kwa maneno ila facts an evidence. So ilikua proved an maneno ya kisiasa?
 
Back
Top Bottom