wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kutumia SUMA JKT kandasasi za ujenzi uliishia wapi?

    Tukiwaambia CCM ndo kikwazo cha maendeleo ya inchi hii muwe mnaelewa. Na tatizo kubwa ni rushwa wanazopata kwa kuwapa tenda wachina hata kujenga jengo tu. Kama SUMA jkt walijenga ikulu na majengo mengi ya umma kwa viwango bora kabisa na garama ndogo, kwanini baada ya kifo cha magufuli tenda za...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu anaweza kumuuliza IGP kuhusu ni wapi walzika miili ya watu waliouwawa kwenye mauji ya October 29?

    Hili ni moja ya swali ninalotamani Lissu amuulize IGP. Je, wewe unasemaje au unatamano aulize swali gani? Tukumbuke ripoti ya Jaji Chande ilikuja na idadi ya watu zaidi ya 500 waliouwawa katika mauaji ya Oktoba 29, 2025.
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kumpa pole Samia Suluhu Hassan. Naanzia wapi?

    Japo mimi siamini kama nchi yetu ina Rais kwasasa (nasubiri uchaguzi mkuu maana haukufanyika), lakini nina hamu ya kwenda kumpa pole ndugu Samia Suluhu Hassan. Je, utaratibu ukoje? By. Boss la Bandari zote za Tanganyika.
  4. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake. Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho...
  5. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kujua , ile miujiza ya mwamposa inafanyakaje kazi na anaitoa wapi?

    Karibuni
  6. R

    JamiiForums Tanzania Waliokufa wamekwenda wapi??

    https://youtu.be/mWDFRMPng00?si=xeyEvsHcsPs2G4hE
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CHAN 2018: Miaka 9 Baadaye, Sh330 Milioni Zilikwenda Wapi?

    Kenya ilipoteza nafasi ya kuandaa CHAN 2018, lakini miaka tisa baadaye, uchunguzi umeibua swali jingine: Sh330 milioni zilizolipwa kwa maandalizi ya mashindano hayo zilienda wapi? EACC inadai fedha hizo zilikuwa sehemu ya mkataba wa takribani Sh1.5 bilioni wa kusambaza na kuweka mifumo ya...
  8. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Yuda yupo wapi na ana hali gani

    Yuda yupo wapi na ana hali gani
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli ya Dar es salaam mpaka Dutumi (Morogoro vijijini) kupitia Ngerengere ni TZS 20,000 Licha ya kuwa ni Kilometa zisizozidi 90. LATRA mpo wapi?

    Inakuwaje nauli kuwa kubwa kuliko umbali halisi wa safari? Je, nauli hii imepitishwa na LATRA kweli? Kama imepitishwa, ni vigezo gani vilivyotumika kuamua kiwango hiki cha nauli, na inalingana na viwango rasmi vilivyowekwa? Wananchi wanastahili kupata maelezo ya wazi kuhusu namna nauli...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Nchimbi yuko wapi? Serikali na CCM tunataka majibu

    Wiki chache zilizopita tulitangaziwa kuwa aliyekuwa makamu wa Rais, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiuzulu nafasi hiyo. Siku chache baadaye CCM wakatutangazia kuwa wamemfukuza Nchimbi uanachama wa chama chao! Ajabu ni kuwa CCM katika taarifa yao kwa wanahabari hawakutoa fursa ya maswali...
  11. Diaspora Messenger

    JamiiForums Tanzania Ule unabii kuwa kutatokea jambo mwezi wa SABA je uliishia wapi ?

    Kuna unabii kwaka Jana ulisema mwezi wa saba kutatokea jambo Fulani Je uliishia wapi.?
  12. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hivi zile chopa za CHADEMA zilipoteleaga wapi kama waliuza na kugawana hela waweke wazi watu wajue huu ukimya ni Rushwa.

    Viongozi wa chadema semeni chopa zipo wapi mbona hazipo ufipa Wala unyaturuni🤣🤣 Na zile gari zipo wapi naskia zilibadilishwa rangi na usajiri haya wazee wa ufipa karibu kwa mjadala
  13. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hivi TBS inakuaga wapi?

    mtu unatafuta godoro kwa mfano qfl au Tanfoam, Bei ya godoro original kwa mfano ukubwa wa 5*7 12" ni zaid ya laki 5, lakini Kuna fake yapo Hadi kwa laki 2. hivi inakuaje haya feki yanauzwa watu wanapigwa sana serikali inakua wapi? Tena walivyo wahuni wanakufanyia delivery wanakuletea Hadi...
  14. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Brother Evelyn Salt yuko wapi? Bring Back Evelyn Salt

    Huyu mke mwenza wangu sijui katokomea wapi? Alikuwa ananichamba sana lakini nilimnyoosha mpaka akaacha ndala. Chanzo ni kumuibia mumewe Extrovert akawa na gubu mpaka leo. Sijui kabadili ID au kabadili jinsia kawa ankali? Haya mambo yanatafakarisha sana kwa sisi wenye akili. Bring back...
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hivi kuanzia lini na wapi ngozi ya mwanaume Kwa mwanaume inakuwa na hisia/ msisimko hasa wa kingono?

    Kuna vitu vinashangaza sana na sijui ni wasomi kuwa wengi au hata sijui tu. Sisi tumezaliwa na kukua tunalala pamoja tena pasina hata kujua kuna kulawitiana nk Tukaenda shule maghetoni Bado tutakutana na watu Si ndg zetu tunaungana wawili Hadi watatu geto Moja tunalala na maisha ya naenda...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Eneo la Stand ya mabasi la Magufuli pakijaa, watahamishia wapi tena? Kibaha?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Zamani stand ilikuwa kisutu. Palipokuwa mjini sana wakapeleka Ubungo kijijini. Ubungo palivyochangamka, wakapeleka Mbezi kwa Magufuli. Mbezi kwa Magufuli kukichangamka kama Kisutu na Ubungo, watahamishia wapi?? Mile Moja Kibaha?? Na hapo pakichangamka na kuwa mjini...
  17. min -me

    JamiiForums Tanzania Kama hauna hela za kutosha utalaumu sana single maza

    Msione tunawasapoti kwenye mada zenu za kuacha kuwahudumia wanawake mkaona tupo pamoja na nyie . Ukitumia akili ukitafuta pesa vizuri na ukampenda mwanamke mzuri wa ndoto zako utampa huduma,,yaani pesaa. Huwa naweka mada kupima kiwango cha umaskini ila ukiwa na akili timamu hauwezi...
  18. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Wapi chuo cha teolojia cha walokole

    Kwa uchunguzi wangu nimegundua kuna vyuo vinavyofundisha teolojia kwa madhehebu ya kiluteri mfano kiko Makumira Arusha. Wakatoliki Kipalapala n.k. Sijawahi sikia chuo cha teolojia cha walokole. Hawa jamaa wanapiga kelele sana ilimradi mtu abarikiwe kujua kuongea. Mbona YESU wakati analeta...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Nchimbi, yupo hai, mfu, huru, kizuizini au ughaibuni?

    Kihisitoria, Makamu wa rais wa kwanza kujiuzulu nchini alikuwa Aboud Jumbe. Alirubuniwa na wachoyo na walafi wa madaraka hasa vijana wakiongozwa na marehemu Seif Shariff Hamad ili wamuondoe wachukue ukanda wakaisha kuishi na kufa kwa upanga kama walivyoishi kwao. Nchimbi kaondolewa. Tunajua ni...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je ni wapi naweza kupata bidhaa za electronics za makampuni haya?

    Toshiba Aiwa Grundig Phillips Panasonic Toshiba Hitachi JVC
Back
Top Bottom