wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. polokwane

    JamiiForums Tanzania Asha rose migiro atuambie aliyekuwa makamu wa rais E.J.Nchimbi yupo wapi mana yeye ndiye alitutangazia kumvua uanachama.

    Tunahitaji jibu huyo mama atupe jibu
  2. Keynez

    JamiiForums Tanzania Wapi kwenye katiba imeainisha mapinduzi mazuri na yale mabaya? CCM ina uhalali gani wa kutamba na mapinduzi yake?

    Kama tunakubaliana kuwa kupanga au kutekeleza mapinduzi ya kisiasa ni uhaini na ni kosa kubwa katika nchi, hatuwezi kusema mapinduzi fulani ya kisiasa ni halali na mengine ni haramu. Vilevile, hatuwezi kusema kundi fulani la watu lina haki ya kufanya mapinduzi na wengine hawana haki hiyo...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati mko wapi mbona hamsemi chochote? Upo wapi uhuru wa Vyombo vya habari? Mnatupa mashaka.

  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kufuru ya Samia Suluhu kukopa Hela za El-nino, ila tunaishia kujengewa madaraja ya Miti. Hela anazipeleka wapi?

    Mzanzibar Samia Suluhu Hela anazokopa za El nino anazipeleka wapi? Wakikopa wanatafuta kama 10% wanawapa Vyombo vya habari viongelee Mvua za El nino, wanaagiza Wakuu wa Walaya na Mikoa kukagua Miundombinu na kutisha watu kuhusu Mvua za El nino. Utawaona barabarani na Mifagio eti wanafanya...
  5. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Wajuvi wa mambo naomba kufahamishwa hiki kisiwa cha HAWAII kiko wapi nahitaji nikaishi huko

    Mwanzoni nilikuwa na wazo la kutimkia huko MADAGASCAR, ila sasa nimebadili gia angani yaani ndege nimeipiga U-TURN. Maana naona kukaa bongo ni kama nimechoka maana madrama kila kona. Ukipanga chumba drama kibao, mtaani drama kibao, kwenye migahawa ya chakula drama kibao, siasa drama kibao...
  6. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Ule mradi wa Bashe umeishia wapi?

    Samia na Bashe mradi ule wa kilimo wa vijana mliowaweka kambini na kuwatengenezea mashamba umeushia wapi? Vipi wale watoto wakike mliokuwa mnawala uroda kule na kuwabebesha mimba mmewasaidia au mmewatelekeza? Je CHADEMA ndiyo wamefelisha?
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Utata wa Judicial Procedurajuu ya mashahidi wa Tundu Lissu IGP, CDF na DCI kutotokea mahakamani leo. Wako safari wapi? Nchi gani?

    JE SUMMONS ZA MASHAHIDI IGP, DCI NA CDF ZIMEKUWA SERVED KWA WAHUSIKA DODOMA/DSM? Mrejesho wa Msajili unaonyesha summons zilitumwa Dodoma, lakini hazikuweza kuwasilishwa kwa sababu mashahidi wote wako nje ya nchi. Naweza kusema sasa tatizo sio tena relevance ya mashahidi, ila ni service na...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mumias Sugar Bado Iko Supermarket - Lakini Sukari Hii Inatoka Wapi?

    Mkenya mmoja ameibua maswali kuhusu Mumias Sugar inayopatikana katika baadhi ya supermarkets, akitaka kujua ni nani hasa anayezalisha sukari inayouzwa chini ya brand hiyo. Swali lake ni rahisi: Ikiwa sukari hii haikuzalishwa na Mumias Sugar, kwa nini packet inabeba jina la Mumias? Swali hilo...
  9. min -me

    JamiiForums Tanzania Zile nyuzi za wakubwa kipindi kile kwa jf zimeenda wapi?

    Ebu fanyeni kurudisha jukwaa la wakubwa ili mambo yaende sawa hapa jf bwashee 🤔 Hili jukwaaa tumeliomba kwa mda mrefu sijui kwanini mnatubania bila sababu za msingi asee 🤔
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen-Z wanatuzidi sana sisi wazee Kwenye Ujasiri, Wanaulizia Nchimbi yuko wapi

    Vijana wameamua kuchagua vita yao
  11. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Mfumo wa Pointi Leseni: Usawa Wapi?

    Habari za wakati huu wadau, Mimi ni dereva binafsi sipingani na mpango wa suala la ukataji wa pointi katika leseni za udereva, lakini suala hili limekuwa na lengo la kukandamiza upande mmoja tu. Suala la dereva kupewa piont 15 kwa muda wa miaka 5 sio sawa, labda ingewekwa kila mwaka dereva...
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo alikuwa wapi enzi za Magufuli?

    Huyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
  13. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hivi zile sinema za matamko ya uwizi wa tone tone yameishia wapi?

    -hii inchi inavituko sana na concentration ipo kwenye mambo yasiyo na tija kwa inchi. - makelele ya watu probably walioandaliwa toka huku na kule ati hevhe amekula michango ya tone tone yametoweka ghafla.. -Hii ni indicator kwamba; either ochestra wa haya yote anaupeo mdogo sana au CDM...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maoni: Yaitishwe maandamano nchi nzima ili tuambiwe yupo wapi Nchimbi.

    Kwa mujibu wa katiba ya JMT alikuwa kiongozi wa pili baada ya raisi baada ya rais wa JMT. Yupo wapi? Yupo hai au amekwisha toweka kama Polepole? Taifa zima liitishe maandamano ili kujua yupo wapi? Hii nchi sio mali ya wanaCCM mtandao.
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanapaswa kujifakari

    Anaandika Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Mkazi wa Jijini Mwanza Alloyce Nyanda (Mtozi), akionesha kuunga mkono chapisho la Msanii wa Muziki wa 'HipHop' Nchini, anayeishi Nchini Marekani kwa sasa Roma Mkatoliki (ambalo tumeweka kwenye post iliyopita): "Ukisoma andiko la Roma, kama utataka...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi yuko wapi?

    Naomba mnisaidie, leo mtakuwa mmefanikiwa kumwona Nchimbi katika Kanisa Katoliki lolote hapa Nchini?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu za MTIPITIPI (rosary pea/jequiry bean)?

    Ni mmea unaoota maeneo mengi Tanzania. Kama unaweza kupata mbegu zake nijulishe bei ya kilo moja.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Mnaweza kudhani kuwa kutoonekana kwa makamu wa rais mstaafu ni jambo dogo mbele ya wananchi. Hili siyo jambo dogo hata kidogo. Kutoonekana kwake hadharani kunawafanya wananchi wajiulize maswali mengi sana, miongoni mwa maswali hayo ni, 1. Je yuko hai au amekufa? 2. Je nchi hii iko salama kiasi...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Askofu wa makanisa ya GCTC - Ufufuo na Uzima Dr Josephat Gwajima?

    https://youtu.be/VucOADP1loY?si=f0xgGxMinKLYLnbZ Mnajua yuko wapi huyu Jesusi wa mbinguni, Askofu Josephat Gwajima? Mnakumbuka aliyowahi kusema huko nyuma kuhusu Tanzania na mwisho wa CCM? Sikilizeni... Vita ya kuikomboa Tanganyika inapiganwa katika maeneo mawili; 1. Mwilini (Physical realm...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hofu ya kifo inatoka wapi ikiwa mbinguni, peponi kupo kweli na sio story tu?

    Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa? Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema. Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini...
Back
Top Bottom