Mko wapi, tatizo mnajificha sana mabroo

Mko wapi, tatizo mnajificha sana mabroo

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
4,557
Reaction score
18,560
Niko tu uchochoroni,

Siziwezi hekaheka za vijana Mimi Mzee wenu,nipo mahali nimejibanza napata local beer

IMG_20260529_201935.jpg
 
Hii mambo nimeacha kabisa kampan za kunywa!
Kuna kipindi kila weekend ni kukutana na wana na kula gambe, kazi kuhama tu viwanja ! Bar naenda tu for leisure, maji yangu makubwa na malt , huku nasafisha macho na kuangalia mpira

Now nikimiss sana nainyonyea home moja au 2 baaaaas ! Tena only weekend!
 
Seran na Binti wa zamani changamkeni offer...
Mti
Hii mambo nimeacha kabisa kampan za kunywa!
Kuna kipindi kila weekend ni kukutana na wana na kula gambe, kazi kuhama tu viwanja ! Bar naenda tu for leisure, maji yangu makubwa na malt , huku nasafisha macho na kuangalia mpira

Now nikimiss sana nainyonyea home moja au 2 baaaaas ! Tena only weekend!
Kunywa hakuna weekend,sema naheshimu maamuzi yako
 
Huo ni uzee bro unapiga hodi. Mshukuru sana Mungu uzee unakujia vzr
 
Mti

Kunywa hakuna weekend,sema naheshimu maamuzi yako

Kweli masta, kunywa hakuna weekend sema ni ile mtu unapiga siku za kawaida kesho yake asbh unaamka na wenge alafu unatakiwa uende unapopatia ugali ....
 
Mkuu hawa wadogo zako wengine hawana uhakika wa nauli kesho.
Badala ya kuwanunulia pombe, fanya mpango uwarushia afu tatu tatu wapate nauli za kwenda interview na wengine kuzungusha bahasha maofsini.
 
Back
Top Bottom