BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,155
- 14,221
Hapa mtaani Kuna mgogoro umetokea Mume na mke wamepigana makonde usiku huu sasa kilichonishtua ni confidence ya huyu mwanamke
Anamtukana Mume wake matusi ya nguoni kilichonishangaza ni kauli yake eti amuache aishi maisha yake kama amemchoka amuache kwani Kuna Wanaume wengi wanamtaka cha ajabu ana watoto wawili wadogo.
Aisee wahuni acheni kuwalaghai wake za watu how come unakuwa interested na mke wa mtu mwenye watoto wawili..