Tunampost kwenye mitandao ipi, kama kweli sisi ndio tumemleta Rio na Mkewe ili kukuza utalii na kujisafisha na damu za October 29 2025?

Kakumamoto

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2015
Posts
1,652
Reaction score
2,533
Okey, Rio hapost chochote kwenye mitandao yake ya kijamii kuhusu uwepo wake Tanzania, nakubaliana nae kuwa hapangiwi katika hilo. Huenda yeye na mkewe ni wakubwa kuliko Tanzania kama Nchi hivyo hawezi kutupa 'air time'. Je Wizara iliyohusika kumleta chini ya Waziri Makonda wao wanapost kwenye mitandao ipi ili dunia ijue Rio na Mkewe wako Tanzania? Sisi kama nchi tunautumiaje uwepo wa Rio na Mkewe kuutangaza huo utalii Makonda anaosema? Maana tumeishia kulaumu Rio hapost kwenye mitandao yake ya kijamii! Sisi tunamtumiaje? Maana inabidi sisi tumtumie kadiri tuwezavyo picha zitumwe kwa wingi dunia ijue. Kama si hivyo ni Upuusi kama upuusi mwingine. AFCON ni kubwa sana, Rio hawezi kusema chochote bila ruhusa ya CAF, haiwezekani. Matangazo na promo zote ziko chini ya CUF, sisi labdatualike timu kubwa zicheze kwenye viwanja vyetu vipya.
 
Ni matumizi mabaya ya pesa tu, wamekuja mastaa wangapi bongo wanazunguka wanasepa, nyie mnapambana kumleta Rio kwa pesa zetu, kumlipia safari zote pamoja na kumpa posho halafu mnamlazimisha apost? Mwacheni ale penshen zake wajinga ndio waliwao!
 
Okey, Rio hapost chochote kwenye mitandao yake ya kijamii kuhusu uwepo wake Tanzania, nakubaliana nae kuwa hapangiwi katika hilo. Huenda yeye na mkewe ni wakubwa kuliko Tanzania kama Nchi hivyo hawezi kutupa 'air time'. Je Wizara iliyohusika kumleta chini ya Waziri Makonda wao wanapost kwenye mitandao ipi ili dunia ijue Rio na Mkewe wako Tanzania? Sisi kama nchi tunautumiaje uwepo wa Rio na Mkewe kuutangaza huo utalii Makonda anaosema? Maana tumeishia kulaumu Rio hapost kwenye mitandao yake ya kijamii! Sisi tunamtumiaje? Maana inabidi sisi tumtumie kadiri tuwezavyo picha zitumwe kwa wingi dunia ijue. Kama si hivyo ni Upuusi kama upuusi mwingine. AFCON ni kubwa sana, Rio hawezi kusema chochote bila ruhusa ya CAF, haiwezekani. Matangazo na promo zote ziko chini ya CUF, sisi labdatualike timu kubwa zicheze kwenye viwanja vyetu vipya.
Aposti akione cha mtema kuni.
 
Aposti akione cha mtema kuni.
Inabidi sisi ndio tumtumie maana sisi ndio tumemwalika ndio maana shamra shamra zikawa nyingi kwenye kumpokea. Wizara, ikibidi watumie na diaspora machawa wa CCM wapost kwa bidii picha za Rio na Mkewe wakiwa Tanzania. Hakuna namna.
 
Sisi? Okay basi iwe hivi kwa kuwa 'sisi' ndiyo tulioua Watanganyika(maelfu ya Watanganyika) kipindi cha uchaguzi wa Oct'2025 na bado tunaendelea kuteka, kutesa na kuua. Kwa kuwa bado tunaiba mali na rasilimali za Tanganyika, kwa kuwa bado tunang'ang'ania madaraka tuliyoyakamata kwa mabavu na kwa mauaji ya raia, kwa kuwa bado tunatengeneza na kuwapa nguvu chawa ili waendelee kuwa watiifu kwa watoto wetu tunaowaandaa kupokea madaraka kutoka kwetu na mlolongo wa mambo mengi ambayo ni ya lazima na ni muhimu sana kwetu 'sisi' basi hatuna budi kuendelea kumtumia Rio Ferdinand kuifanya hii kazi special ya SPORTSWASHING ukizingatia pesa za Watanganyika walipa kodi ndizo tulizotumia kumlipa.
 
Okey, Rio hapost chochote kwenye mitandao yake ya kijamii kuhusu uwepo wake Tanzania, nakubaliana nae kuwa hapangiwi katika hilo. Huenda yeye na mkewe ni wakubwa kuliko Tanzania kama Nchi hivyo hawezi kutupa 'air time'. Je Wizara iliyohusika kumleta chini ya Waziri Makonda wao wanapost kwenye mitandao ipi ili dunia ijue Rio na Mkewe wako Tanzania? Sisi kama nchi tunautumiaje uwepo wa Rio na Mkewe kuutangaza huo utalii Makonda anaosema? Maana tumeishia kulaumu Rio hapost kwenye mitandao yake ya kijamii! Sisi tunamtumiaje? Maana inabidi sisi tumtumie kadiri tuwezavyo picha zitumwe kwa wingi dunia ijue. Kama si hivyo ni Upuusi kama upuusi mwingine. AFCON ni kubwa sana, Rio hawezi kusema chochote bila ruhusa ya CAF, haiwezekani. Matangazo na promo zote ziko chini ya CUF, sisi labdatualike timu kubwa zicheze kwenye viwanja vyetu vipya.
Rio Ferdinand na Bashite wanajichanganya kuliko chakula mseto.
 
Back
Top Bottom