Gari “Namba D” zimeenda wapi?

Gari “Namba D” zimeenda wapi?

Nafikiri alimaanisha namba A zilizochoka kachaka.
Nenda kwenye page ya IG inaitwa wanaume wa plate A ukaone gari zilivyonyooka.
Mimi kwangu gari si plate namba sababu mimi sio dalali kwamba nanunua gari ili niuze , mimi gari i kwa matumizi yangu hivyo hata gari ikiwa namba T 101 AAA ili mradi tu board yake imenyooka iko vizuri nachukua, maana nina kigari cha field nilikichukua kwa padre mmoja hapa Rav 4 old nambaT 1** A** aisee gari ilikuwa bado mpya kabisa kuanzia board hadi engine ,naipenda kuliko nyingine nilizo nazo, na huwa na kuwa na uhakik wa safari nikiwa na hii Rav 4 kuliko hilo lingine la kisasa ambalo umeme kila sehemu
 
Back
Top Bottom