wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania Kuku aina ya Kuroiler F1 wanapatikana wapi?

    Nahitaji kujua wapi naweza kupata kuku aina ya kuroiler ambapo naweza kupata vifaranga wa F1. hii ina maana huyo supplier yeye awe na Parent stock ya F0. Location iwe kati ya Morogoro, Iringa au Dodoma
  2. ngumbuke

    JamiiForums Tanzania Wako Wapi Wasanii hawa?

    Jana Jioni Baada ya Kuchoshwa na Kazi za Kaisari, niliingia You tube kutafuta nyimbo nilizokuwa nikizisikiliza. Nikabahatika kumkumbuka Msanii mmoja toka Iringa akifahamika kama Mike T aka Mnyalu. Kwa haraka nikazikumbuka kazi zake mbili KAMA na NYALU LAND. Kisha nikamkumbuka Babu Inspekta...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri mpo wapi, mbona hatuwasikii mara baada ya uapisho?

    Naona wameingia mitini na ile kasi waliyoingia nayo sasa imepotea kabisa, tunaemuona ni Rais Samia na Waziri Mkuu kunani hizi ziara zilitakiwa kufanywa na mawaziri au mmenuna kwa kuwa kuna jicho linaangaza posho zenu? Mishahara mlipwe posho mzikwapue kwa kazi gani kubwa kihivyo? Mkitumbuliwa...
  4. mzushi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga yupo wapi?

    Leo ni mara ya pili katika kipindi cha karibu wiki ya tatu sasa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga hajaonekana hadharani na nafasi yake imekuwa ikikaimiwa na Mhe. Kusiruka. Yeyote mwenye taarifa za huyu Mheshimiwa tafadhari tunaomba atudokeze.
  5. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Baba Swalehe uko wapi Mkuu?

    Jamani wana JF namtafuta huyu rafiki yangu wa siku nyingi sana humu Nyumba ya furaha, lakini simsikii kabisa baba Swalehe uko wapi nakutafuta mkuu?
  6. Patra31

    JamiiForums Tanzania Power of VFX bongo sijui tunafeli wapi tu

  7. Steph Curry

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi kamba za Katani kwa kilo?

    Habari Wakuu, naomba nisaidiwe wapi nitapata kamba za Katani kwa uwingi na bei ya jumla.. Najua zinapatikana kwenye hardwares lakini mimi mahitaji yangu ni makubwa hivyo ningependa kuzinunua either kiwandani au kwa wholesalers.. Asanteni!!
  8. L

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Baby Kabae wa Clouds 360?

    Salaam kwa jina la JMT mwenye yuko na taarifa za huyu Dada Baby Kabae aliyekuwa clouds 360 naziomba nimfollow huko kama kahamia radio nyengine ... Alikuwa jembe sana pale 360 alipokalia Kija yunus kiukwl hajafiti na hatafiti clouds angalieni mbadala wa Kabae huyo binti Lindi ni wa nyuma ya...
  9. maroon7

    JamiiForums Tanzania Wale ombaomba wa kusukumwa kwenye wheelchair wamepotelea wapi?

    Aisee kweli hapa mjini kila kitu ni dili la mtu. Mtakumbuka wale walemavu ombaomba waliokua wanasukumwa kwenye wheelchair walisambaa kila kona ya Dar kuanzia asubuhi hadi usiku,wanaingia kwenye bar,migahawa,madukani na kwinginek. Mpaka tukawa tunajiuliza mbona wanaowasukuma ni mabaunsa kwanini...
  10. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania VUDEO: Ni uchunguzi gani ili mtu ajue kuwa huu ni wizi mtupu kwa jina la "malipo ya posho ya.....??"

    Hii kitu kama kweli imefanyika Wizara ya fedha - HQ, basi tuna tatizo kubwa sana na usalama wa fedha ya umma chini ya watu hawa... Waziri wa fedha kwa sasa ni Mwigulu Chemba. Kwa takwimu hizi za wizi huu wakati unafanyika zinazotolewa na PM, Mwigulu alikuwa hajawa Waziri bado... Wakati huo...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Serikali wapeni watu nafasi ya kufanya mambo yao, msiwe front sana

    ====== Speaker wa bunge,Job Ndugai " Government intervention inatakiwa ndio iwepo lakini minimal, yaani katika nchi za wenzetu nchi zilizoendelea kampeni moja wapo katika uchaguzi mkuu ni kitu kinaitwa less Government yaani less Government katika maisha ya watu sio ukigeuka serikali, ukigeuka...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ipo wapi Zanzibar kwenye vyombo vya dola?

    Si hoja ya kikatiba Wala ya kisheria ni hoja ya fikra juu ya utekelezaji wa Yale ambayo hayajaandikwa na si kwamba yalisaulika kuandikwa bali ni magumu kuyaweka kwenye makaratasi. Hakuna sehemu Katiba wala sheria inaposema wakuu wa vyombo wabadilishane kutoka na pande mbili za Muungano. Aidha...
  13. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Nakaribishwa sana Kilima Nyege. Sijui hata nianzie wapi

    Hapa ofisini kuna dada wa masijala kafika ana miezi miwili. Mzuri kweli...umbo lake matata hasa. Sema tu ni mswahili sana. Ananiona mimi mpole so mara nyingi anakuja ofisini kwangu kunifanyia fujo. Kuna siku amejamba mbele yangu. Nlimshangaa sana. Akacheka na kusema ye haoni ajabu wala nanii...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari Huru yuko wapi?

    Alikuwa mhabarishaji mwema hapa JF, siku nyingi simuoni kuandika hapa JF, yuko wapi jamani?
  15. GAZETI

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mbunge wa Newala mjini, Kapteni Mkuchika?

    Aliwahi kuwa waziri wa utawala bora awamu hii nikasikia amepangiwa kazi maalumu... Sijamuona kwenye uapisho pia sijabahatika kumuona Bungeni yuko wapi Mbunge wangu?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Unapata wapi ujasiri wa kufanya sherehe wakati ndugu zenu wanaonewa

    Hii ilikuwa Alhamisi na ijumaa iliyopita.
  17. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Heshima, Kujiheshimu, kuwa na malengo na kujua wapi unapotaka kwenda

    Akiongea na wanafunzi na watoto wa kike, mh.Rais Samia Suluhu Hassan ALIWASHAJIISHA adabu na nidhamu vijana hao huku akiwasimulia mikasa aliyoipata katika safari yake ya maisha. Alianza kuwaelezea mapito aliyopitia katika UWAJIBIKAJI WAKE WA KAZI katika SEKTA BINAFSI na TAASISI ZA KISERIKALI...
  18. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata domain name kwa $3

    Wapi nitapata domain name kwa bei cheap ya $3 kwa mwaka ninunue? Nitaka niunganishe blogger
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea DC Sabaya akasafishika vyema na kutakata vilivyo kwa Sabuni nzuri ya Haki tuliomshadadia tutaficha wapi Minyago yetu?

    Leo Krav Maga niliamua kujipa tu Kazi binafsi ya kupitia Maamuzi ya Uchunguzi ya waliowahi kuwa Viongozi Serikalini katika Tawala mbalimbali ili Kujiridhisha na hili la aliyekuwa DC wa Moshi Ole Sabaya. Nilichokigundua tu ni kwamba kati ya Watu kama nane ambao Marais waliwasimamisha Kazi...
  20. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mtemi mwingine wa kupambana na Mbowe?

    YUKO WAPI MTEMI MWINGINE WA KUPAMBANA NA MBOWE!? Leo 15:15hrs 14/05/2021 Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu ya aina za siasa za Arusha, ndio maana juzi kaongea Sabaya hapa Tanzania, akajibu Godbless Lema akiwa Canada, na sababu nyingine ni "spotlight" iliyokuwepo eneo lake la utawala...
Back
Top Bottom