The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Mfano angalia hiyo video hapo chini. Huyo mdada wa Kiislamu, Vatican inaruhusu watu wa aina zote kufanya ziara za kitalii ndani ya Saint Peter's Square. Sasa huyo mdada akachukua na ka prayer mat kake eti akaswalie ndani ya Vayican. Hebu fikiri mkiristo alajaribu kufanya Ibada ya Kikiristo pale...
habar ya kwenu wakazi wa jjiji la miamba
leo hii sina mambo mengi ya kuzungumza na nyinyi ispokuwa naomba kama kuna mtu yeyote hapa Mwanza anayejia chimbo linalouza mashine za mtumba za kuoshea magar tafadhal naomba anijuze
asanten nawasilisha
Guys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.
Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma?
Je! Huko 30+ ulikosa fursa? Je! Unaweza kufanikiwa kimaisha ukiwa serious kwenye umri huo? Huko nyuma...
#Hali ni mbaya
Guys,hili suala la watu kusapoti ushoga waziwazi linazidi kuota mizizi, je huu ndo unaitwa "uwana harakat..?" au ni watu wako kazini kupitia NGO's zinazosapoti masuala ya ushoga?
Hata kama wewe hufanyi ule usodoma,haimanishi uko salama
Mfanyaji na mfanwaji wote ni...
Uhuru wako na utoshelevu unaanzia pale ‘wewe’ wa faraghani anapokaribiana na ‘wewe’ wa kufikirika (ideal self) unayemleta hadharani. Ikumbukwe kuwa huyu ‘wewe’ wa hadharani hubeba taswira unayoitaka—au unayejua ndio inayotarajiwa na watu —wakati ‘wewe’ wa faraghani hubeba taswira halisi (real...
Nchimbi amekuwa Muumini wenu miaka yote na kutokana na Vyeo alivyokuwa kuwa navyo akifika Kanisani mlikuwa mntambua kipekee hivyo mlikuwa mnampa viti maalumu vya kukaa pengine pale mbele kabisa.
Kama mlimtambua kwa cheo chake, kwa nini sasa haji Kanisani kwenu na nyie mmenyamaza kimya...
Nimefuatilia mjadala wa chief odemba na wale ambao waita waandishi wa habari nzuri,nakili baadhi yao ni nguli kweli kweli, ila wengine ni mamluki wa tabaka tawala.
Balile aliulizwa kuna waandishi wa habari na wahariri wapo news room lakini wakati wa uchaguzi walionekana live kuvalia nguo za...
Kabla ya redio ukieleza habari utaulizwa hayo mambo umeyatoa kwenye vitabu.
Ilivyokuja redio ukieleza utaulizwa umeyatolea kwenye redio.
Ilivyokuja TV nayo hivyo hivyo.
Ilipokuja internet nalo swali linakuja umeyatolea kwenye mitandao.
Imekuja AI bado wanauliza lile lile swali.
Sasa wewe...
Kweli dunia ni uwanja wa fujo,
Kila mmoja anapiga zake zikipasuka anatoweka.
Wapo waliovuma mitandanoni na kwenye siasa.
Wako wapi akina Humphrey Polepole Mdude,, Nchimbi na wengine waliovuma kwenye uringo wa siasa?
Wako wapi akina Rachael Dangwa na mitusi na vimbwanga vyake?
Wako wapi akina...
Changamoto tunayopitia sasa hivi wakati huu wa kuhuisha leseni zetu kupitia Baraza la Famasia Tanzania (Pharmacy Council).
Mfumo wa CPD Portal Unasumbua: Mfumo ni mzito na unaleta hitilafu (errors). Kwa sasa kuna maswali ya kujibu kwenye mfumo lakini hakuna -access kabisa (haufunguki)...
Hao ni wenzenu hao wa kitengo cha utekaji dereva wa kawaida hawezi kujiwekea namba za kiusalama kienyeji tu, lakini hana ulazima wa kuwa na bastola toy yeye ya nini? Halafu dereva tu anaoata wapi nguvu ya kutaka kumteka dereva wa kampuni kubwa kabisa ya usafirishaji ? Halafu awe dereva tuu ...
Nimesikia milango ya uwekezaji iko wazi, napata wapi dalali aniuzie mbuga zote na ikiwezekana kuwafukuza wakazi wote waishio karibu nazo ili kuepusha bugudha?
Pesa ipo.
Kuna wale wadau wa Nyama choma kila weekend lazima mtu awe location flani hivi halafu pembeni kuna rhumba inasikika stress zote za wiki zinayeyuka . Wiki hii GPS inakusoma upo wapi ? Au wapi kuna mafundi wa nyama choma wadau tusogee ila hatuji kukuomba maana watu wataogopa kufunguka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.