Hivi yule mwanajeshi wa Marekani aliishia wapi?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,892
Reaction score
141,557
Mara kwa mara nimekuwa nikisema kwamba taasisi inayoongoza kwa kuwa na vilaza wengi sana nchini, ni JWTZ ikifuatiwa kwa karibu na polisi.

Kipindi cha mauaji ya Watanzania hapo mwaka jana, katika jitihada za kupoteza watu malengo, polisi wa Tanzania walikuja na kituko cha mwaka.

Baada ya Samia kudanganya kuwa kuna watu walitoka nje kuja kuleta vurugu nchini, polisi wa Tanzania wakaibuka na uzushi kuwa eti wamemkamata mwanajeshi wa Kimatekani kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya.

Tena wakampiga hadi na picha huyo ‘mwanajeshi’ wa Marekani 🤣.

Wote wenye akili tulijua kwamba huo ulikiwa ni uzushi tu.

Ithibati ya huo uzushi ni ukimya wao.

Huyo jamaa kama ni kweli angekuwa ni mwanajeshi wa Marekani, muuaji Samia na hao wauaji wenzake mpaka leo hii wangekuwa wanamzungumzia.

Kwa ukimya uliopo, ni wazi kuwa huo ulikuwa ni uongo tu.
 
- KumbukiziMTAFUTANO.jpg
 
Awamu hii tunashuhudia maigizo ya bei ya jioni.😀😀
 
Tatizo la watu propaganda awamu hii hawana akili kabisa
 
Mara kwa mara nimekuwa nikisema kwamba taasisi inayoongoza kwa kuwa na vilaza wengi sana nchini, ni JWTZ ikifuatiwa kwa karibu na polisi.

Kipindi cha mauaji ya Watanzania hapo mwaka jana, katika jitihada za kupoteza watu malengo, polisi wa Tanzania walikuja na kituko cha mwaka.

Baada ya Samia kudanganya kuwa kuna watu walitoka nje kuja kuleta vurugu nchini, polisi wa Tanzania wakaibuka na uzushi kuwa eti wamemkamata mwanajeshi wa Kimatekani kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya.

Tena wakampiga hadi na picha huyo ‘mwanajeshi’ wa Marekani 🤣.

Wote wenye akili tulijua kwamba huo ulikiwa ni uzushi tu.

Ithibati ya huo uzushi ni ukimya wao.

Huyo jamaa kama ni kweli angekuwa ni mwanajeshi wa Marekani, muuaji Samia na hao wauaji wenzake mpaka leo hii wangekuwa wanamzungumzia.

Kwa ukimya uliopo, ni wazi kuwa huo ulikuwa ni uongo tu.
Hivi ndivyo huwa wanafanya wanapokuwa wanataka kuwabadilishia watu topic ya kujadili. Wanafanya uzushi.

Walitaka watu watumie muda wao mwingi kujadili hilo badala ya kujadili uhalifu uliofanywa na vyombo vya dola kuanzia 29 October 2025.
 
Back
Top Bottom