wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    Wazee kwema Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? 😅) Kuna mtu amenishauri nikaiwekeze sehemu mi niwe nakula faida tu maisha yangu yote. Je, ni wapi ambapo...
  2. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Wapi ntapata malori ya Dar nikiwa morogoro?

    Anaejua chimbo Tafadhali anipe maelekezo usafiri wa roli kwa dodoma napata wapi?
  3. R

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Mitaa Wilaya ya Ubungo zimegeuka Machinjio ya vyombo vya moto, fedha za Matengenezo ziko wapi?

    Barabara nyingi za mitaa katika Wilaya ya Ubungo zimegeuka machinjio ya vyombo vya usafiri na chanzo kikuu cha hasara kwa wananchi, huku mamlaka husika zikionekana kushindwa kutoa suluhisho la kudumu. Katika Kata za Kimara, Makoka na Saranga, mashimo makubwa, matope na mifereji mibovu vimekuwa...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa!

    Mungu hadhihakiwi! Wamefubaa/ wamefubazwa mitandaoni Masanja mkandamizaji.. Sehemu kubwa ya mahubiri yake kwenye kanisa lake la mchongo ilikuwa kumsifia mkewe na wanawake wenye makalio makubwa! Akaishia kupigwa baya na baadae katibu wake akafariki kifo tata! Tangu hapo akageuka kuwa chawa...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Tighten Belts Wapi? State House Yatumia KSh 50M Kila Siku Huku Kenyans Wakiambiwa Kubana Matumizi”

    Kenya’s Controller of Budget, Margaret Nyakang'o, ametoa ripoti ya matumizi ya serikali kwa Q1 ya FY 2025/2026 (July–September) — na imezua mjadala mkubwa. Ripoti inaonyesha kuwa State House, chini ya Rais William Ruto, ilitumia takriban KSh 4.5 billion ndani ya miezi mitatu, sawa na KSh 50...
  6. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Hivi hii misimamo na mahaba ya namna hii huwa mnayatoa wapi?

    Katika ukuaji wangu Kuna Imani na misimamo nikimuona nayo mtu nabaki namshangaa kabisa Kwa mfano; Hivi inawezekanaje kuwa chawa wa mtu kiasi Cha kushindwa kuona mabaya take?🤔 Hivi mtu unawezaje kujidhuru kwa ajiri ya mapenzi ?🤔 Hivi kipi kinacho Mfanya mtu anashindwa kumuamini Mungu au...
  7. kali linux

    JamiiForums Tanzania Je ni wapi naweza pata huduma nzuri ya corporate food catering kwa hapa dar?

    Hello bosses and roses... Je ni wapi au nani anatoa huduma nzuri ya corporate/office food catering kwa hapa dar? Location around Ubungo, Kimara na Tabata. Pia hata kama una hoteli yako na upo maeneo hayo pia unatengeneza chakula grade nzuri unaweza nicheki tuka-negotiate
  8. Kitambi chakufutia tachi

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi naweza kupata mikeka ya jumla?

    Salaam wakuu. Katika harakati za kujikwamua kimaisha na eneo nililopo naona hii biashara itanilipa. Sasa nilikuwa nahitaji inakopatikana ile mikeka iliyoandikwa ZARI au ile ya milia. Ikiwa ni kiwandani au kwa Mchina itakuwa zaidi mana nahitaji kuuza jumla nipo Mtwara. Natanguliza shukran.
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wanaume wawili Zanzibar watekwa kwenye gari aina ya IST

    Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii? Rais wa Zanzibari chukua hatua
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC yalaani tukio la Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha kutekwa na kuuawa

    Pia soma ~ Jeshi la Polisi lasema linafanya uchunguzi kifo cha Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Taja nchi inayoanza na herufi ya kwanza ya jina lako tuone ulistahiri kuishi wapi

    Wakuu! Taja nchi inayoanza na herufi ya kwanza ya jina lako tuone ulistahiri kuishi wapi 😄✈️ Twende kazi! 👇🌎
  12. K

    JamiiForums Tanzania Unajua nchi hii kwa hili: CC-Wasira vs Chadema-Heche! Je nchi inaenda wapi??

    Unajua nchi hii kwa hili: CC-Wasira vs Chadema-Heche! Je nchi inaenda wapi?? Kama wewe ni kijana ambao ni 80% wanamsikiliza mzee wasira ambaye alikuwa mkuu wa mkoa 1978 kwa uchawa wake au Heche? Nchi ndiyo ipo hapa. Kwasababu ya nguvu ya serikali wanataka kukuaminisha watanzania wengi...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wapi Chimbo la Suti za Kishua kwa bei nafuu?

    Wakuu tunaopiga suti kali za kishua, tujuzane machimbo ya suti kali Dar Mwanza Arusha na kwingineko
  14. Quavohucho

    JamiiForums Tanzania Wako wapi Hawa!!

    Walikua maarufu sana hasa Twitter x" na Telegram,miaka ya 2021 mbaka 2024? :Asha zungu :Sauda Bubu :Linda amossi :Yanga girl :Mona deus aka slim lady, :Sy kivuluge sijapata kabisa kuwaona si mtaani wala mitandaoni! Na hata content utapata zile zile za zamani! Je kuna mtu anaweza kujua wako...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi Luhaga Mpina yuko wapi na anajishughulisha na nini kwa sasa?

    Ile jeuri na kiburi ya kisiasa alokua nayo akiwa CCM bado anayo tena huko ACT Wazalendo? Ama kwa hakika samaki hawezi kuishi nchi kavu. Ngebe zake zote hakuna tena na amekua funzo na darasa la anguko katika uongozi hasa kwa wanasiasa wanaopenda majivuno, ulevi wa sifa na kiburi nonsense. Hata...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yusufu Makamba amepotelea wapi?

    Huyu mzee alikuwa bwatu bwatu sana. Tukawa tunamwangalia tunasema hiiii.... Yu wapi sasa? Mbona yu kimya sana? Hatumwoni akiwananga wengine na kuwachamba. Wala kumsifia jini maimuna.... Je ni nini kimemkuta ?
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Walokole, tangu muanze kumkanyaga Shetani kwa jina la Yesu mmefikia wapi?

    Awali ya yote Lissu sio Muhaini. Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina. Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga. Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani...
  18. geofreyngaga

    JamiiForums Tanzania Unahitaji fundi ujenzi wa nyumba? Nipe kazi hiyo

    Basi WhatsApp/call number hii hapa 0652494919 simu ziite. Tunafeli wapi ndugu zanguni?
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wapi Ilipokuwa Ofisi ya Market Master Kariakoo Market?

    Ilipokuwa inapita Barabara ya Swahili makutano na Mtaa wa Tandamti nimekuta pamejengwa na ni sehemu ya Soko la Kariakoo. Mtaa wa Swahili unakatika hapo na unakuja kuendelea kuanzia Mkunguni kwenda mbele. Hapo niliposimama kwenye picha nimesimama ilipokuwa zamani Barabara ya Swahili na...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wanatoa wapi pesa za kujenga viwanja vya michezo bila kukopa?

    Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo. Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho...
Back
Top Bottom