wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Takwimu mbalimbali katika uteuzi wa Wakuu wa Wilaya wapya

    Jumla ya wakuu wa wilaya walioteuliwa na RAIS Samia ni 139: 11 ni Ph.D sawa na 8% 26 ni Masters sawa 19% 95 ni Bachelor Degrees sawa na 68% 3 ni Diploma sawa na 2% 4 ni ACSEE na CSEE sawa na 3% 95 Wanaume sawa na 68% 44 Wanawake sawa na 32% Vijana wapo 28 sawa na 20% Waliowahi kuwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupigiwa kura badala ya kuchaguliwa na Raisi?

    Nime towa wazo hilo ili utendaji una weza kuwa mzuri. Kwanza nataka kujuwa hawa wakuu wamikowa na wakuu wawilaya wana ingia wapi katika serikali Kuna madiwani ambawo huchaguliwa na watu hawa huingia wapi? Kuna mayor ambaye huchaguliwa na wajumbe lakini ( bora ingekuwa mayor anachaguliwa na...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy aagiza kuapishwa wakuu wa Wilaya kesho

    Dar es Salaam.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi, Ummy Mwalimu ameagiza wakuu wa mikoa kuwaapisha Wakuu wa Wilaya wote walioteuliwa kuanzia kesho Jumatatu Juni 21, 2021. Waziri Ummy ametoa agizo hilo leo Jumapili Juni 20, 2021 muda mchache baada ya kumaliza ziara yake yake ya kukagua ujenzi...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanachadema wanalamikia teuzi za Wakuu wa Wilaya?

    Wanabodi, Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais. Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali...
  5. The Boss

    JamiiForums Tanzania Naombeni orodha ya waliotemwa nafasi za Ukuu wa Wilaya

    Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione.. Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'.. Mwenye nayo please naomba iweke hapa =====
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa kasahau vipi 'Kuwateua' Wachapakazi hawa nao kuwa Wakuu wa Wilaya?

    1. Michael Sarpong 2. Abdulazaq Fiston 3. Metacha Mnata 4. Ditram Nchimbi Hawa nao wangemsaidia sana tu Mama.
  7. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania Ni Wakuu wa Wilaya au Mabalozi wa Serikali katika Wilaya

    Naendelea kujiuliza hizi course za POLITICAL SCIENCE zinakazi gani kama tunaokoteza okoteza tu viongozi kwa kuangalia umaarufu wao! Kwann wasibebe wasomi/malecture ama watumishi wa serikali kwa nafasi hizi Zaid ya kuwajaza wauza sura,wasanii na wapiga picha na kushinda instagram muda wote...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu, ninahitaji msaada wa kitabibu hasa daktari wa watoto

    Habari za asubuhi wadau wa Afya, natumaini mko salama. Niende straight kwenye mada. Mwanangu wa kike anaumri wa miezi mi4, sasa takribani mwezi na wiki2 zilizopita alitokewa na vipele kama vi4 chini ya kwapa kuelekea mgongoni. Vipele hivyo ni kama vimevujia damu na chaajabu havimuumi ila kama...
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania TB Joshua hakuwahi kubatizwa wala kumpokea Yesu! Nimeshangaa sana

    Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu kilipotokea. Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa TB Joshua kama Mkristo mwenzao. Alipoulizwa sababu ya kumkataa, mwenyekiti mmoja wa jumuia hiyo...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Wakuu wa Wilaya kwa siku nyingi zimenajisiwa sana

    Najua leo hii wengi wanapata utulivi baada ya kuona Sabaya akipandishwa kizimbani. Naiona hii haitoshi kwa sababu hatujaona mbele hukumu itakuwaje. Huenda itaibua mapya mengi na mengine yakiwahusu hao waliomtuhumu. Shida yangu ni ubora duni wa wanaoteuliwa kushika nafasi hizo. Tatizo ni...
  11. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi waliokula pesa za Maabara za wananchi, nao pia watakamatwe

    Rais Samia. Tafadhari sana. Wakuu wa wilaya wenye tabia ya Sabaya ni wengi. Wilaya nyingi watu wana vilio vya wakuu hawa ambao walikula michango ya wananchi na hasa kwenye ujenzi wa maabara na madarasa. Wananchi walitoa michango kwa nguvu, lakini bila huruma pesa zimeliwa. Hawa nawaona ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Toyota Raum zinatumia oxygen sensor?

    Gari yangu ni Toyota Raum, ningependa kujua kama zinatumia oxygen sensor, kama ndio zinakuwa sehemu gani?
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami. ========== Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa google support customer service

    Wakuu habari zeno, Ninashida na jinsi yakuwasiliana na Google support service nimepoteza keys za Google authenticator nimejalibu kutafuta mawasiliano nao nimeshindw najua umu siatakosa mwanga karibuni. CHIEF MKWAWA
  15. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Msaada PC ya dell Wakuu

    Nina pc ya dell inspiron 3521 ambayo ina tatizo moja kwamba, ukiweka waya wa charge, betrii halichaji Bali inakia inatumika kama desktop, lakini nikipeleka betri kwa pc 💻 ya mtu betrii nachaji vizuri tu, bila shida yoyote, hio ilikuwa mwaka jana mwezi wa kwanza, na betri lilikia linasoma...
  16. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Umofia kwenu wakuu, Wapo watu ambao wanapenda kujua maana au tafsiri za ndoto kwa kuwa nyingi huwa zinakuja kwa mtindo wa mafumbo. Wapo wanaoamini kuwa ndoto zina taarifa zenye miongozo au kutoa tahadhari kwenye mwenendo wa maisha yao ya kila siku. Hivyo kuzielewa kuna maana kubwa sana kwao...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Utendaji uliotukuka wa Dkt. Anna Makakala ukimpendeza Rais awateue wakuu wengine wa Majeshi yetu Wanawake

    Awamu iliyopita ilikuwa ngumu kiutawala na ilihitaji ujasiri kusimama na kubaki kwenye nafasi ya juu ya uteuzi. Dr. Anna Makakala Ni mmoja wa wanawake waliovumilia nakupambana kwa miaka mitano ya awamu hiyo bila kutumbuliwa. Kila ukiangalia picha za awamo ya tano utabaini alipokuwa Rais na huyu...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wajumbe waliogombea NEC Taifa mwaka 2017 wateuliwe kuwa Wakuu wa Wilaya

    WAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025. WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa wateuliwe kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa...
  19. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuanzisha shule ya msingi binafsi inayofundisha kwa Kiswahili?

    Hivi shule za private lazima zifundishe kwa Kiingereza?
  20. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Wapi hapa tanzania naweza Pata betrii la simu ya xiaomi redmi note 3

    Wakuu wa jukwaa hili naombeni msaada wapi hapa tanzania naweza Pata betrii la simu ya xiaomi redmi note 3. Msaada tafadhali wapendwa.
Back
Top Bottom