Wife alikuwa na maana gani hapa wakuu?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,746
Habari wakuu?

Last weekend nimemuaga wife kuwa nakwenda bar ya jirani hapo kucheck mechi ya Man. U, cha kushangaza wife akanijibu uwasalimie wahudumu (bar maids) wa hiyo bar.

Nimemtafakari sana kutaka kujua hilo jibu lake lilikuwa na ujumbe gani kwangu ila sijapata majibu.

Kwa wazoefu wa haya mambo, naomba mnisadie kufungua hii code.
 
Habari wakuu?
Last weekend nimemuaga wife kuwa naenda bar ya jirani hapo kucheck mechi ya Man u,cha kushangaza wife akanijibu tu ,uwasalimie wahudumu(bar maids)wa hiyo bar.
Nimemtafakari sana kutaka kujua hilo jibu lake lilikua na ujumbe gani kwangu ila sijapata majibu.kwa wazoefu wa haya mambo, naomba mnisadie kufungua hii code

Mkuu ni kweli umeoa!?
 
Ulishindwa Nini kumuuliza alikuwa na maana gani? Hapa huwezi kupata ukweli, ukweli anao huyo mkewe.
 
Habari wakuu?

Last weekend nimemuaga wife kuwa nakwenda bar ya jirani hapo kucheck mechi ya Man. U, cha kushangaza wife akanijibu uwasalimie wahudumu (bar maids) wa hiyo bar.

Nimemtafakari sana kutaka kujua hilo jibu lake lilikua na ujumbe gani kwangu ila sijapata majibu.

Kwa wazoefu wa haya mambo, naomba mnisadie kufungua hii code.
Hakupenda umwache peke yake home halafu wewe unakwenda kwenye Mambo ya kipuuzi ,mchana haupo nyumbani usiku pia bado unashughulika na Mambo ya kipumbavu na kumwacha mkeo peke yake.Achana na hizo Mambo ya kipuuzi!
 
Habari wakuu?

Last weekend nimemuaga wife kuwa nakwenda bar ya jirani hapo kucheck mechi ya Man. U, cha kushangaza wife akanijibu uwasalimie wahudumu (bar maids) wa hiyo bar.

Nimemtafakari sana kutaka kujua hilo jibu lake lilikuwa na ujumbe gani kwangu ila sijapata majibu.

Kwa wazoefu wa haya mambo, naomba mnisadie kufungua hii code.
Ndio maana mnakufa mapema yaam alikuzingua we umeweka kichwan
 
Habari wakuu?

Last weekend nimemuaga wife kuwa nakwenda bar ya jirani hapo kucheck mechi ya Man. U, cha kushangaza wife akanijibu uwasalimie wahudumu (bar maids) wa hiyo bar.

Nimemtafakari sana kutaka kujua hilo jibu lake lilikuwa na ujumbe gani kwangu ila sijapata majibu.

Kwa wazoefu wa haya mambo, naomba mnisadie kufungua hii code.
Kuna mdau mmoja humu jf analalamikia nyuzi za kipumbavu
 
Habari wakuu?

Last weekend nimemuaga wife kuwa nakwenda bar ya jirani hapo kucheck mechi ya Man. U, cha kushangaza wife akanijibu uwasalimie wahudumu (bar maids) wa hiyo bar.

Nimemtafakari sana kutaka kujua hilo jibu lake lilikuwa na ujumbe gani kwangu ila sijapata majibu.

Kwa wazoefu wa haya mambo, naomba mnisadie kufungua hii code.

Hahaha wanawake tuwe na break za majibu jamani. Hivihivi ndio kumkaribisha shetani
Sasa hapo si amekutuma!? Au amekukumbusha!??

Ni ana wivu tu na hofu juu yako hamna lolote
Kwanini asimwambie mume wangu twende wote naogopa kuibiwa😍
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom