wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. dubu

    JamiiForums Tanzania Wakuu, hii ilikuwa mechi gani? Na Kipa alificha nini golini?

    Salaam wakuu, Mimi sikujua hii mechi ni ya bongo hadi nilipoona bango la Azam. Je, ni Mechi gani? Goli kipa alificha nini golini? Huyo anayekimbizwa ni nani? Kwanini anakimbia?
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Soya bean ya Kariakoo inatoka wapi?

    Wakuu hivi hii soya bean inayo uzwa madukani/ masokoni kariakoo Na kwingineko jijini Dsm inalimwa wapi? Concern yangu ni nataka kujua kama ni original au inalimwa hapa hapa Tanzania maana nimesoma Mahali kwamba Soya ni Moja Kati ya bidhaa za kilimo ambazo zinazalishwa katika mfumo Gmo Kwa...
  3. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania MSAADA : Naombeni Direct Link za Hizi Movies TERMINATOR & SUPERMAN Part Zote Wakuu.

    Heshima kwenu wakuu. Nimekumbuka hizo movies hapo juu niliziangalia nikiwa mdogo, sasa nimezikumbuka nahitaji kuziangalia tena zote in series kuanzia ya mwanzo mpaka ya mwisho. Najua wadau mtanipa muongozo ili niweze kuzi-download mwanzo mpaka mwisho wakuu. Natanguliza shukran zangu za dhati...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Usifanye maamuzi ukiwa umelewa, yatakugharimu

    Siku moja nilipata safari kwenda mkoa anakoishi mchepuko wangu, ambaye tulibahatika kuzaa naye. Baada ya kufika katika huo mkoa, nilimjulisha na akanikaribisha niende kumtembelea nyumbani kwake. Mida ya jioni ilipofika, nilifika nyumbani kwake, tukaongea stori za hapa na pale, huku mtoto...
  5. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania MSAADA : Direct Link Movie ya Sobibor 2018 Wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Aisee nimejaribu kuitafuta sana hii movie, naipata lakini nashangaa nikii-download inagoma kabisa, sasa kwa mwenye direct link ambayo nitaweza kui-download kwa urahisi naomba anisaidie wakuu. Natanguliza shukran zangu kwenu wakuu. Thanks.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hii number ya nchi gani wakuu?

    Kwema wakubwa? Nilikua msalani nimetoka niikacheck simu yangu nikakuta hii number imenipigia, +27118818914.itakua ni number ya nchi gani hii wazee maana binafsi sina hata ndugu wala rafiki aliyeko nje ya nchi?
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

    Kama ni kweli wale tulio kwenye ulinzi jiuzuluni tafadhali sanaaa huyo hapo chini alikuwa mlinzi wa Magufuli sasahivi ni mlinzi wa Naibu spika?
  8. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Nikianza kumtongoza mwanamke kabla hajakubali nakuwa na shauku naye akikubali tu napoteza hamu naye

    Habari zenu wakuu,kijana wenu naomba ushauri katika hili iko hivi; Mwanzoni wakati naanza mambo ya mahusiano nilikuwa vizuri tu na watu niliokuwa nao katika mahusiano nikimaanisha upande wa kuwasiliana na mambo mengine madogomadogo hali iliyofanya nifurahie sana kuwa kwenye mahusiano. Shida...
  9. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Zoezi la ukusanyaji wa anuani za makazi kwa Iringa litafanyika lini wakuu?

    Jamani mbaka mudaa huu tushaona hili zoezi likiwa limeshaanza sehemu mbalimbali nchini Tanzania, kama vile Dar es salaam, Dodoma, Mbeya, Kigoma, Morogoro, Shinyanga n.k. Huku halmashauri za mikoa na majiji zote zikitangaza nafasi kwa vijana ambayo wapo tayari na wanavigezo vya kufanya kazi ya...
  10. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimesota kweli, nataka nianze kuuza miwa ya kukata kwenye vifuko

    Tangu nimalize masomo ya elimu yangu mwaka juzi nimekuwa nyumbani tu bila shughuli yoyote. Kwenye tembea tembea nimefikiria nianze kuuza ile miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko. Kuna mtu amewahi kuifanya hapa anipe uzoefu kidogo?
  11. deemax11

    JamiiForums Tanzania Aliesoma Short Course za VETA anaruhusiwa kuendelea vyuoni

    Wakubwa samahani sana ..kama title inavyojieleza hapo juu nilikuwa nataka kujua je kwa aliesoma short course veta mfano ya electronics anaruhusiwa kuendelea kusoma vyuoni kwa ngazi tofauti kama certificate na diploma? Naombeni majibu wakuu
  12. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania MSAADA : Naombeni Link ya Poweramp Premium Wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Naomba msaada wa hiyo app kama kuna mtu mwenye link ya Poweramp Premium. Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu. Thank you. Chief-Mkwawa.
  13. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Naombeni link ya 2022 Pepsi Super Bowl LVI halftime full show wakuu. Thanks

    Heshima kwenu wakuu. Kuna show moja kali sana ikijumuisha Mary J. Blige, Dr. Dre, Snoop Dogg, Eminem, 50 Cent, Kendrick Lamar et al. Naomba kama kuna mtu ana link ya full show anisaidie nitazame unyama wa hawa jamaa aisee. Najua JF ni kisiwa kikubwa kilichosheni wadau wa kila aina, hivyo...
  14. koba lee

    JamiiForums Tanzania Tu-enjoy kidogo wakuu

    Madogo wameua kinyama asee.
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Wabunge na Viongozi wanatuhumu wakurugenzi na wakuu wa Idara mara kwa mara!

    #Kaziiendelee Kuna viingozi wa kisiasa ambao mara nyingi huwatuhumu na kuwashtaki wakurugenzi na Wakuu wa Idara mara kwa mara. Wanaweza wakawa na hoja lakini pia wanaweza wakawa ni sehemu ya tatizo kwa maana ya kuwachongea wakuu wa Idara ili wapate urahisi wa kufanya mambo yao kwa interest...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Msaada pikipiki yangu ya san lg inashida

    Wakuu nisaidie nina pikipiki ya san lg nilinunua kwa mtu(used) kila nikiwasha inawaka ila kila ninapoingiza gia namba moja au mbili inazima msaada nini tatizo
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  18. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Katavi: RC Mwanamvua Mrindoko awataka walimu kuwapo shuleni saa 24

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka walimu kuwapo shuleni saa 24 kwa ajili ya kupokea wanafunzi watoto wanaoandikishwa kuanza darasa la kwanza na awali ili mzazi akifika asirudi na mtoto nyumbani kwa kukosa huduma.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Masauni Wizara ya Mambo ya Ndani haiwezi, soon atapambana kuwabadilisha wakuu wa vyombo vya ulinzi waliopo aweke anaoweza kuwadhibiti

    Masauni akiwa Naibu waziri aligombana na karibia viongozi wengi wa vyombo vya ulinzi vilivyopo Wizara ya Mambo ya Ndani. Tulimwona kwenye TV akigombeza askari bila kujali vyeo Wala umri wao. Leo amepewa full minister, hatuwezi kutegemea jipya zaidi ya kwenda kupambana Mhe. RAIS awafute kazi...
  20. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Wapi mkeka wa Makatibu Wakuu wa Wizara?

    Nimemsikia Katibu Mkuu Kiongozi akisema Rais pia kateua Makatibu Wakuu lakini hadi sasa sijaona Mkeka wa hao . Mwenye nao auweke hapa.
Back
Top Bottom