wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada pikipiki yangu ya san lg inashida

    Wakuu nisaidie nina pikipiki ya san lg nilinunua kwa mtu(used) kila nikiwasha inawaka ila kila ninapoingiza gia namba moja au mbili inazima msaada nini tatizo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  3. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Katavi: RC Mwanamvua Mrindoko awataka walimu kuwapo shuleni saa 24

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka walimu kuwapo shuleni saa 24 kwa ajili ya kupokea wanafunzi watoto wanaoandikishwa kuanza darasa la kwanza na awali ili mzazi akifika asirudi na mtoto nyumbani kwa kukosa huduma.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Masauni Wizara ya Mambo ya Ndani haiwezi, soon atapambana kuwabadilisha wakuu wa vyombo vya ulinzi waliopo aweke anaoweza kuwadhibiti

    Masauni akiwa Naibu waziri aligombana na karibia viongozi wengi wa vyombo vya ulinzi vilivyopo Wizara ya Mambo ya Ndani. Tulimwona kwenye TV akigombeza askari bila kujali vyeo Wala umri wao. Leo amepewa full minister, hatuwezi kutegemea jipya zaidi ya kwenda kupambana Mhe. RAIS awafute kazi...
  5. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Wapi mkeka wa Makatibu Wakuu wa Wizara?

    Nimemsikia Katibu Mkuu Kiongozi akisema Rais pia kateua Makatibu Wakuu lakini hadi sasa sijaona Mkeka wa hao . Mwenye nao auweke hapa.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni kina Nani makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu walioteuliwa leo 08/01/2022 Kama kweli uteuzi huu umefanyika maana sijabahatika kuwaona

    Kichwa Cha habari chahusika
  7. data

    JamiiForums Tanzania Sauti za kike zilizokuwa zikimback up Ndugai wakati akiongelea Mikopo ni kina nani!?

    Kuna kina mama walikuwa sideways wakati ndugai akiongea...na walimsupport. Ndugai alisema hii ni sahihi sijui hii ni sawa. Kuna mmama mmoja akasema 'not at all. Hao nao hawana budi kuondoka naeee. Haki tena. Mwenye ile video aweke.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Toyota Rumion 2008 vs 2010; nichukue ipi wakuu?

    Habari ya wakati huu wakuu. Mwenzenu nimeamua kuchukua Rumion ila sasa nimekuta kuna toleo la 2007-2008 na toleo la 2010-2015. Haya matoleo mawili nimeona yana tofauti ndogo za muonekano; show ya mbele, ndani kwenye dashboard hasa sehemu ya AC na ndani kwa nyuma. Sijui kuhusu uimara...
  9. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Hivi unaeza teuliwa bila kuwa chamani, bika kuambiwa? Naomba kujifunza wakuu!

    Ni Mimi Mr.Noma napenda sana kuwa Mkuu wa Wilaya au Mkoa! Nahitaji kujifunza.Nikikosa hata Ukurugenzi tu wa halmshauri unanifaa. Kwa ninavyojua wananchi watapata maendeleo sana katika enoe Hilo. Maana sipendi uzembe.
  10. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza dongle ya mouse yangu wakuu, nifanyeje!!

    Nimepoteza antenna (dongle) ya wireless mouse yangu. Bila hii dongle, siwezi kutumia mouse wala external keyboard yangu... Kazi hazifanyiki kabisa, maana internal keyboard ya laptop baadhi ya button zinazingua. Naweza nikapata replacement yake kweli? Ama 2.4 GHz frequency bands...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais utakapobadilisha Mawaziri, badilisha na Makatibu Wakuu wa Wizara husika

    Ni maoni yangu tu, maana hao makatibu wakuu ndio watendaji wakuu wa wizara. Kama waziri hayupo sawa, maana yake hata katibu wa wizara atakuwa hayupo sawa Ni mtazamo wangu tu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hodi humu Wakuu

    Ilikuwa ni Ndoto yangu kubwa Kuungana nanyi hivi na leo imekuwa Kweli. Ahsanteni nyote.
  13. Ileje

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunaathirika na udhaifu wa fikra (Inferiority Complex) wa viongozi wetu wakuu

    Tukianza na Rais yeye anafikiri kuna watu wanamdharau kwa kuwa yeye ni mwanamke. Mawazo haya amekuwa nayo hata kabla hajaapishwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Na mara baada ya kuapishwa hotuba yake rasmi kama Rais alitamka kwa msisitizo kuwa yeye ni Rais mwanamke! Hali...
  14. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Nimekuta hivi vidonge kwenye mkoba wa dem wangu. Je, vina kazi gan?

    Misoprostol tablets!!
  15. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kuhusu demu, ana matatizo

    Habari za saa hizi wakuu kuna demu nimeotea bhana sasa simwelewi leo ni mara ya pili nampeleka gheto tunafanya romance fresh ikifika wakati nataka kuanza tafuna mbususu anazima anapandisha mashetani. Mara ya kwanza nikajua masihara leo mara ya pili ni hivo hivo akiwa kwenye hiyo situation...
  16. issac77

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwanamke huyu kwenye mzunguko wa hedhi, siku zake za hatari ni zipi?

    Hedhi anakaa siku 3 hadi 4, Mara nyingi kwenye siku anaingia kati ya tarehe 26, 27 na 28 kila mwezi. Je, kwenye mzunguko huu hapana tatizo?, je mzunguko huu ni wa siku ngapi? Je, kwenye mzunguko huu siku zake za hatari ni zipi?
  17. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Wasanii Wanatumia Program Gani Kuweka Wimbo Unaimba Huku Kama CD Inazunguka na Equalizer Zinapanda na Kushuka Wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer zinapanda na kushuka. Huwa wanatumia program gani wadau? Na pia je, huwa ni kwa kutumia simu, computer...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Mimi kijana mwenye miaka 29 natafuta kazi yeyote kuhusu elimu mi degree holder, lakini njaa haijui Mambo ya degree. Nahitaji kazi yeyote iwe halali au haramu. Naweza fanya sales and marketing KUTOKANA na experience ya miaka 3 niliyowahi kufanya kazi Huko nyuma. Niko morogoro Nikisema haramu...
  19. Reptilia

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu Tv kutoonyesha picha kupitia AV1 na AV2

    HABARI WAKUU, Rejea kichwa cha habari hapo juu moja kwa moja kwenye moja nambili nikwamba tv yangu haichukui picha kupitia AV1 NA AV2 lakn ukichomeka kupitia mfumo huu wa (y cb cr) inaonesha lakn inakuwa haina rangi,, tatizo ni nini hapo wakuu?
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kesi kama hii unatatua vipi wakuu?

    Wakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika. Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so jioni ile wakati kagiza kameingia na safari lager zangu zikiwa zimenikolea, nikawa nimemuita yule...
Back
Top Bottom