Wasalaamu wana JF
Hata majumbani mwetu kuna miiko, hauwezi kupata mgeni na siku hiyohiyo unamkaribisha mpaka chumbani, Kuna matazamio na utaratibu maalum.
Kitendo cha Chandema kupata wahamaji kutoka CCM na siku hiyo hiyo kufanywa kuwa viongozi wa meza kuu Chandema na kuruhusu kufahamu mipango...
Kikao kimefunguliwa rasmi, tunajadili nini kifanyike, ili adhabu za wivu wa mapenzi zipungue katika jamii zetu.
Wakati tukijadili hilo usisahau kunipa vote yako kwenye hili chapisho.
Bofya ifunguke kisha click kwenye vote: Story of Change - Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni
wakuu salute kwenu,
Jamani katika harakati za kuaply mkopo.. ukiangalia hiyo attachment hapo chini ..
naombeni kujua kuhusu hizi hatua
1. tertiary education
2. guarantor.
halafu wakuu naombeni kujua.. mimi ndo nimemaliz form six.. Bado sina kitambulisho cha taifa.. vilevile sina kadi ya...
Habari Wakuu,
Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini.
Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa...
Habari wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi...
Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE
Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power
===
Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
Hili li ugonjwa limekaa kipigaji pigaji sana. Mi sio mtaalam wa mambo haya, lakini sijui kwanini naona kabisa li korona kama ni li biashara fulani la kupigia hela. Kinachonifanya niwe na wasiwasi ni haya mambo yafuatayo:
1. Ndani ya miaka miwili, kuna zaidi ya variants 5 za korona! Halafu eti...
Habari za hapa na pale wana jamvi!
Naombeni mnisaidie links za kupata software za hacking, Coding, na Antivirus.
Kama ikiwezekana na keys zake pia mnisaidie.
Nitashukuru sana wakuu wangu.
Habari za Leo wadau,
Binafsi mimi nimetokea kumkubali sana mwanamuziki AISHA. Namwona mbali sana, katika vokozi. Pengine naweza kusema anakuja kuwa malkia wa Muziki Tanzania.
Hivi tukiwalinganisha na ZUCHU unadhani yupi ni mkali kwenye vokozi. Hili ni song jipya la AISHA linaitwa Tamutamu...
Kiasili sina maadui niwajuao direct humu duniani labda haters wa hapa na pale pamoja na yoooote sijawahi kubeba vinyongo kwenye moyo wangu sipendi mtu anidharau wala sidharau mtu,nikipita salamu simpiti mtu, kazini ndani siyo mtu wa vijiwe, bar wala chochote cha hivyo. Hizi social meetings labda...
Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma.
Sasa wazo langu ni kuwa atokee mdau akusanye hotuba zote za wakuu wa mikoa wakati huu wa kuapishana ili tuwasikilize...
Kiongozi wa nchi anakuwa na wapambe wa kila namna. Hawa wanakuwa na jukumu la kumjuza mkuu wa nchi juu ya masuala muhimu ya taifa analoongoza .
Hata akina Nkwame Nkurumah walipotoshwa na baadae wakajikuta wanapinduliwa. Maana kiongozi akipotoshwa huwa hasimamii kweli na madhara yake hufanya...
Jumla ya wakuu wa wilaya walioteuliwa na RAIS Samia ni 139:
11 ni Ph.D sawa na 8%
26 ni Masters sawa 19%
95 ni Bachelor Degrees sawa na 68%
3 ni Diploma sawa na 2%
4 ni ACSEE na CSEE sawa na 3%
95 Wanaume sawa na 68%
44 Wanawake sawa na 32%
Vijana wapo 28 sawa na 20%
Waliowahi kuwa...
Nime towa wazo hilo ili utendaji una weza kuwa mzuri.
Kwanza nataka kujuwa hawa wakuu wamikowa na wakuu wawilaya wana ingia wapi katika serikali
Kuna madiwani ambawo huchaguliwa na watu hawa huingia wapi?
Kuna mayor ambaye huchaguliwa na wajumbe lakini ( bora ingekuwa mayor anachaguliwa na...
Dar es Salaam.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi, Ummy Mwalimu ameagiza wakuu wa mikoa kuwaapisha Wakuu wa Wilaya wote walioteuliwa kuanzia kesho Jumatatu Juni 21, 2021.
Waziri Ummy ametoa agizo hilo leo Jumapili Juni 20, 2021 muda mchache baada ya kumaliza ziara yake yake ya kukagua ujenzi...
Wanabodi,
Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.
Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.