Wakuu tunawazungumziaje Bongo hoodz ...

makilo

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
2,399
4,688
Wakuu majamaa kwa idadi ya muvi zao ambazo nimekucheki mpaka Sasa no.
Bongo na flava,
Giza la mchana
Chafu tatu
Fisi weusi
Mchepuko
Ishu ya simu
Siku za arosto(hii iliandaliwa kwa siku1 nazani walifeli kwa upande wangu)
Tuzo
Na hii muvi Bora Sana kutoka kwa rah c (mtunzi)na timu nzima ya bongo hoodz
KISASI KITAKATIFU.(bonge 1 la muv)

Kama watanzania tunaolilia kuthamini vya kwetu na kuungana mkono nadhani majamaa wanafanya POA Sana.wanahitaji sapot yetu Kama waTz wenzetu.baada ya kanumba naamini Hawa wanahitaji nafasi na wataitoa bongo ki masomaso kwenye kiwanda Cha filamu.
 
Mkuu, tumwagie synopsis tujisomee.
 
Awa niliangalia kama 2 iv, picha ilikuwa nyeusi sana, pia hzo mbili niliona zilikuwa na mwisho unaofanana .
Walikutana makundi mawili wenye uhasama wakapigana risasi wakafa karibu wote, Nadhani moja wapo ni hyo Chafu 3
 
Yes ni 3 chafu na wahuni wakubwa Zina mwisho UNaofanana.
 
Ajitahidi kuwa na story zenye ubunifu zaidi, na Quality ya video aangalie.
Kwenye upande wa waigizaji sina tatizo nae, Nyingi ni sura mpya kwnye uigizaji lakini wanafanya vizuri sana,
 
Ajitahidi kuwa na story zenye ubunifu zaidi, na Quality ya video aangalie.
Kwenye upande wa waigizaji sina tatizo nae, Nyingi ni sura mpya kwnye uigizaji lakini
Waigizaji wake wa kawaida tu kina Makamua,Songa,one incredible,Mchizi Mox lakini wanafanya maajabu sana then wanaigiza kiuhalisia kama maisha halisi ya uswahilini Tanzania

images (89).jpeg
 
Back
Top Bottom