Wakuu kuna hili la kisheria hapa naombeni msaada wenu

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Mwanamke na mwanaume walianza kuishi pamoja kama mke na mume toka mwaka 2007 kama mke na mume na wakapata mtoto mmoja wakiwa kwenye Nyumba ya kupata.

Ilipofika mwaka 2015 wakabahatika kujenga nyumba na wakanunua gari.

Na mwaka 2016 ndio wakafunga ndoa na wakabahatika kupata mtoto mwingine wa pili.

Sasa mwaka huu 2021 mwezi wa saba wameachana kwa kupeana talaka.

Ila inaonekana mwanamke hana haki ya kupata mgao wa mali.
Jamani mbona kila siku majibu tunatoa hapa?

Section 160 sheria ya ndoa iko wazi presumption of marriage ni two yrs.

Sasa hao wazee wameishi miaka hiyo yote na watoto juu unategemea nini?

Jibu ni kwamba wote wana haki watagawana kama sheria inavyosema.

Vitu ambavyo hawatogawana ni vile mwanaume alivyokuwa navyo before 2007.

vitu ambavyo walitafuta wakiwa wote mwanamke awe alichangia pesa au hakuchangia watagawana tu. So long as mwanaume alikuwa akirudi nyumbani anakuta kapikiwa kafuliwa etc etc ana haki ya hizo mali.

Baadhi ya sheria za tanzania ni mbovu ila hii sheria ya ndoa waliitendea haki yaani ipo kati na imenyooka haina chengachenga.

Ahaaa ukae na mtoto wa mtu tangu 2007 todate ameshakongoloka afu aondoke mikono mitupu?

N.b. siku hizi watu wanaachana sana sijui kwa nini, nawashauri wanaoingia kwenye ndoa kabla ya ndoa mkapitie hako ka sheria uingie ukiwa unakajua hutopata shida.

7800 sio fair.😂 hata wewe ilibidi uchukuliwe hatua.
 
Mkuu unamajibu kama ya Kamanda Sirro!
 
Back
Top Bottom