MSAADA: Hivi, Naweza Kutumia Laptop kupita simu?

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
777
1,000
Wakuu. Heshima kwenu.

Kama mada inavyojieleza wakuu nahitaji kutumia Laptop kutokea kwenye simu wakuu.

Vitu gani vinawezekana na vipi haviwezekani...?

Naweza kuona interface ya laptop kwa bluetooth nikafanya ninachoweza kufanya kwenye laptop kwa kutumia simu yangu...?

Kama ipo hiyo app inaweza kufanya kazi kwa umbali gani kutoka kwenye laptop...?

Najua kuwa kuna wireless mouse apps zinazokuwezesha kutumia mouse ya laptop kutokea kwenye simu, je kuna app yoyote inayokuwezesha kutumia Laptop 100% kutokea kwenye simu wakuu wangu...?

Najua kuwa kuna watu humu wanajua vitu vingi ambavyo wengi hawavijui, hivyo natumai kuwa REQUEST yangu nimeileta pahala sahihi kabisa.

Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa kwenu.

Thanks a lot buddies.

Chief-Mkwawa and others.
 
Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
777
1,000
Njia simple tumia software kama Team viewer ama Anydesk, ni za bure weka kwenye simu na pc.

Kuna password utapata ukiiweka utaweza access pc yako popote duniani.

Thanks a lot kiongozi wangu.

Nitaweza ku-access laptop yangu popote DUNIANI it means hata kama nitaiacha laptop Tz na mimi nikawa Ke nitaweza kufanya chochote kwenye laptop yangu kwa kutumia simu yangu mkuu wangu...?
 
Zina communicate kwa WiFi au Bluetooth

Ooooh owkay ni app gani au ni software gani inayotumia hivyo vitu mkuu...?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,502
2,000
Thanks a lot kiongozi wangu.

Nitaweza ku-access laptop yangu popote DUNIANI it means hata kama nitaiacha laptop Tz na mimi nikawa Ke nitaweza kufanya chochote kwenye laptop yangu kwa kutumia simu yangu mkuu wangu...?
Ndio as long as Ipo on Hio laptop.

Anza kwanza hivyo hapo juu, ukiweza ipo pia njia ya ku access bila password.
 
Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
777
1,000
Kwa internet mkuu,

Kama unataka ya nyumbani ku communicate bila internet Tumia steam link, hii inatumia wifi na ipo fast. Lakini ukiwa nje ya range ya wifi haitakubali.

Mkuu, nime-install hii Steam Link ila kuna sehemu nimekwama Chief...!

Screenshot_20210912-005035.jpg

Hapo nafanyaje mkuu...? Thanks.
 
DALA

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
1,288
2,000
Wakuu. Heshima kwenu.

Kama mada inavyojieleza wakuu nahitaji kutumia Laptop kutokea kwenye simu wakuu.

Vitu gani vinawezekana na vipi haviwezekani...?

Naweza kuona interface ya laptop kwa bluetooth nikafanya ninachoweza kufanya kwenye laptop kwa kutumia simu yangu...?

Kama ipo hiyo app inaweza kufanya kazi kwa umbali gani kutoka kwenye laptop...?

Najua kuwa kuna wireless mouse apps zinazokuwezesha kutumia mouse ya laptop kutokea kwenye simu, je kuna app yoyote inayokuwezesha kutumia Laptop 100% kutokea kwenye simu wakuu wangu...?

Najua kuwa kuna watu humu wanajua vitu vingi ambavyo wengi hawavijui, hivyo natumai kuwa REQUEST yangu nimeileta pahala sahihi kabisa.

Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa kwenu.

Thanks a lot buddies.

Chief-Mkwawa and others.

Team viewer
 
Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
777
1,000
Njia simple tumia software kama Team viewer ama Anydesk, ni za bure weka kwenye simu na pc.

Kuna password utapata ukiiweka utaweza access pc yako popote duniani.

Mkuu, nimejaribu kuitumia TeamViewer naona siwezi ku-access laptop kupitia simu, ninachokiona ni screen ya simu inaonekana kwenye screen ya laptop.

Tofauti na vile nilivyotaka ni kuwa, nilitaka ku-access laptop lakini kwa kutumia simu kiongozi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom