My Take
Bora nibakie nyumbani Tanzania kubeba zege kuliko kusafisha Mavi ya wazee na Watoto wa Kizungu 😆😆😆👇👇
https://www.instagram.com/reel/DY4s2xCIHzu/?igsh=aWlrNjB6M2NrNjhh
Wakuu hakuna haja na maneno mengi tazama mwenyewe:
https://vm.tiktok.com/ZSCM2hCSL/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Police Arrest Man Over Viral Video Claiming Leadership of Jinja Road Criminal Gang
Police in Kampala have arrested a 27-year-old man after a viral social media video in which he allegedly claimed to lead a gang responsible for a string of crimes along Jinja Road and in Banda.
Wafula Solomon...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na usambazaji wa video mbalimbali mitandaoni za kuhadaa vijana ili waingie kwenye vurugu zinazopachikwa jina la maandamano ya Julai 7.
Miongoni mwa Video hizo ni za matukio ya zamani ikiwemo ya maandamano ambayo yaliruhusiwa kisheria na kupewa ulinzi na...
A long running feud between Ugandan tik tok sensations Shawa and Chicken Chicken has reportedly escalated into a physical confrontation and allegations of property damage.
The former friends are said to have clashed on Tuesday night at Tonic Bar in Akamwesi, Kanyanya, where witnesses allege the...
Katika video hii fupi, Yesu anatoa ushauri kwa team kataa ndoa kwa kuwaambia, "Kataeni dhambi, si lazima mkatae ndoa"
Angalizo: Sura zinazoonekana katika video ni matokeo ya Sanaa na siyo uwakilishi halisi wa wahusika.
https://m.youtube.com/watch?v=MfpPNr5Vujw&pp=ygUMWWVzdSBBbmFqaWJ1
Nimejifunza mengi kutoka kwa huyu jamaa akieleza kwa kina na kwa lugha raisi jinsi ya kudhibiti uzito uliopindukia na kuzuia kitambi. Link ya video hii hapa...
kuna mwamba anawashangaza watu huko ticktock kwa jinsi anavyo onyesha nguvu asili (raw power) aise ilikuaje Wazungu wakatutawala !! Link hiyo hapo chini:
https://vt.tiktok.com/ZSQEfpWHf/
Nakiri kukubali nadharia kua hata Samson alikua mwafrika mwenzetu
salaam,
Wakuu kizazi hiki tunaangamia huku tunachekelea. Nimekutana na video ticktock MADHARA YA HIZI ENERGY. Oya weka dhamira ya kuachana nazo. Tazama mwenyewe link hapo chini
https://vt.tiktok.com/ZSQEygmWJ/
Wakuu naombeni msaada wa video downloader ambayo isio ya kulipia maana nimejaribu kulipia snapany inakuwa inakataa ...ningefurahi zaidi kupata ya ku copy na ku paste link .... shukrani
Hadi sasa Wafanyakazi watatu wamekamatwa na kushtakiwa.
Washukiwa wawili wanaripotiwa kujaribu kukimbia kufuatia tukio hilo na ilibidi wafuatwe na helikopta ya kijeshi na kukamatwa.
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Ndani Kuna mpaka maji ya kandoro anapewa mke wa tajiri anywe, hahaaaaaa ila hii dunia hii
Sasa hapo mgerasi kama MIN-me akiiitazama anajifariji et IPO siku naye atapata demu wa kishua
Dah acha nicheke mie
LONDON BOY
kama unataka kuondoa kitambi tazama hii
TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
https://vt.tiktok.com/ZSQx73YMp/
A viral video has sparked debate online after a group of students believed to be from Multimedia University (MMU) were captured mocking a police officer during ongoing protests at the institution.
Katika video hiyo, students wanaonekana wakimzunguka officer huku wakitoa chants na comments...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.