Video: Museveni ala kiapo Urais Uganda 2026-2031

Video: Museveni ala kiapo Urais Uganda 2026-2031

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,114
Reaction score
3,480
Rais Museveni mwenye umri wa miaka 81 leo Mei 12, 2026 ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Uganda kwa muhula wa 2026 hadi 2031. Hafla hiyo ya uapisho imefanyika katika uwanja wa Kololo ambapo pia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amehudhuria sherehe hiyo ya uapisho

Katika Uchaguzi Mkuu wa Uganda uliofanyika Januari 15, 2026, Museveni alipata ushidni wa asilimia 71.6, licha ya kuwepo kwa mapingamizi kutoka kwa mpinzani wake Mkuu Robert Ssentamu Kyagulanyi (BobiWine) aliyeshika nafasi ya pili kwa asilimia 24. 72

 
Back
Top Bottom