video

  1. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda VIDEO: Byamukama Shocked by Seven Year Delay on Biiso–Masindi Road

    Video by New Vision Works and Transport Minister Fred Byamukama has expressed concern over the delayed completion of the 45-kilometre Biiso–Masindi Road, which has been under construction for seven years. Buliisa MP Allan Atugonza told the minister that works on the road began in 2019 and are...
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Wale wanaosema uchawi haupo, naomba mtusaidie kuitafsiri hii video. Tazama hadi mwisho

  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Video ikionesha mshabiki wa Man Utd akipata mshituko na kuanguka jana baada ya brightom kufunga goli la 3

    Hii timu itaua watu aiseee
  4. 100 others

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Huyu ni mama na mtoto, malezi gani haya?

    Nilikuwa napita huko x, nikakutana na hii video... Hii ipo sawa kweli kwa mtoto kuwa na mazoea ya namna hii kwa mama yake mzazi?
  5. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    Mgonile, Tukiweka ubishi pembeni kuna matukio ukiona tu papo hapo akili yako inakwambia jambo hili haliwezekani kwa kanuni za kawaida isipokua kwa nguvu tusiyoiona ila tunaweza kwa hakika kutambua uwepo wa nguvu isiyo ya kawaida katika mazingira fulani hadimu mfano katika tukio hili: video...
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jifunze kutumia Capcut bure (Free Class)

    Jifunze kutumia Capcut bure (Free Class) CapCut Course: Beginner to Advanced 🔰 Kozi hii ni kwa ajili ya: Content creators (TikTok, Instagram, YouTube) Wamiliki wa biashara wanaotaka kutengeneza video za matangazo Freelancers wanaotaka kuuza huduma ya video editing Wanafunzi au mtu yeyote...
  7. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Bodi ya filamu; Wamiliki wa video library wasajili biashara za kabla ya tarehe 30/9

    Bodi ya Filamu Tanzania imewakumbusha wamiliki wa Maktaba za Video (Video Library) nchini kuhakikisha wanasajili biashara zao na kuhuisha leseni zao kwa mujibu wa sheria na kanuni za filamu. Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na bodi hii leo Septmba 12, 2026, Bodi imeeleza kuwa ni kinyume cha...
  8. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda VIDEO: Musuuga Vows To Care For Best Kemigisa

    Musuuga Charles Kamurasi has assured Best Kemigisa, the mother of the late Omukama Oyo, of continued support from Tooro Kingdom. Kamurasi said it is the kingdom’s responsibility to care for Kemigisa and pledged that Tooro Kingdom would stand by her following the death of her son.
  9. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda VIDEO: 10 Gomba District Officials Arrested Over Shs28Bn

    Ten Gomba District officials have been arrested over alleged corruption, while the Chief Administrative Officer (CAO) has been interdicted for three months to pave the way for investigations. The arrests and interdiction were ordered by the Special Presidential Assistant on Service Delivery and...
  10. The Lisova

    JamiiForums Tanzania Hii video huwa inanifikirisha sana

    Hiyo video ilisambaa sana mwaka jana wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Ukikutana na wahitaji halisi usisite kuwasaidia, hasa watoto. Maisha ni magumu sana kwa walio wengi. Mshukuru MUNGU kama una uhakika wa kupata mlo kamili wa siku.
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda hali ya kizimbani siku ya hukumu ya kesi ya uhaini, ikawa kama ya huyu muungwana kwenye video.

    Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana. Ni muhimu sana kutii sheria na katiba ya nchi bila shuruti, ili hatiame kuepuka hali za taharuku na kuchanganyikiwa kama hizi.:NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania.
  12. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Police Arrest Eight Over Viral Video Linked to Alleged Violent Gang

    Police have arrested eight suspects in Kampala following investigations into a viral social media video in which a group of men allegedly boast about attacking members of the public and inflicting serious injuries on their victims. The video, which has circulated widely on social media...
  13. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Video: kumbe hii ndio dasilamu ya maziwa na achali?

    Cheki makebo yanavyopishana kama tenga za ngogwe.. Sisi malimbukeni tulioishia fofoho kutoka mikoani dasilamu ndio paradiso yetu.
  14. Right Flower

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wanawake tunaharibu muonekano na mvuto wetu kabisa ndio maana siku hizi hatuwavutii mabwana zetu.

    Huyu kaka amezungumza ukweli mtupu, tunajiachia sana siku hizi na hapo ndio tunaboronga tunakua manungaiyembe. Tujitunze kuzuia kunenepeana japo maisha yamebadilika teknolojia imerahisisha maisha lakini tujitafakari. https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
  15. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanaharakati Mange Kimambi aiburuza mahakamani kampuni ya META

    Pia Soma: Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video ya Mbunge Samuel Arama akirusha mikate Nakuru West yazua mjadala

    Video inayoonyesha Mbunge wa Nakuru Town West, Samuel Arama, akirusha mikate kwa wananchi wa eneo bunge lake imezua mjadala mzito na hisia mseto miongoni mwa Wakenya kwenye mitandao ya kijamii . Katika video hiyo, MB Arama anaonekana akitupa mikate na scone hewani huku wananchi wakiwania na...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nataka nifungue mgahawa ambao nitakuwa nikionyesha video za Prof Janabi muda wote kama burudani

    Nimeamua kuja na huu ubunifu. Hela nitapiga. Unapata msosi huku ukitazama video za Prof Janabi akishauri mambo ya afya. Itakuwa ni burudani kwa wateja wangu. Natumaini wateja watafurahi. Una maoni gani kuhusu hii idea?
  18. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda VIDEO: "I now have all the power over the kingdom "Omusuuga of Tooro, Prince Charles Kamurasi Akiiki.

    Omusuuga of Tooro, Prince Charles Kamurasi Akiiki has declared that he is now the interim leader of the Kingdom and royal clan, following the death of his nephew, Omukama Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV. In a video posted on TikTok, he says, "Now all the power of the throne belongs to me. I...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Video ,Dada Anae trend Mitandaoni Kwa Kuichapa Lugha ya Malkia Vyema na Kuipaisha Tanzania Kwa Majibu Yale maskini.

    My Take Ameeleza Kwa kujiamini na Yuko smart 🔥🔥
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Wafanyabiashara wa Library za Video Iringa Watishia Kutofanya Kazi na Umoja Movies

    UMOJA wa wafanyabiashara wa filamu maarufu kama Library za Video mkoani Iringa umeazimia kusitisha kwa muda kufanya kazi na kampuni ya Umoja Movies, ili kutoa nafasi kwa viongozi na wawakilishi wa wadau kukutana na kampuni hiyo kujadili changamoto zinazodaiwa kujitokeza katika mfumo mpya wa...
Back
Top Bottom